5g ni hardware, so kuipata ni mpaka waje wafunge vifaa vya 5g kwenye mnara wako wa karibu au eneo lako. So kwa kuwa 5G husoma LTE kwa simu nyingi, wasa na inavyosoma 4g, ni ngumu kuitofautisha 5g na 4G kama eneo lako halina 5g. Ila ikiwepo tofauti utaiona.
Shule niliyosoma A level ipo kando ya barabara kuu ya TANROADS, sasa kuna siku mwalimu wa mazingira akavuta bangi akasema waliokawia kuripoti(wazee wa kuvuta) watapewa adhabu ya kufyeka majani. Katika kugawa maeneo akataka tufyete mpaka barabarani kabisa, nilipofikia zile nguzo za TANROADS tu...
Shida ni uelewa, wewe umeinunua ikiwa used lakini bei yake ilipokuwa mpya ungepasua kioo usingeona kina gharama kuliko simu. Simu inashuka bei kadri unavyoitumia lakini spare inabaki dukani ikiwa mpya so bei yake haishuki.
Unaanza unalala master bedroom, unaamka saa 6 unahamia kids room unalala kidogo, then saa 7 unakuwa umelala guest room, saa 8 unakuwa dinning umelala juu ya meza, ikifika saa 9 upo kwakochi seating room umejikunja, saa 11 unastuka upo stoo halafu pakikucha unaamkia jikoni unaendelea na breakfast.
La magogoni halina tija kwa sababu la kurasini lipo.
Pili pale ni njia ya meli italazimu liwe la kufunga na kufungua kitu ambacho hatuna umeme wa kuchezea hivyo.
Pia italeta foleni mjini maana kila mtu atataka apite magogoni kulingana na ukaribu kufika kigamboni.
Hawa wazungu wakija Afrika hatuwaombi cheti cha lugha ya nchi husika, lakini wao ukitaka kwenda kwenda kusoma kwao watataka hivyo vyeti hapo juu.
Kuna nchi kama Tanzania na zingine tunatumia kiingereza kama lugha ya kujifunzia lakini bado ukitaka kwenda kwao wanataka hicho cheti,
Huu bado ni...
Sio hapo nyuma, kuna sehemu wanaita pilau, movie ikiisha watoto wanatoka wanabaki watu wazima. kiingilio ni 2x regular, wanaangalia dakika 15 to 20 inazimwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.