Asante ningependa kujua pia ununuzi wa mawe hasa fero(ile ya dhahabu kidogo) ni machimbo ya wapi kunaweza kuwa na faida angalu? Maana migodi ya mda mrefu watu husema sio salama kwa ununuzi wa mawe
Mimi nipo kahama sasa
Ni kweli napenda mambo yaende haraka haraka, ngoja niwe na subira sema hivi vitu wakati mwingine vinanichanganya kuvumilia na kupoteza muda VINAFANA MNO😥
Habari zenu wakuu, mimi nimemaliza chuo hivi karibuni nikaingia katika field niliyosomea, ukemia , nikajikita kwenye ukemia wa plant kwa muda wa miezi kadhaa nikawa nime master vitu kwa kiasi kikubwa lakini changamoto sipati kazi na wala sijui cha kufanya.
Sehem niliyo anza kufanya kazi kama...
Naomba kuuliza wakuu,
Natamani kuanza biashara ya kununua dhahabu iliyochomwa kutoka kwa wachimbaji wadogo
1. Je, kuna taratibu za kisheria na kama zipo ni zipi
2. Mtaji ni kiasi gani?
3. Faida ni kiasi gani kwa mfano mimi nina milioni moja -kwa mwezi naweza kuongeza mpaka shilingi ngapi?
Kwa...
Habari zenu wakuu,
Naomba kupata ushauri kuhusu biashara ya viatu Dodoma, mimi kwa kweli nina laki 4 tu. Kwa mawazo yangu nilitaka nipate mtu mwenye uelewa mzuri na hii biashara hasa anaefanya hiyo biashara Dodoma nifanye Naye kazi hata kwa kujitolea tu Ili nipate uzoefu wa kuanza kazi.
Naomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.