Kuna mfanyabiashara mmoja anaitwa Kaburu. Mkazi wa Mganza anajitapa hadharani kuwa yeye hupeleka rushwa kwa huyu hakimu. Na sababu wote ni kabila moja la wachaga basi humsikiliza kwa lolote.
Rushwa zinafanyika hadharani. Kaburu ndio wakala wa huyu hakimu mfawidhi. Wavuvi haramu wanaoingia...
Pesa nyingi za umma zinatolewa kwa ajili ya miradi ya umma na maendeleo ya wananchi. Zinaliwa na zinatafunwa. Ripoti ya CAG ipo wazi
Rais Samia aliwahi kutamka wazi kuwa watumishi wa umma wale kwa urefu wa kamba zao. Ila tu wasivimbiwe.
Acheni pesa za umma zitafunwe huku wananachi wakikosa...
Kwa ujumla huu mfumo ni mzuri sana. Maana umeondoa ukiritimba wa maafisa utumishi kwa watumishi.
Tatitizo kubwa ni kuwa sasa hivi watumishi wa umma wanatakiwa kutumia mfumo wa Ess kwa kufanya kila jambo linalowahusu. Kuanzia uhamisho, likizo, na hata appraisal.
Lakini mpaka sasa huduma nyingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.