Recent content by Nduka Original

  1. Nduka Original

    Gavana wa Benki KUU Tanzania!

    Na pia Tutuba kitendo cha kuwa Katibu Mku hazina automatically amekuwa akiingia kwenye BODI ya BOT hivo anafahamu kila kitu kinavyoenda ndani ya BOT
  2. Nduka Original

    Hii kwako unaichukuliaje?

    Kama hupendi hivyo usikubali aolewe mwache akae hapo kwako tu itapendeza
  3. Nduka Original

    Nilitembea na binti ya dada yangu bila kutegemea

    Serious mimi nilikuwa nahitaji huduma ya massage 100% niliomba anitafutie mtu akasema anakuja mwenyewe
  4. Nduka Original

    Nilitembea na binti ya dada yangu bila kutegemea

    Anko ana game zuri sana mtu hujuti
  5. Nduka Original

    Penzi langu na kijana linataka kunivunjia ndoa yangu

    Kwanza hongera kwa kumcheat Mume wako mama wa watoto wa nne. Kuna kitu hawa married women hamuelewi sisi wanaume kitendo cha kumvua nguo mke wa mtu na kumlala yani unamdharau sana yule mwanamke japokuwa una enjoy nae tendo la ndoa ila una mdharau kupita maelezo though kwenye hii case wewe haupo...
  6. Nduka Original

    Nilitembea na binti ya dada yangu bila kutegemea

    Nilitembelea Mkoa fulani kikazi na katika mapumziko yangu jioni nilikutana na binti wa binamu yangu akiwa anapata kinywaji na kijana ambae sina uhakika kama ni boy friend wake ama la. Tukasalimiana na tukabadilishana na namba. Huyu binti alikuwa anafanya kwenye spa katika hoteli kubwa hapa...
  7. Nduka Original

    Watumishi wa Mungu wanachanganya

    Mimi sikatai kazi yao ila ninachokataa huko kuwa kama wapiga ramli
  8. Nduka Original

    Watumishi wa Mungu wanachanganya

    Watumishi wengi wa Mungu wanapenda kusema wameoteshwa au amekuona kwenye ndoto na ameona nyota yako imechukuliwa. Mimi huwa siamini kitu kama hicho je kunakuwaga na ukweli wowote? Na pia mimi siamini kwenye kuombewa napenda zaidi mtumishi anifundishe jinsi ya kusali kisha aniache niongee na...
  9. Nduka Original

    Marafiki na Jamaa wa Sabaya waangua kilio Mahakamani

    Sabaya hata lingefia huko ndani siyo hasara
  10. Nduka Original

    Uteuzi: Mhandisi Cyprian John Luhemeja ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya NARCO

    Wewe hukumbuki Dkt Allan Kijazi alikuwa DG/CEO wa TANAPA na wakati huo huo Katibu Mkuu wa Wizara ya Mali asili na Utalii. TANAPA ina automous egencies 8 zente ma DG na Boards. Hivyo alikuwa ana wasimamia ma DG wenzake na kama Ex-official anaweza kuhudhuria Bodi zote kama PS na kwa TANAPA...
  11. Nduka Original

    #COVID19 Hivi Covid-19 bado ipo Tanzania?

    Nina flue, napiga chafya, nahohoa, naahirisha mwili unauma na kuchoka pia sina hamu yakula ila sina home. Je inaweza kuwa ni Codid? Nianza dose ya Azuma. Naomba jukwaa linishauri
Back
Top Bottom