Search results

  1. M

    Serikali yashindwa kusaini mradi wa LNG kwa miezi 9 sasa bila sababu. Je tuendelee kumlaumu Hayati Magufuli?

    Wanasubiri wathibitishe kama gesi iliyoko Zanzibar ni commercially viable waingie mkataba na kuuza hiyo kwanza
  2. M

    Wakili Mkuu: Jaji Mkuu kuongezewa muda, ni sahihi Kikatiba

    Kuongezewa muda kwa profesa kunasaidia kumpa sifa yule Jaji kutoka Zanzibar aliyeteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa kupata sifa za kuteuliwa kuwa Jaji Mkuu pale profesa "atakapostaafishwa" (maana yeye alishastaafu)
  3. M

    Naomba kujua NMB Branch inayofanya kazi siku ya Jumapili kwa Dar es Salaam

    Mlimani City ...kuanzia saa 4 mpaka saa 8 mchana
  4. M

    Ujumbe Mahsusi kwa KMK

    I couldn't agree with you more!
  5. M

    Tundu Lissu kurejea nchini Jumapili 19/3/2023

    Anakuja (yule mama) tarehe 25 mwezi huu
  6. M

    Tundu Lissu kurejea nchini Jumapili 19/3/2023

    Hivi Ndugu Lissu anahuisha visa ya kuendelea kuishi Ubelgiji au ya kuja Tanzania kama raia wa kigeni?
  7. M

    Sheria Mpya ya Reli inakuja

    Kuna mchakato umeanza wa kutunga sheria mpya ya reli/au kuhuisha iliyopo ili "kuendana na wakati".... Kwa kiasi kukubwa huenda lengo la sheria hii ni kuwezesha "wawekezaji" kujinufaisha na SGR. Je, kama taifa, tuko tayari kwa sasa kuruhusu watu binafsi kumiliki treni ambazo zitatumia reli ya...
  8. M

    Ufunuo wa Godbless Lema

    Hapo mwanzo niliona mtu mwenye cheo aketiye barazani, aliyeamuru nani aongee na nani aketi chini. Nikaambiwa mtu huyu hatendi kama ilivyopaswa. Nikapewa ujumbe nimuonye mtu huyu kabla ya anguko lake, naye hakunisikia akajiendea na shauri lake. Baada ya miaka mitatu ya utawala wake, na baada ya...
  9. M

    DOKEZO Hiki ni Kituo Bubu cha Polisi?

    Ukiwa unatokea Masaki, kwenye makutano ya barabara za Haile Selassie na Ali Hassan Mwinyi, jirani na Kanisa la Mt. Petro, Oysterbay, Dar es Salaam, pana taa za kuongozea magari. Kwa pembeni, pana kibanda ambacho hutumiwa na askari wa usalama barabarani kujikinga na jua. Sasa, kwa muda mrefu...
  10. M

    Mnaoelewa majukumu mapya ya Lukuvi na Paramagamba Kabudi, tujulisheni ufanisi ukoje

    Na hapo ndipo nadhani kuna kitu hakiko sawa...ni vipi MBUNGE anaweza kufanya kazi serikalini ilhali si WAZIRI? Nadhani kuna mgogoro hapo
  11. M

    Ufaransa: Kwanini walinzi wa Rais Samia wanavaa Barakoa ya Zanzibar kwenye ziara ya Tanzania?

    Pamoja na kujadili wajumbe wa ziara walivyovaa, muhimu zaidi tujue nini kilichojadiliwa na kukubaliwa. Isije kuwa masuala ya ulinzi wa bahari yetu wakapewa Wafaransa kwa hoja kuwa wanatusaidia kulinda uchumi wa buluu. Manowari za Wafaransa zikiruhusiwa kuja kuweka kambi huku kwetu basi itakuwa...
  12. M

    Nini kimewakuta Suma JKT na mwendokasi(dart)?

    Hata hao walioko SUMA JKT nao ni vijana wetu na watapata chochote, au wakiwa huko hawalipwi?
  13. M

    Nini kimewakuta Suma JKT na mwendokasi(dart)?

    Hata majengo mengi ya serikali yaliyokuwa yanalindwa na SUMA JKT sasa yanalindwa na kampuni binafsi. Bila shaka makampuni mengi ya ulinzi yanamilikiwa na vigogo wastaafu au walio katika utumishi katika majeshi. Nadhani msimamo wa awali ulikuwa mzuri zaidi kiusalama, kwamba taasisi za umma...
  14. M

    Mtatiro: Lipumba alisaliti chama tangu zamani, alimsaidia Kikwete uchaguzi wa 2010

    Nakuunga mkono... Tangu Kipanya arudi Clouds amekuwa akikitendea haki kpindi cha Power Breakfast. Hata alivyomhoji Profesa Lipumba maswali yake yalikuwa kuntu. Hongera sana Masoud Ally aka Kipanya.
  15. M

    Yuko wapi Kingunge Ngombare Mwiru?

    Yuko fresh na ameanza kuwa kijana tena! Jana alihudhuria Mjadala wa Urathi wa Nyerere kwa Vyama Vingi vya Siasa, pale kwenye Kavazi la Mwl Nyerere, Kijitonyama (COSTECH). Aliketi mbele kabisa jirani na Salim Ahmed Salim aliyekuwa mgeni rasmi pamoja na Mzee Mwinyi. Pia Mzee Kingunge alisalimiana...
Back
Top Bottom