Recent content by Dully4real

  1. D

    Kupata kibali cha Katibu Mkuu Utumishi baada ya kupata barua ya ajira toka sekretariet ya ajira

    13 minutes ago Add bookmark #4 No, mimi nina barua ya Ajira kutoka Sekretarieti ya Ajira (Yani zile Nafasi ambazo zinatangazwa na kufanyiwa mchakato wote kupitia Ajira Portal)
  2. D

    Kupata kibali cha Katibu Mkuu Utumishi baada ya kupata barua ya ajira toka sekretariet ya ajira

    Habari wadau! Naomba kujua mchakato wa kupata kibali cha uhamisho kwa Mtumishi aliyepata Barua ya Ajira kwenda Taasisi au wizara Nyingine kupitia Sekretariet ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS). NB: Mtumishi huyu alifuata taratibu zote zinazotakiwa wakati wakati wote wa kuomba nafasi hiyo...
  3. D

    Nina shida na mawasiliano ya Katibu Mkuu Utumishi

    Yeah hii ndo nnayo... Kuna ile nyingine ambayo inaanza nq jina lake sema nimeisahau usahihi wake ndo naitaka ile
  4. D

    Nina shida na mawasiliano ya Katibu Mkuu Utumishi

    4 Kuna documents nataka nitume... ile E-mail ya ofisi huwa inatake time sana kurespond
  5. D

    Nina shida na mawasiliano ya Katibu Mkuu Utumishi

    Kuna documents nataka nitume... ile E-mail ya ofisi huwa inatake time sana kurespond
  6. D

    Nina shida na mawasiliano ya Katibu Mkuu Utumishi

    Habari.. Ninaomba msaada wa kupata Baruapepe (E-mail) binafsi ya Katibu Mkuu Utumishi, Bwana Juma Mkomi.. Asanteni
  7. D

    Msaada: Mtumishi anayehama kutoka halmashauri kwenda taasisi iliyopo chini ya wizara nyingine

    😂😂😂😂 Sasa halmashauri mchakato wake si mpaka nafasi zitangazwe
  8. D

    Msaada: Mtumishi anayehama kutoka halmashauri kwenda taasisi iliyopo chini ya wizara nyingine

    Hello wana JF, Hivi mtumishi anayehama kutoka Halmashauri kwenda Taasisi nyingine liyopo chini ya Wizara baada ya kuomba nafasi hiyo kupitia AJIRA PORTAL na akaipata, je huyu akienda kuripoti atapata ile pesa ya kujikumu ya siku 14 kama waajiriwa wanaoanza kazi serikalini au yeye atahesabiwa...
  9. D

    Naomba kujuzwa Salary hizi kuanzia PTSS 6 -

    Bachelor..... Especially nafasi ya EXAMINATIONS OFFICER II kwa taasisi zilizo chini ya Wizara
  10. D

    Naomba kujuzwa Salary hizi kuanzia PTSS 6 -

    Habari, Naomba kujuzwa Salary hizi kuanzia PTSS 6 - 9.
  11. D

    Yapi yanaweza kuwa maswali ya usaili wa nafasi ya Examination Officer NECTA?

    Moja saa 1:00 Asubuhi na nyingine saa 4:00 Asubuhi. Angalia vizuri mkuu
  12. D

    Msaada wa Hints za written Interview za Examination Officer II na Registration Officer II

    Habari wana JF, Msaada wa Hints za written Interview za Examination Officer II na Registration Officer II.
  13. D

    PSRS interview questions (written, pract & oral)

    Habari! Kwa Post ya EXAMINATION OFFICER maswali yanaweza kuwa ni yapi???
Back
Top Bottom