Yaani umefunga halafu unaenda kutafuta wanaopika na kula? Inawezekana Mungu huwa anacheka sana akiangalia haya maigizo

Najaribu tu kuwaza kwa sauti Mtu umefunga lakini unapata muda na shauku ya kwenda kutafuta wanaopika na kula?

Hapo unakua umefunga au umeshinda njaa. Umefunga na unatamani wanao kula umefunga umebadilisha ratiba ya chakula

Upande wa pili kufunga: Hiari, ujikane nafsi yako si ulazimishwe.
Hata polisi wazanzibari ni wapuuzi kweli hawajui hata wajibu wao, wanawakamata wawapeleke kwenye mahakama ipi. Naona shida ni huyu Rais wao wa sasa inaonekana ni extrimist. Rais kijana msomi halafu mdini ni aibu. Babake hakuendekeza huo upumbavu
 
Shida sio dini shida ni hao watu wanaotaka kujisafisha mbele za watu afu kama unguja wametoka wanazuoni wengi tu ambao wanafundisha mambo mazuri ya bwana mtume Mohammad S. A. W ila hawataki kuwasikiliza mafundisho. Naweza kusema zanzibar waislamu wapo wazuri na wapo wa hovyo tena hovyo kabisa
Naunga mkono hoja hasa hapo WA HOVYO KABISA
 
Dini ya kijinga 🚮🚮 sana ndio yanasema kwamba yakifa ya akuta wanawake wangapi mabikra BLA BLA kibao...hakuna akili kabisa utumwa wa Dini hautakuja toka Kwa watu hasa Mitanzania...
 
Waliopo nchini zenji watupe updates ni watanganyika wangapi leo wamekamatwa sababu ya kula na hao waarabu koko.
 
Hata polisi wazanzibari ni wapuuzi kweli hawajui hata wajibu wao, wanawakamata wawapeleke kwenye mahakama ipi. Naona shida ni huyu Rais wao wa sasa inaonekana ni extrimist. Rais kijana msomi halafu mdini ni aibu. Babake hakuendekeza huo upumbavu
Inabid aondolewe madarakani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom