Search results

  1. Raia Fulani

    Henry Kilewo na Joyce Kiria wafunga ndoa ya mfano wa kuigwa

    Kiko wapi 🫣 Just joking 😅
  2. Raia Fulani

    Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

    🤭🤭 May be a change of state. From alive to... You know
  3. Raia Fulani

    New Age Paganism

    Umesahau, "kwanza dini tumeletewa" "Dini haikupeleki mbinguni"
  4. Raia Fulani

    Nina idea nimpe content mtu anayetaka kufungua redio ya vijana aiite 45 fm

    Kwa kusoma title tu inatosha. Sasa ni hivi, vijana wana redio za kutosha. Wana content nyingi, labda tu ziboreshwe kidogo maana burudani kama imeshika %90. Changamoto ni kwa watu wazima wa kati kuanzia miaka 35 hadi 60 hivi. Hawa hawana wa kuwasemea. Ukiangalia content za redioni wala...
  5. Raia Fulani

    Kiingereza cha Kimarekani chamkanganya Ruto

    Sasa kuna kingereza ya Burmingham.
  6. Raia Fulani

    Tazama ushahidi huu wa kimahesabu wa Michango ya Lissu Unaothibitisha CHADEMA haifikishi wanachama hata million Moja

    Dah, umeandika wee... Kifupi mimi ni mwanacdm ila sijafuatilia kinachoendelea kuhusu michango na sina mpango wa kuchanga. Wala hakuomba kuchangiwa. Tofautisha kuomba kura na kubitaji kuchangiwa kununua gari
  7. Raia Fulani

    DOKEZO Mtanzania huyu alikuja Marekani kusoma, akapata changamoto ya Akili, sasa hivi anaishi Mtaani, anahitaji msaada

    Yani unachojua wewe ni kuandika kiswahili fasaha tu. Mengine 🚮🚮🚮
  8. Raia Fulani

    Hii si kausha damu hii?

    Ah! Utapewa maelezo.hadi uchoke. Kile kipengele cha "kuongea na mshauri wetu bonyeza..." Hicho kipande hakuna
  9. Raia Fulani

    Hii si kausha damu hii?

    Mbaya zaidi hata ukitaka kuwapigia kupitia customer care huwezi kuwapata. Wankupa maelezo weee hadi unaishia njiani. Kwa anayejua kuwapigia voda unatumia namba gani?
  10. Raia Fulani

    Hii si kausha damu hii?

    Too much. Pia waache kupromote mikopo yao kwenye akaunti za watu. Kwa namna wanavyokuambia kuwa kiwango chako cha mkopo ni hiki, waweke na riba yake kwa % wakiambatanisha na jumbe zao. Zaidi ya hapo ni wezi tu
  11. Raia Fulani

    Hii si kausha damu hii?

    Yani taasisi kubwa kama hii inafyeka hela za wateja kiasi hiki? Serikali itupie jicho hapa
Back
Top Bottom