Umekula nini leo siku ya kwanza ya mwaka mpya 2024?

Huu ni mwaka mzuri sana.
Mosi tutachagua Wenyeviti badala ya kipachikiwa.

Pili zipo tetesi kanisa litatuhusu ndoa za wake wengi.

Tatu zipo tetesi na sisi Wagalatia tumehaidiwa mabikira 72,hakuna sababu za kuhama dini tena.

Nne kuanzia February 2024 bei ya umeme kushuhwa hadi cent 13 kwa unit moja.

Tano Serekali itatoa ruzuku kwa wanandoa ambao watafanikiwa kuzaa zaidi ya watoto watano.

Mwisho serekali imefuta sheria ya talaka hivyo hata mkiachana serekali haitambui.
 
mimi mpaka muda huu bado sijaweka kitu tumboni.
sababu iliyonifanya nkashindwa kunywa ni kunywa pombe nyingi wakati nikipokea mwaka, hangover imeng'ang'ania.
OVAAA
 
1704120734153.png

Muda huu picnic
 
mimi mpaka muda huu bado sijaweka kitu tumboni.
sababu iliyonifanya nkashindwa kunywa ni kunywa pombe nyingi wakati nikipokea mwaka, hangover imeng'ang'ania.
OVAAA
Pole sana Mkuu, kula tango au juice yake uondoe hiyo kitu
 
Nimeingia Gym asubuhi asubuhi nikala vyuma vya kutosha ndipo nikala kona.
 
Back
Top Bottom