Kuongezewa muda kwa profesa kunasaidia kumpa sifa yule Jaji kutoka Zanzibar aliyeteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa kupata sifa za kuteuliwa kuwa Jaji Mkuu pale profesa "atakapostaafishwa" (maana yeye alishastaafu)
Kuna mchakato umeanza wa kutunga sheria mpya ya reli/au kuhuisha iliyopo ili "kuendana na wakati"....
Kwa kiasi kukubwa huenda lengo la sheria hii ni kuwezesha "wawekezaji" kujinufaisha na SGR.
Je, kama taifa, tuko tayari kwa sasa kuruhusu watu binafsi kumiliki treni ambazo zitatumia reli ya...
Hapo mwanzo niliona mtu mwenye cheo aketiye barazani, aliyeamuru nani aongee na nani aketi chini. Nikaambiwa mtu huyu hatendi kama ilivyopaswa. Nikapewa ujumbe nimuonye mtu huyu kabla ya anguko lake, naye hakunisikia akajiendea na shauri lake. Baada ya miaka mitatu ya utawala wake, na baada ya...
Ukiwa unatokea Masaki, kwenye makutano ya barabara za Haile Selassie na Ali Hassan Mwinyi, jirani na Kanisa la Mt. Petro, Oysterbay, Dar es Salaam, pana taa za kuongozea magari. Kwa pembeni, pana kibanda ambacho hutumiwa na askari wa usalama barabarani kujikinga na jua. Sasa, kwa muda mrefu...
Pamoja na kujadili wajumbe wa ziara walivyovaa, muhimu zaidi tujue nini kilichojadiliwa na kukubaliwa. Isije kuwa masuala ya ulinzi wa bahari yetu wakapewa Wafaransa kwa hoja kuwa wanatusaidia kulinda uchumi wa buluu. Manowari za Wafaransa zikiruhusiwa kuja kuweka kambi huku kwetu basi itakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.