Naushauri uongozi wa Azam kuitetea Brand yao. Hata kama kuna baadhi wana vinasaba na Kolo. Haiwezekani Klabu yenye rasilimali muhimu katika soka halafu inasuasua kama Mtibwa na Ihefu.
Mechi 3 zilizobaki ikitokea Azam afungwe au atoke sare ITAKUWA NI UJINGWA ULIOPITILIZA
HALAFU WATU WA AINA HII HATA HUKO KWENYE VIKAO VYA KAZINI KWAO HUWA WACHANGIAJI SANA WA MADA, YAANI HATA MADA AMBAYO HANA UTAALAMU NAYO HUWA ANANYOOSHA MKONO.
Na ni wajanja balaa, wanachanganya na kiingereza ili kuwateka kabisa muamini hoja zake
NA MSIPOKUWA MAKINI MNAMUAMINI HALAFU...
Tunaambiwa ni kosa mtu kuvaa magwanda yenye mfanano na yale ya majeshi yetu.
Je, kitendo cha Makonda kuvaa kule Chuga lile jacket ni sahihi? Je, na mimi mwananchi wa kawaida nikipata kama lile nivae tu au mimi siruhusiwi?
Je, Makonda kuvaa vile ana lengo gani au anataka kufikisha ujumbe gani...
Ujuaji mwiiingi na kakingereza kako. Forum hii inatumia kiswahili 99.9% halafu wewe unajidai ni familia ya Malkia wa England.
Anyway hivi unatoka Kagera sehemu gani pale.
So far wewe unajisikiaje kuona mafanikio ya Gamondi tofauti na RAMLI YAKO ULIYOPIGA
Tatizo wachezaji wazawa karibia wote mioyoni mwao ni Simba na Yanga. Kwahiyo wapo wachezaji ndani ya Azam wanaoiombea Ushindi Simba na wapo wanaoiombea Mabaya. Hivyo lolote linaweza kutokea hata kusababisha penalty kwa makusudi.
Pia Tff ya Karia haiwezi kukubali Simba ifungwe leo. Tutarajie...
1. Nakumbuka walivyotuaminisha kuhusu NGOMA na tulivyoambiwa wamemuiba Air port tukajua jamaa ni viwango vya Ronaldo.
Tulichoshuhudia MUNGU anajua.
2. Kwa sisi tuliosoma historia ya Ukuta wa Babeli tulijua tumepata Mwamba kwelikweli, lakini tulichokishuhudia kwa huyu CHE MALON hakika Mungu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.