Recent content by njiwa

  1. njiwa

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Villa amempiga arsenal Ndani na nje ndiye aliyewakosesha ubingwa
  2. njiwa

    Wizara: Sababu serikali kuanzisha tahasusi za dini hizi hapa

    Okey ! Islamic knowledge kama somo halijaanza leo ..lilikuwepo na litaendelea kuwepo .. chuki zako sio kwamba zitasikilizwa leondoke
  3. njiwa

    Wizara: Sababu serikali kuanzisha tahasusi za dini hizi hapa

    Hata ukitumia provocative language halinisumbui hilo watu wa aina yako hamnistui .. Tunafundisha dini Madrasa ..Msikitini ..na shuleni.. Bahati mbaya huwezi kuzuia hilo ..
  4. njiwa

    Waziri wa Maji Jumaa Aweso asema anapowatazama wake zake huwa anapata furaha ya kipekee!

    Safi sana huyu ndio mwanaume sio una michepuko alafu inajificha eti unajiona shababi ... Rijali anawapanga na kutembea nao kifua mbele ..
  5. njiwa

    Hivi kwanini mnapenda Biriani? Sijawahi kupenda Biriani

    Hivyo vitu tuachieni watu wa pwani ... Nyie endeleeni na sembe lenu
  6. njiwa

    Wizara: Sababu serikali kuanzisha tahasusi za dini hizi hapa

    Quran ni moja tu hakuna ya Zanzibar wala ya Tanganyika .. ya mshia wala Msuni wote tunatumia kitabu kimoja kisicho na agano jipya wala la kale .. pia katika dini ya kiislam kuna mitaala mbalimbali ... Kama fiqhi , tawheed na kadhalika watoto wetu hawafundishwi tu kusoma na kukariri bali pia...
  7. njiwa

    Tetesi: Tundu Lissu kufutwa uanachama muda wowote

    Karibu ACT wazalendo Tundulisu
  8. njiwa

    Waislamu wasiotaka kuendana na mila na desturi za bara Uropa wahamie kwingine, asema waziri wa Ujerumani

    Sasa tukienda kwengine dini itasambaa vipi ... Lazima twende nchi zisizo za kiislam tuzae tuishi tuache athari ya uislamu na huko
  9. njiwa

    Mwijaku ni mpagani aliyekwenda Hijja!

    Mbwa wa ulinzi haina tatizo
  10. njiwa

    Ujenzi wa ghorofa: Nimeshaleta kifusi cha kwanza

    Nimekuelewa pamoja sana ..
  11. njiwa

    Ujenzi wa ghorofa: Nimeshaleta kifusi cha kwanza

    Mleta mada ana ndoto za kujenga his/her dream house ambayo ni ghorofa ila ameanza na kifusi .. mtu kama huyu hutakiwi kumtisha .. hesabu za finishing .. what I was trying kumwambia aanze na msingi na ndio kila kitu pale akishatandika mkeka anaweza akavuta pumzi hata miaka miwili akitaka ..kifusi...
  12. njiwa

    Ujenzi wa ghorofa: Nimeshaleta kifusi cha kwanza

    Na usikariri material mazuri hayapo Nabaki pekee
  13. njiwa

    Ujenzi wa ghorofa: Nimeshaleta kifusi cha kwanza

    Did I say imenishinda mzee ?! Kwa ufupi mjengo upo hapa kwa sasa
  14. njiwa

    Ujenzi wa ghorofa: Nimeshaleta kifusi cha kwanza

    Mwaka jana Namwaga kokoto ya nyeusi gari kubwa ile 2M .. hapo unahitaji trip 4 au tano kwa ajili ya msingi ... Cement grade ya juu namba 40 sijui 42 ratio kali ..kwa ufupi nyumba ya ghorofa moja msingi wa maana unaweza maliza 50M hapo hujamwaga jamvi
  15. njiwa

    Ujenzi wa ghorofa: Nimeshaleta kifusi cha kwanza

    Katika ujenzi wa ghorofa msingi ndio unakula pesa na ndio muhimu na kitu cha gharama sana ni NONDO na kokoto nyeusi za lugoba anza hapo kwanza ..mchanga unapatikana muda wowote kwa bei rahisi
Back
Top Bottom