Search results

  1. FEBIANI BABUYA

    Kocha Pep Guardiola kuondoka Man City mwishoni mwa msimu ujao

    Nimekupata vyema mkuu
  2. FEBIANI BABUYA

    Kocha Pep Guardiola kuondoka Man City mwishoni mwa msimu ujao

    Unaijua historia ya Pep mpaka kuingia Barca? Alikuwa coach wa Barca B... Walitaka kuleta coach mkubwa lakini Johan Cruyff aligoma, alisema yeye anamtaka Pep na ndiye coach ambaye alikuwa tayari kumpa support.... Barca hawakuwa na option zaidi ya kuamua kumpatia team japo hawakumuamini. Kilicho...
  3. FEBIANI BABUYA

    Kocha Pep Guardiola kuondoka Man City mwishoni mwa msimu ujao

    Matusi ya nini mkuu? Coach akipigwa kwa game inamaanisha ni kibonde? Mpira ni mchezo wa matokeo matatu na lolote linawezekana ila sio kigezo cha kutumia game 1, 2 ama 3 kuconclude kuhusu ubora wa coach Fulani. Liverpool alitoka kuwin league Akala 7 mbele ya Astonvilla kwamba Clop alikuwa...
  4. FEBIANI BABUYA

    Kocha Pep Guardiola kuondoka Man City mwishoni mwa msimu ujao

    Halafu nakukumbusha tu, kama pesa ndizo zinaleta champions league, miaka mitano iliyopita Arsenal na Man u wametumia pesa nyingi za usajili kuliko City. Utanikumbusha, wana UEFA ngapi?
  5. FEBIANI BABUYA

    Kocha Pep Guardiola kuondoka Man City mwishoni mwa msimu ujao

    Unajua kwamba Fergie ana UCL 2 tu kwa miaka zaidi ya 25 akiwa na Manchester ambayo inaimbwa kwamba ilikuwa ni hatari zaidi? Naye ni overated? Na kipimo cha coach bora ni UEFA ngapi? Amagine pep angekuwa coach wetu Manchester United tunavyopenda makelele! Pep alikuwa Barca akaaminiwa na Johan...
  6. FEBIANI BABUYA

    Simulizi ya kipelelezi: Jiji la kamari (gambling city)

    HADITHI: JIJI LA KAMARI (GAMBLING CITY) MTUNZI: FEBIANI BABUYA EMAIL: thomasibabuya@gmail.com WHATSAPP: 0621567672 AGE: 18+ Episode 48 “Ulikuwa sahihi kusema kwamba wamekushtukia na muda wowote huenda wamekuweka kwenye mtego na wanaweza kukukamata kuanzia sasa kwa sababu tayari wameshakuwa na...
  7. FEBIANI BABUYA

    Simulizi ya kipelelezi: Jiji la kamari (gambling city)

    HADITHI: JIJI LA KAMARI (GAMBLING CITY) MTUNZI: FEBIANI BABUYA EMAIL: thomasibabuya@gmail.com WHATSAPP: 0621567672 AGE: 18+ Episode 47 “Sipo kwenye mood ya kufanya haya ndugu yangu unaweza ukasema mapema tu” Max alimwelekeza mtu huyo lakini aliishia kumtemea mate tu kwa jeuri ambayo alikuwa...
  8. FEBIANI BABUYA

    Simulizi ya kipelelezi: Jiji la kamari (gambling city)

    HADITHI: JIJI LA KAMARI (GAMBLING CITY) MTUNZI: FEBIANI BABUYA EMAIL: thomasibabuya@gmail.com WHATSAPP: 0621567672 AGE: 18+ Episode 46 Wanaume hao walikuwa na silaha kali sana, wakiwa wamefunika sura zao. Walikagua kila eneo kwenye jumba hilo lakini hawakuona chochote kile mwisho wa siku...
  9. FEBIANI BABUYA

    Hadithi: Ulimwengu wa Watu Wabaya

    HADITHI: NAFSI ZILIZO TELEKEZWA MWANDISHI: FEBIANI BABUYA WHATSAPP: 0621567672 EMAIL: thomasibabuya@gmail.com AGE: +18 UTANGULIZI................ SURA YA 1. MIMI NI NANI? MZIZIMA, Mvua zilizokuwa zimeambatana na upepo mkali zilikuwa zikiendelea kulisumbua jiji la bandari ya Salama, jiji la...
  10. FEBIANI BABUYA

