Recent content by FEBIANI BABUYA

  1. FEBIANI BABUYA

    Mdogo wangu wa kike ndiyo kamaliza Form 6, safari ya chuo imekaribia. Nawaza ataukwepa vipi "Ukware" wa vyuoni?

    Acha kuwaza vitu vya ajabu ambavyo havikwepeki kwenye maisha ya mwanadamu. Timiza wajibu wako 1. Mkalishe chini, mpe elimu ya kutosha kuhusu maisha ya huko, atakacho kutana nacho, madhara yake na faida zake kama itakulazimu kuzieleza. 2. Jitahidi sana mdogo wako apate kila kitu kwa wakati hata...
  2. FEBIANI BABUYA

    Ni ubinafsi kuoa mke zaidi ya mmoja kwasababu kuna wanaume watakosa kwa upungufu wa wanawake

    Kama unataka facts na logic basi jifunze kuwa smart. Kwenye maelezo yako umeandika Tanzania na hata duniani kwa ujumla kitu ambacho sio kweli. Ungespecify Tanzania ungeeleweka ila sio duniani.
  3. FEBIANI BABUYA

    Simulizi ya kipelelezi: Jiji la kamari (gambling city)

    HADITHI: JIJI LA KAMARI (GAMBLING CITY) MTUNZI: FEBIANI BABUYA EMAIL: thomasibabuya@gmail.com WHATSAPP: 0621567672 AGE: 18+ Episode 39 “Max na Bilali wanakutana lini na mpango unatakiwa kuanza lini mheshimiwa” waziri mkuu aliuliza akionekana kabisa kuwa na hamu kubwa sana ya kuweza kulijua...
  4. FEBIANI BABUYA

    Simulizi ya kipelelezi: Jiji la kamari (gambling city)

    HADITHI: JIJI LA KAMARI (GAMBLING CITY) MTUNZI: FEBIANI BABUYA EMAIL: thomasibabuya@gmail.com WHATSAPP: 0621567672 AGE: 18+ Episode 38 “Sijaja kukuomba, hilo ndilo jambo la msingi ambalo unatakiwa kulizingatia” “Hata mimi najua kwamba wewe huwa sio mtu wa kuweza kumuomba mtu kwa lolote” “Na...
  5. FEBIANI BABUYA

    Simulizi ya kipelelezi: Jiji la kamari (gambling city)

    HADITHI: JIJI LA KAMARI (GAMBLING CITY) MTUNZI: FEBIANI BABUYA EMAIL: thomasibabuya@gmail.com WHATSAPP: 0621567672 AGE: 18+ Episode 37 “Mheshimiwa imekuwa ni ghafla sana, sikutegemea kwamba mtu kama mimi naweza kutembelewa na wewe” “Ushakuwa waziri mkuu wa nchi sasa kwanini haujiamini?”...
  6. FEBIANI BABUYA

    Simulizi ya kipelelezi: Jiji la kamari (gambling city)

    HADITHI: JIJI LA KAMARI (GAMBLING CITY) MTUNZI: FEBIANI BABUYA EMAIL: thomasibabuya@gmail.com WHATSAPP: 0621567672 AGE: 18+ Episode 36 “Sawa mheshimiwa, wapi?” “Kariakoo. Nenda saa saba na nusu usiku na kuna location ambayo nitakutumia, utaifuata hiyo mpaka itakapokupeleka basi ndipo hapo...
  7. FEBIANI BABUYA

    Simulizi ya kipelelezi: Jiji la kamari (gambling city)

    HADITHI: JIJI LA KAMARI (GAMBLING CITY) MTUNZI: FEBIANI BABUYA EMAIL: thomasibabuya@gmail.com WHATSAPP: 0621567672 AGE: 18+ Episode 35 “Ndiyo maana mimi nimekwambia kila ambacho nakijua kwa sababu nakuamini kama isingekuwa hivyo nisingekwambia mambo ya hatari sana kwangu kama haya ambayo...
  8. FEBIANI BABUYA

    Ni ubinafsi kuoa mke zaidi ya mmoja kwasababu kuna wanaume watakosa kwa upungufu wa wanawake

    Wanawake wapo sawa na wanaume? Hizo tafiti huwa mnafanyia wapi? Kuweni na aibu basi. Unajua kwamba kuna makabila hapa duniani akizaliwa mtoto wa kiume familia inajishindia mamilioni? Wanaume ni wachache hawapo sawa Wala wengi kwa wanawake. Ukishindwa kabisa kufanya tafiti zako andika hata...
  9. FEBIANI BABUYA

    Mtu unamuheshimu Kabisaaa lakini anatembea na mke wa mtu na anajua ni mke wa mtu

    Mambo yao waachie wenyewe unless wewe uwe mhanga.
  10. FEBIANI BABUYA

    Simulizi ya kipelelezi: Jiji la kamari (gambling city)

    Good morning. Ni muda kidogo tangu niposti simulizi humu. Nimeona wengi wakidhihaki mara unasubiri waandike ndipo ucopy (unajua kabisa hii ni hoja ya mtu ambaye kala ugali kashiba kichwani kinakuja chochote kile naye anakwenda nacho hivyo watu wa namna hii huwa nawapuuza maana sometime sio wao...
  11. FEBIANI BABUYA

    Kijana mwenye mtaji kati ya 1m hadi 5m hizi ndo biashara nyepesi kufanya, usikariri biashara

    Safi sana, nadhani kuna jamaa alihisi ni vitu vya kusadikika hapo juu.
  12. FEBIANI BABUYA

    Kijana mwenye mtaji kati ya 1m hadi 5m hizi ndo biashara nyepesi kufanya, usikariri biashara

    Hiyo ni real kiongozi probably mazingira ya Tanzania sio rafiki ila ni bonge la biashara ukifanikiwa kufahamika. Kwa mfano kuna app inaitwa Couchsurfing huwa naona watu wanatangaza Kazi zao za kupokea forgners na kuwapeleka maeneo mazuri kufanya utalii kwa malipo. Ukifanikiwa kupata hata...
  13. FEBIANI BABUYA

    Kijana mwenye mtaji kati ya 1m hadi 5m hizi ndo biashara nyepesi kufanya, usikariri biashara

    Ushauri mzuri mkuu. Hiyo no.5 kwa bongo itaonekana kama Chai ila Kenya wanafanya vijana wengi na wanapiga pesa mno. Nina mshkaji wangu anafanya hiyo, huwa wanachukua apartment wanapangisha kwa foreigners nadhani kwa Tanzania watu hapa wanashangaa kwa sababu ya mazingira yetu na mazoea.
  14. FEBIANI BABUYA

    Prof. Safari: Kwenye usafiri wa umma, wazungu husoma vitabu na magazeti, watanzania wanatafuna mahindi ya kuchoma na mayai ya kuchemsha

    Huwezi kuwa conscious tumbo likiwa empty, sometime mnatulaumu Bure watanzania. Wale wana uhakika wa milo mitatu, wana uhakika na insurance kitu ambacho Tz watu wana stress nacho vibaya hususani basic needs.
Back
Top Bottom