Recent content by Analogia Malenga

  1. Analogia Malenga

    Baraza la Vijana la Bunge la Tanzania lazindua Mpango Mkakati wa 2024-2029

    Mwishoni mwa wiki hii, Baraza la Vijana la Bunge la Tanzania likiongozwa na Zainab Katimba limezindua mpango wake wa kwanza wa mkakati wa miaka mitano (2024-2029). Baraza hili la vijana ni chombo cha kuwaunganisha vijana na kutoa fursa za kipekee kujadili masuala yanayowahusu moja kwa moja. Ni...
  2. Analogia Malenga

    Miradi miwili ya ajabu kwenye Wizara ya Afya

    Nimeangalia zaidi kwenye bajeti ya afya kuna miradi miwili zaidi ya hospitali ambayo inaonesha walakini kwenye utekelezaji wake. Mradi wa uimarishaji wa Hospitali ya Rufaa ya Rukwa umepokea hela 99% ya walizoomba lakini mradi huo umefikia 65%. Kuna tofauti kubwa ya kilichotolewa na...
  3. Analogia Malenga

    Inakuwaje mradi unapewa hela zaidi ya walizoomba na haukamiliki?

    Nimepitia bajeti ya wizara ya Afya 2024/25 iliyosomwa bungeni May 14, nimekutana na kituko kwa baadhi ya miradi. Mmoja wa mradi wenye kituko ni Uimarishaji ya Hospitali za Rufaa - Mawezi. Mradi huu ulihitaji Sh bilioni 7 na ukapokea bilioni 12 lakini bado haujakamilika, upo 86%. Yaani kuna...
  4. Analogia Malenga

    Je, umeombwa radhi na kampuni unayotumia huduma yake kwa tatizo la mtandao au wanakuona mbwa?

    Baafhi ya kampuni zimekuwa zikiwatumia wateja ujumbe kuwajulisha tatizo la umeme. Nadhani ni suala la kiuungwana sana. Mimi nimetumiwa ujumbe na kampuni ya mawasiliano ninayotumia, na kuna huduma nyingine nimetumiwa ujumbe pia. Kwa kweli nimejisikia faraja. Je umepata ujumbe wa huduma yoyote...
  5. Analogia Malenga

    Je, serikali ni matapeli?

    Wanahabari wamelalama kuwa wanadai serikali jumla ya bilioni 18 za kitanzania. Haya malimbikizo ya madeni kwa miaka kadhaa ambayo yametajwa kuathiri uchumi wa vyombo vya habari. Suala la madeni sio tu kwa sekta ya habari, nimesikia wadau kadhaa wakilalamika kutolipwa na serikali kiasi cha...
  6. Analogia Malenga

    Chawa huwa hawashangilii wakisikia ukweli

    Lucas why umekubaliana na kauli ya mkuu hapo juu maana naona una misimamo yako tofauti
  7. Analogia Malenga

    Chawa huwa hawashangilii wakisikia ukweli

    Hii formula kali sana
  8. Analogia Malenga

    Chawa huwa hawashangilii wakisikia ukweli

    Basi bwana kwenye siku ya uhuru wa habari duniani, hapa ambapo mgeni rasmi ni Kassim Majaliwa, kipo kikundi cha Hamasa cha Mama Samia, ambao kifupi ni chawa. Sasa Mrisho Mpoto yupo hapa anatumbuiza. Cha kushangaza mwanzo wale chawa walikuwa wanashangilia sana kila wakisikia kitu kizuri...
  9. Analogia Malenga

    Vikundi vya Hamasa vina tofauti gani na Chawa wa mama?

    Hivi karibuni kumekuwa na mjadala kuhusu watu wengi kujiita chawa wa mama, ambapo baadae Rais aliongea maneno ambaye nadhani yaliwarudisha nyuma kidogo. Leo, nipo Dodoma kama kawaida, kwenye one and two, tupo na waziri Mkuu hapa, kwa hiyo wamekuja wamama wengi wamevaa t-shirt zenye picha ya...
  10. Analogia Malenga

    Hotel za Dodoma zinakiuka sana ulinzi wa taarifa binafsi

    Kumbukumbu inaamuriwa na mwenyewe. Ingia matukio ya watu wakubwa mtaambiwa mna uhuru wa kuchagua kupigwa picha au kutopigwa picha. Hii nimeiona maeneo mengi. Zipo hoteli zinazuia wapiga picha unless amepewa tenda na mteja. Yote ni kulinda taarifa binafsi za wateja wao. Hali haiko hivyo Dodoma...
  11. Analogia Malenga

    Hotel za Dodoma zinakiuka sana ulinzi wa taarifa binafsi

    Mwenye dharau ni yule asiyeheshimu Ulinzi wa Taarifa binafsi. Ningekuwa maarufu, walau ingekuwa sawa, ila sina umaarufu unanipigaje picha
  12. Analogia Malenga

    Hotel za Dodoma zinakiuka sana ulinzi wa taarifa binafsi

    Suala la kamera hadi ndani ya vyumba imeshazungumzwa sana, hii yote ni kuheshimu privacy ya mtu
  13. Analogia Malenga

    Hotel za Dodoma zinakiuka sana ulinzi wa taarifa binafsi

    Sina umaarufu, ila wakikuona tu, tayari wanakupiga picha.
Back
Top Bottom