Recent content by leroy

  1. leroy

    Lissu amedhihirisha kuwa Chadema inaweza kuuza nchi kwa uroho wa fedha

    Ni dhahiri sasa waliotaka kutoa uhai wa Lissu ni WanaChadema wenzake!
  2. leroy

    Haya wale Bana Wenge BCBG Wenzangu hapa JamiiForums mmeshasikiliza Wimbo mpya unaotamba sasa Congo DR wa JB Mpiana uitwao ZEBUKA?

    Genta wimbo huo upo kwenye album ya Balle de match iliyotoka 24 December 2022!
  3. leroy

    Tresuary bills na tresuary bonds za BOT

    1. Muda: Treasury bonds zina muda mrefu wa kukomaa, ukilinganisha na Treasury bills ambazo zina muda mfupi wa kukomaa. Hii inamaanisha kuwa wawekezaji wa Treasury bonds wanakabiliwa na hatari ya riba kwa muda mrefu zaidi. 2. Kubadilika kwa Thamani: Thamani ya Treasury bonds inabadilika zaidi na...
  4. leroy

    Hayati Magufuli aliweza kuwatisha waovu, mifumo iliamka kufanya kazi

    Wanaomchukia sasa hivi wanakula Ruzuku!
  5. leroy

    Enzi ya Dhahabu ya Muziki wa Afrika Mashariki (2000-2006): Kipindi cha Mapinduzi ya Ubunifu na Ushirikiano

    Muziki wa Afrika Mashariki bado uko hai na unaendelea kubadilika. Ingawa muziki wa Nigeria umepata umaarufu mkubwa katika miaka ya hivi karibuni, hii haimaanishi muziki wa Afrika Mashariki umepotea. Kuna wasanii wengi wenye vipaji kutoka Afrika Mashariki ambao wanatoa muziki bora katika aina...
  6. leroy

    Enzi ya Dhahabu ya Muziki wa Afrika Mashariki (2000-2006): Kipindi cha Mapinduzi ya Ubunifu na Ushirikiano

    Bila shaka miaka ya mapema ya 2000 kuanzia 2000 mpaka 2006 ilikuwa ni kipindi cha mapinduzi makubwa katika muziki wa Afrika Mashariki. Ilikuwa ni zama za ubunifu wa hali juu, ushirikiano wa kikanda, na umaarufu wa kimataifa, mara nyingi ikirejelewa kama "enzi ya dhahabu" ya muziki wa Afrika...
  7. leroy

    Collaboration kali zilizowahi kusumbua Bongo

    Tamaaaaaraaaaaaaaaaa-Hard Mad isikilize hii pini kwenye music system yenye thamsni ya TZS milioni 5 utaona ubora wake.
  8. leroy

    Tresuary bills na tresuary bonds za BOT

    1. Tofauti Kati ya T-Bills na T-Bonds: Kipengele T-Bills T-Bonds Muda wa Kukomaa Siku 35, 91, 182, au 364 Miaka 2, 5, 7, 10, 15, au 20 Riba Aina ya riba ya punguzo (discount rate) Aina ya riba ya kuponi (coupon rate) Hatari-risk Chini Juu Uwekezaji wa Chini Tsh 500,000 Tsh 1,000,000...
  9. leroy

    Unawezaje kuishi na mwanamke anayejamba jamba ovyo?

    Kama anajamba mshukuru Mungu ana afya. Wapo wanaotamani hata kujamba na wanashindwa.
  10. leroy

    Nichague ipi kati ya Fiber TTTCL vs GoFiber?

    Ipo maeneo machache. Wasiliana nao for details. GOfiber - High Speed fiber internet for your Home - Dar es Salaam, Tanzania
  11. leroy

    Rais yupi ana speech zenye mashiko (Tanzania)?

    Magufuli ni kila kitu. The Best ever.
  12. leroy

    Nilinunua soundbar ya Sony watts 400, 5.1 channels hata sijaielewa!

    Ukitaka vitu vizuri kuwa tayari kugharamia. Achana na vitu vya laki laki
Back
Top Bottom