Recent content by KARLO MWILAPWA

  1. K

    Mahakama inaangaliwa na chombo gani katika dhana nzima ya 'Balance and Check? Naona malalamiko juu ya mahakama yamekuwa mengi

    Katika kuifahamu dhana ya 'Balance and Check' katika mihimili ya Dola kwa maana ya Serikali, Bunge na Mahakama sijawahi kujua hii dhana inafanya vipi katika eneo la Mahakama. Kwa mfano Bunge linapoisimamia Serikali tunaona Balance and Check na pia Shauri lolote la Serikali au Bunge kupelekwa...
  2. K

    RC Makonda aagiza Takukuru kumkamata DED na Watendaji wake wanaotuhumiwa kwa Ufisadi wa tsh million 19 mara Moja na wasirudi Ofisini!

    Hongera RC Makonda ,unaendelea kujawa na hekima kubwa ya kiuongozi. Kiongozi anatakiwa awe na sifa ya kusikiliza na kuamua, katika sakata hilo tumeona ukisikiliza na ukaacha kutoa uamuzi papo kwa hapo na ukaenda kulitizama na kubaini ukweli.
  3. K

    Utaratibu Wa Kutaja ITIFAKI ya Viongozi Tanzania uangaliwe upya.

    Nakubaliana na wewe, ni vema hili jambo likaangaliwa na ikipendeza mwenyeji wa shughuli ndio atambue uwepo wa wote aliowaalika.
  4. K

    Natafuta kampuni zinatoa internship Arusha

    Kiswahili kinapoteza ladha kila siku ,na wanaoitwa wasomi ndio wanaoongoza kukiharibu
  5. K

    Utekelezaji wa wazo la Rais Samia la kuvuna maji ya mvua uanze ili kudhibiti mafuriko

    Serikali ianze sasa utekelezaji wa wazo la Rais Samia alilotoa mwaka uliopita la kuvuna maji ya mvua Kwa kujenga mabwawa makubwa ili kuwe na hifadhi kubwa ya maji na pengine kusaidia kupunguza athari za mafuriko yanayosababishwa na mvua mahali mbalimbali Tanzania.
  6. K

    Matarajio ya Rais Samia kwenye Utalii ni makubwa, tumsaidie ku-brand utalii kama bidhaa

    Kila nikimtazama Rais wetu, naona matarajio aliyonayo katika kukuza utalii wetu kimataifa ni makubwa mno. Ili kutimiza matarajio hayo, anatumia mikakati mbalimbali hususani kushiriki katika uigizaji wa filamu za kukuza utalii. Naona Rais akitamani utalii usaidie kuongoza fedha za kigeni nchini...
  7. K

    KERO Nimebambikiwa parking fees na TARURA

    Kuna mtu huwa anaendesha gari lako ukiwa haupo, anza kumuuliza yeye kwanza
  8. K

    Nyerere day 13-4- na siyo 14-10-? Je, ikumbuke siku ya kufa au kuzaliwa?

    14/10 tunasheherekea maisha ya Mwalimu aliyoishi hapa duniani na ukisema uisheherekee siku ya kuzaliwa unakosea sana ,siku ya kuzaliwa ni kumbukumbu ya walio hai
  9. K

    Marekani yapeleka Saudi Arabia Askari elfu 20 na silaha nzito kwa utayari dhidi ya vitisho vya Iran kushambulia Israel

    Nilisema hapa toka zamani, Israel ni chambo ya Mmarekani kumtia adabu muirani ila waarabu wa magomeni hawakuelewa. Nafurahi Sasa Irani inaendea kuwashiwa moto wa petrol maana kazidi kutoa matamshi ya uvunjifu wa amani
  10. K

    Lema aiagiza Chadema impe Kadi ya Uanachama Rais Samia

    Makonda hawezi kutamka vile bila ushahidi wa kutosha. Naamini alipokuwa Mwenezi kakutana na mambo mengi ya kuogopesha.
Back
Top Bottom