    I want to die a judge

    HADITHI: NAFSI ZILIZO TELEKEZWA MWANDISHI: FEBIANI BABUYA WHATSAPP: 0621567672 EMAIL: thomasibabuya@gmail.com AGE: +18 UTANGULIZI................ SURA YA 1. MIMI NI NANI? MZIZIMA, Mvua zilizokuwa zimeambatana na upepo mkali zilikuwa zikiendelea kulisumbua jiji la bandari ya Salama, jiji la...
  11. FEBIANI BABUYA

    Gereza la Hazwa

    HADITHI: NAFSI ZILIZO TELEKEZWA MWANDISHI: FEBIANI BABUYA WHATSAPP: 0621567672 EMAIL: thomasibabuya@gmail.com AGE: +18 UTANGULIZI................ SURA YA 1. MIMI NI NANI? MZIZIMA, Mvua zilizokuwa zimeambatana na upepo mkali zilikuwa zikiendelea kulisumbua jiji la bandari ya Salama, jiji la...
  12. FEBIANI BABUYA

    Innocent Killer (The Revenge)

    HADITHI: NAFSI ZILIZO TELEKEZWA MWANDISHI: FEBIANI BABUYA WHATSAPP: 0621567672 EMAIL: thomasibabuya@gmail.com AGE: +18 UTANGULIZI................ SURA YA 1. MIMI NI NANI? MZIZIMA, Mvua zilizokuwa zimeambatana na upepo mkali zilikuwa zikiendelea kulisumbua jiji la bandari ya Salama, jiji la...
  13. FEBIANI BABUYA

    Simulizi ya kipelelezi: Document number 72 (Nyaraka namba 72)

    HADITHI: NAFSI ZILIZO TELEKEZWA MWANDISHI: FEBIANI BABUYA WHATSAPP: 0621567672 EMAIL: thomasibabuya@gmail.com AGE: +18 UTANGULIZI................ SURA YA 1. MIMI NI NANI? MZIZIMA, Mvua zilizokuwa zimeambatana na upepo mkali zilikuwa zikiendelea kulisumbua jiji la bandari ya Salama, jiji la...
  14. FEBIANI BABUYA

    Sakata la uchaguzi: Pesa kwenye damu

    HADITHI: NAFSI ZILIZO TELEKEZWA MWANDISHI: FEBIANI BABUYA WHATSAPP: 0621567672 EMAIL: thomasibabuya@gmail.com AGE: +18 UTANGULIZI................ SURA YA 1. MIMI NI NANI? MZIZIMA, Mvua zilizokuwa zimeambatana na upepo mkali zilikuwa zikiendelea kulisumbua jiji la bandari ya Salama, jiji la...
  15. FEBIANI BABUYA

    Simulizi ya kipelelezi: Jiji la kamari (gambling city)

    HADITHI: NAFSI ZILIZO TELEKEZWA MWANDISHI: FEBIANI BABUYA WHATSAPP: 0621567672 EMAIL: thomasibabuya@gmail.com AGE: +18 UTANGULIZI................ SURA YA 1. MIMI NI NANI? MZIZIMA, Mvua zilizokuwa zimeambatana na upepo mkali zilikuwa zikiendelea kulisumbua jiji la bandari ya Salama, jiji la...
  16. FEBIANI BABUYA

    Naona Toxic kaamua kumtolea uvivu Young Lunya

    Moja kati ya siku chache za Mimi kuangalia show za redio nimeweka clouds hapa ndo namkuta huyu kijana wa kuitwa TOXIC FUVU muda huu alikuwa anafanya yake. Anajitahidi kwenye freestyle (naona kamchana Lunya kwenye freestyle). Kwani wana tatizo au wanachangamsha game?
  17. FEBIANI BABUYA

    Simulizi ya kipelelezi: Jiji la kamari (gambling city)

    Jumamosi jioni au jumapili asubuhi sana mzigo huu unaachiwa kwa softcopy.
  18. FEBIANI BABUYA

    Kuishi Dar ni ndoto ya Kila Mtanzania Kijana

    Dar ipo overrated sana aisee 😅
  19. FEBIANI BABUYA

    Simulizi ya kipelelezi: Jiji la kamari (gambling city)

    Mwisho kabisa ni 88. Ukitaka vyote kwa pamoja, unachangia 1500 tu. 0621567672 (HALOPESA)..... WhatsApp 0745982347 (M-PESA) 0714581046 (TIGO-PESA) FEBIANI BABUYA See you [emoji102]
Back
Top Bottom