Kwanza hongera kwa kumcheat Mume wako mama wa watoto wa nne. Kuna kitu hawa married women hamuelewi sisi wanaume kitendo cha kumvua nguo mke wa mtu na kumlala yani unamdharau sana yule mwanamke japokuwa una enjoy nae tendo la ndoa ila una mdharau kupita maelezo though kwenye hii case wewe haupo...
Nilitembelea Mkoa fulani kikazi na katika mapumziko yangu jioni nilikutana na binti wa binamu yangu akiwa anapata kinywaji na kijana ambae sina uhakika kama ni boy friend wake ama la.
Tukasalimiana na tukabadilishana na namba. Huyu binti alikuwa anafanya kwenye spa katika hoteli kubwa hapa...
Watumishi wengi wa Mungu wanapenda kusema wameoteshwa au amekuona kwenye ndoto na ameona nyota yako imechukuliwa.
Mimi huwa siamini kitu kama hicho je kunakuwaga na ukweli wowote? Na pia mimi siamini kwenye kuombewa napenda zaidi mtumishi anifundishe jinsi ya kusali kisha aniache niongee na...
Wewe hukumbuki Dkt Allan Kijazi alikuwa DG/CEO wa TANAPA na wakati huo huo Katibu Mkuu wa Wizara ya Mali asili na Utalii. TANAPA ina automous egencies 8 zente ma DG na Boards.
Hivyo alikuwa ana wasimamia ma DG wenzake na kama Ex-official anaweza kuhudhuria Bodi zote kama PS na kwa TANAPA...
Nina flue, napiga chafya, nahohoa, naahirisha mwili unauma na kuchoka pia sina hamu yakula ila sina home.
Je inaweza kuwa ni Codid? Nianza dose ya Azuma.
Naomba jukwaa linishauri
Mi nafikiri defend agenda yako wewe mwenyewe na si kwamba sababu ni historia ya wazee wako basi haiwezi kupingwa? Kwahiyo Makongoro nae aje hapa a defend historia ya TANU sababu tu nia mzee wake?
Kuleta jambo bungeni lijadiliwe it's a step already sasa kwanini husubiri unaamuwa kuwa pessimistic kwamba tusitegemee makubwa? Bunge limejadili na leo PM amekaa vikao! Kuna watu mko negative sana hata kupata maendeleo binafsi ni ngumu sana hata mafuta yauzwe JERO kwa lita
Unajuwa hawa jamaa JPM aliwafanyia kitu kibaya sana, they have been out of active politics for six years. Sasa kwa mwana siasa ni ngumu sana kama huendi Bungeni, hufanya mikutano then utakuwa dunderhead mana huna haja yakufanya research ili uilepeke wapi. Hivyo hawana hoja yakujadili kuhusu mafuta
Advertisement ni advertisement and you must keep doing in different modalities, fanyeni tafiti mtueleze hayo mafanikio madogo ya RT ni yapi ili tuwe na criteria zaku critisize RT. Ujinga wa Heche ni hii comparison aliyofanya unless he was joking and I keep hammering on him. Natakaka sana vijana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.