Ukweli nikua mwanaume anayeridhika na mke moja hawahi kuumbwa.ukiona katulia ujue ima hana kitu au iman imemjaa.lakin pamoja na hayo kutaman ni lazma ataman wa nje.tofaut nikua unaweza kutaman lakin ukajizuia kufanya au kumtongoza
Huo ndo ukweli hata wale wanaojifanya wanazo hela watoto wao hakuna wanachogusa kila kazi anaachiwa dada wa kazi unakuta mpaka nguo zao wanafuliwa na dada.wazazi wanahisi ndo malezi bora lakin wanatengeneza bom la kesho bila wao kujua.
Sheria ya ndoa tanzania inasema ukikaa na mwanamke miez mitatu ni mke wako hatakama hamujafunga ndoa.unawezaje kusema hukupanga kuish nae na kila siku ulikua unaacha kod ya meza anakupikia anakufulia anakupa uroda ulikua unamlipa nin?
Kwanza mkuu unaroho ngumu kinyama.yanj dem umekutana nae umepiga saund siku yatatu anakuja kwako kwa mara ya kwanza wala hujui ametoka wapi wala anaish wapi unapiga mzigo asubh unamkabidh funguo unaenda kazin kiroho safi wala huna presha.pambana huyo iko siku atakuosha hutakaa uamin
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.