Recent content by Kibunango

  1. Kibunango

    Uhasama wa Tanzania bara na Zanzibar unazidi kukua na utaleta madhara makubwa kama yanayosemwa hayatashughulikiwa

    Wasukuma wamehamia miaka ya karibuni, na kwa upande mmoja wao wenyewe wanajitambilisha hivyo na wanapenda watambuliwe hivyo. Ila kiuhalisia watu kutoka Bara hutambuliwa kama ni Wanyamwezi...
  2. Kibunango

    Uzalo Special Thread

    Hata sijui pa kuanzia.... Labda kwenye social media zao unaweza kuacha comments juu ya hilo.,
  3. Kibunango

    Umeme ushakatika maeneo mengi muda huu, ulipo upo?

    Sawa na Unguja... Ni Giza sana na upepo mkali mno!
  4. Kibunango

    Uzalo Special Thread

    Juzi nilichungulia kidogo.... Bado wapo kwenye marudio!
  5. Kibunango

    Waziri Hamza: Serikali Ijenge Daraja Kuunganisha Dar-Zanzibar

    Huyo Waziri aache kusema ndoto zake za mchana hadharani.
  6. Kibunango

    Nini hatima ya Wakristo walio Zanzibar kwenye sherehe za Pasaka baada ya zuio la kula mchana wakati huu wa Ramadhan?

    Kwanza ni kujua aina ya wanaolalamika na uwezo wao kiuchumi. Hii itakuwa rahisi kuwapa location kadili ya ukubwa wa mfuko wao. Aidha kwa haraka haraka, kama ulikuwa unakula kwa Mama Lishe kabla ya mfungo, ni Mama huyo huyo ambaye hutoa location kwa wateja wake ni wapi atapatika wakati wa...
  7. Kibunango

    Nini hatima ya Wakristo walio Zanzibar kwenye sherehe za Pasaka baada ya zuio la kula mchana wakati huu wa Ramadhan?

    Pasaka itakuwa nzuri tu hapa Visiwani... Si mnakumbuka kuwa tuliwahi kuwa na Tamasha rasmi la Pasaka, ambapo liliwakutanisha wafanyakazi wa serikali, makampuni na mashirika ya Umma kati ya Bara na Visiwani! . Hivyo ondoeni shaka. Leo ni Ijumaa Kuu, kulipokucha siku ilionekana kuwa ni Ijumaa...
  8. Kibunango

    Kwani Zanzibar wanawachukuliaje watu wa Bara?

    Ya kitambo sana, huyo jamaa alikuwa ni tour guard... Na sasa keshaachana na kazi hiyo.. Huo mtaa wanamjua vizuri sana, na wasiwasi siku ya tukio alikuwa kazidisha dozi...
  9. Kibunango

    Wakamatwa Zanzibar wakipika chakula kwa ajili ya kuliwa mchana

    Ni kujitoa fahamu. Kwa mkoa wa Mjini Magh' zipo sehemu tele unazoweza kula, kunywa na kuvuta sigareti pasi usumbufu.
  10. Kibunango

    Ninaunga mkono hoja ya Godbless Lema kuhusu utalii. Soma hapa alichoandika mtandaoni

    Bw. Lema kaenda mbali sana kwa mfano wake. Tanzania Visiwani wana STCDA(Stone Town Conservation and Development Authority) . Ambayo inasimamia Mji Mkongwe wa Zanzibar. Mji huu historia yake ni kuanzia karne ya 18. Kwa sasa ni kivutio cha utalii wa nje na wa ndani. Jiji la Tanga linaweza...
  11. Kibunango

    Formula 1® Grand Prix special thread

    Naona ndio yupo njiani kwenda kustaafu kwa aibu...
  12. Kibunango

    Simulizi: Umalaya na Ukahaba wa Kishua

    Huyu ni Binti...
Back
Top Bottom