#COVID19 Hivi Covid-19 bado ipo Tanzania?

Nduka Original

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,012
816
Nina flue, napiga chafya, nahohoa, naahirisha mwili unauma na kuchoka pia sina hamu yakula ila sina home.

Je inaweza kuwa ni Codid? Nianza dose ya Azuma.

Naomba jukwaa linishauri
 
Mwezi wa tatu chugga Kuna mtu alikufa kwa Covid-19
 
Nina flue, napiga chafya, nahohoa, naahirisha mwili unauma na kuchoka pia sina hamu yakula ila sina home.

Je inaweza kuwa ni Codid? Nianza dose ya Azuma.

Naomba jukwaa linishauri
Kwan Azuma ndo doz ya kovid
 
Back
Top Bottom