Recent content by Avicii

  1. Avicii

    Mauritius wana nini Zanzibar tushindwe?

    Kujifanya wajuaji wa dini ambayo walioianzisha wameshaiacha Zanzibar kuendelea mpaka hiki kizazi Cha waarabu feki kiishe
  2. Avicii

    Israel yafungia Matangazo ya Al Jazeera kwa madai ya kutishia usalama wa nchi

    Hakika Ila saivi wanataka kumfungulia kesi icc
  3. Avicii

    Je, Harry Kane atamaliza gundu la makombe Bayern?

    Shida ni huyu babu
  4. Avicii

    Je, Harry Kane atamaliza gundu la makombe Bayern?

    Habari Wana jf wote. Moja Kati ya washambuliaji bora wa wa Kati kwa Sasa ni Harry kane mshambuliaji anayeichezea Bayern Munich ya ujerumani katika bundesliga. Kabla ya kujiunga na Bayern alikuwa akiichezea Tottenham Hotspurs ya uingereza na akiwa huko aliifungia zaidi ya magoli 200 akifunga...
  5. Avicii

    Martin Garrix anavyowaburuza kina Alan Walker na ma DJ wa EDM

    22 alikuwa top kaangalie
  6. Avicii

    Martin Garrix anavyowaburuza kina Alan Walker na ma DJ wa EDM

    Mkuu hiyo ni ya 2023 hembu cheki 2022 ,2018 to 2016 uje na feedback mwamba hajawahi toka top 3 Ila David Guetta ashashuka Sana tu
  7. Avicii

    Martin Garrix anavyowaburuza kina Alan Walker na ma DJ wa EDM

    Nitakuwa livee kusubiri vibe
  8. Avicii

    Martin Garrix anavyowaburuza kina Alan Walker na ma DJ wa EDM

    kenya wanatuzidi yaani Ile show utadhani tomorrow land. Shida hapa nyumbani EDM wengi hawaijui
  9. Avicii

    Martin Garrix anavyowaburuza kina Alan Walker na ma DJ wa EDM

    Mkuu pale legendary Avicii alihusika kuproduce na kuandika ngoma yenyewe
  10. Avicii

    Martin Garrix anavyowaburuza kina Alan Walker na ma DJ wa EDM

    Mkuu Kama unamfuatilia rammor mwaka Jana tarehe 9 December alipiga show Kenya na watu walikuwa wengi vibe la hatari hasa alipopiga ngoma ya Martin Garrix scared to be lonely
  11. Avicii

    Msaada: Nina aibu kupita kiasi, nifanyeje kuondokana na hali hii?

    Nakubaliana na wewe mkuu ishanisumbua sana
  12. Avicii

    Martin Garrix anavyowaburuza kina Alan Walker na ma DJ wa EDM

    Zina mzuka mi nikiwekaga earphones halafu unasikia "don't you worry child see heaven is got plan for you" halafu inasindikizwa na bonge la biti hiyo bike naipeleka Kama mtu aliyeaga
  13. Avicii

    Mume ajipiga punyeto mkwe akiwa mjamzito. Nini kifanyike?

    Hiyo ni addiction mkuu Kuna jomba ashafumwa chooni akinyetuka na kaacha mke ndani. Jirani anashangaa jomba hatoki chooni dakika zaidi ya 20 Mara akasikia mlio wa video za ngono yule mwanamkw alivyo mmbea kesho yake mtaa mzima ndo stori
Back
Top Bottom