P,
Sikulaumu kwa kutomjua kinana. Bahati nzuri Kinana alikuwa jirani yetu Arusha kabla hata hajawa mbunge. Nakumbuka tulipelekwa kwenye harusi ya kinana nikiwa darasa la pili kula pilau pale kwenye mitaa yetu karibu na sanawari. Najua kwa uhakika vijana ndugu zake kinana ambao walikuwa wanakaa...
Maraisi wastaafu wa USA wanafungua maktaba tena kwa kuchangiwa wa watu.
Wapendwa wetu maraisi wazalendo eti wanataka kujengewa nyumba kama Ikulu na wenza wao kulipwa.
Hawajali hali ya wananchi, mabadiliko waliyofanya na historia wanayoacha zaidi ya matumbo yao.
Sijasikia wazo la maktaba...
Mzee Kinana muda wake umepita. Raisi anatakiwa atafute makamu ambaye anaweza kufanya vitu kwa manufaa ya umma kwa ujumla wake na sio kwa CCM pekee. Kwa mwenendo wa sasa watu wasio elewa wataona ni powa lakini tukiendelea hivi katiba itakuja kwa ulazima na uchungu sana.
Kuna uwezekano kabisa...
Warioba na Prof Shivji nao ni Chadema?. Kama kweli CCM ina nia nzuri kwa nchi ni kwanini wakatae katiba ambayo inasaidia nchi nzima kwa ujumla wake. Kwa sasa hivi ni kama watanzania ni watumwa hakuna maendeleo ya maana kwasababu ya sheria mbovu za katiba.
Ndogo zako tu kwa uchunguzi upi. Je tungekuwa masikini hivi. Kenya nako na ukabila wao wote nchi bado ipo Msumbiji na vita nchi bado ipo!!! tuache pumba tumia muda wako kuandika vitu vya maana. Uchawa hausomewi
Yaani katiba ya nchi ya Tanzania iendane na Ilani ya chama. 🤣 tumekuwa na misukule siku hizi. Kuna mambo ya kitaifa na mambo ya kichama na sera za kichama. Katiba ni swala ya kitaifa kama Raisi wa wote sio swala la chama bali la wananchi. Raisi ameshidwa hili na mimi sina chama ni mdau tu na...
Kumekuwa na usiri siri wa ajabu sana. Kwanza waziri alikuwa anachenga changa mpaka akabanwa na wabunge kuhusu mikataba ya KIA na kuhakikisha kiwanja kinarudi serikalini. Sasa tunasikia kuna mwekezaji kutoka Uarabuni ?. Kama ilivyokuwa bandari
Nasikia kabla ya uwekezaji wanawekwa wanzanzibari...
Kwa mawazo yangu kati ya walimu wakuu ambao wanahitaji nishani za kitaifa ni Mwalimu mkuu wa zamani wa Ilboru. Huyu ndiyo alifanya Ilboru kuwa shule ambayo kwa miaka yote ni ya kipekee kwa kutoa madaktari wengi, wanasheria wengi na vipaji vya juu sana hapa nchini kwetu. Kila nchi nilienda watoto...
Mimi nashauri uchaguzi wa serikali za mitaa usogezwe mpaka mwaka kesho na sheria ziwekwe vizuri. Wataalamu wengi wanasingizia muda wakati huo huo wanasema sheria zinahitaji kubadilishwa. Hivyo hakuna sababu ya kwenda kwenye uchaguzi ambao kwa ulivyo sasa utashusha na kupunguza uaminifu wa hata...
Utanzania ni nini hasa. Utanzania wako ni uhalisia wako au kibali! Kwanini Diaspora ambao wana passport za nje bado wanaitwa Watanzania? Utanzania sio vibali hata ukichukuwa passport yeyote kwenye ile passport watasema huyu ni Mtanzania aliyechukuwa uraia. Mimi binafsi kwasababu nimekaa miaka 25...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.