Recent content by Black Opal

  1. Black Opal

    Umekula nini leo siku ya kwanza ya mwaka mpya 2024?

    Kweli hili joto sio mchezo, unatamani uwe umesaula tu muda wote
  2. Black Opal

    Umekula nini leo siku ya kwanza ya mwaka mpya 2024?

    Angalia usije ukatupa koneksheni Mkuu
  3. Black Opal

    Umekula nini leo siku ya kwanza ya mwaka mpya 2024?

    Punguza makasiriko.... stress zitakuua usifanye masihara
  4. Black Opal

    Umekula nini leo siku ya kwanza ya mwaka mpya 2024?

    Sapta limekubali Mkuu
  5. Black Opal

    Umekula nini leo siku ya kwanza ya mwaka mpya 2024?

    Pole sana Mkuu, kula tango au juice yake uondoe hiyo kitu
  6. Black Opal

    Umekula nini leo siku ya kwanza ya mwaka mpya 2024?

    Karanga mbichi....wa Cuba tumeelewa 😂 😂 😂
  7. Black Opal

    Umekula nini leo siku ya kwanza ya mwaka mpya 2024?

    Umenza makasiriko mapema hivi Mkuu, Utakufa kwa stress kabla mwaka haujasogea kokote
  8. Black Opal

    Umekula nini leo siku ya kwanza ya mwaka mpya 2024?

    Acha wivu Mkuu, lete tuone chako umpiku
  9. Black Opal

    Umekula nini leo siku ya kwanza ya mwaka mpya 2024?

    Acha hizo mkuu, nimekula kitu roho inapenda... afu huku hakuna vibudu kama huko kwengine
  10. Black Opal

    Umekula nini leo siku ya kwanza ya mwaka mpya 2024?

    Afu dagaa wana ubaya gani kwani Mkuu?😂😂😂
  11. Black Opal

    Umekula nini leo siku ya kwanza ya mwaka mpya 2024?

    Wala ndizi bukoba wanaelewa hii combo, uliza wakupe jibu.... ni noma
Back
Top Bottom