Habari Wana jf wote. Moja Kati ya washambuliaji bora wa wa Kati kwa Sasa ni Harry kane mshambuliaji anayeichezea Bayern Munich ya ujerumani katika bundesliga.
Kabla ya kujiunga na Bayern alikuwa akiichezea Tottenham Hotspurs ya uingereza na akiwa huko aliifungia zaidi ya magoli 200 akifunga...
Mkuu Kama unamfuatilia rammor mwaka Jana tarehe 9 December alipiga show Kenya na watu walikuwa wengi vibe la hatari hasa alipopiga ngoma ya Martin Garrix scared to be lonely
Zina mzuka mi nikiwekaga earphones halafu unasikia "don't you worry child see heaven is got plan for you" halafu inasindikizwa na bonge la biti hiyo bike naipeleka Kama mtu aliyeaga
Hiyo ni addiction mkuu Kuna jomba ashafumwa chooni akinyetuka na kaacha mke ndani. Jirani anashangaa jomba hatoki chooni dakika zaidi ya 20 Mara akasikia mlio wa video za ngono yule mwanamkw alivyo mmbea kesho yake mtaa mzima ndo stori
Sasa ukitaka wawehuke piga hizi ngoma.
Animals
Sandstorm
Safri duo
Titanium
Levels
Play hard
Better off alone
This is what it feels like
Bad
Tremor
Sky full of stars
Wake me up
Don't you worry child
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.