Recent content by Am For Real

  1. Am For Real

    Mwanaume aliyekosa akili huwa hana msaada wowote kwa mwanamke

    Kwa Dunia ya Sasa kukaa uchi ndyo kupendeza.Matokeo yake wavulana wenye madomo zege hukimbilia mafichoni kwenda kujikamua.Alafu baadaye unashangaa wanawake wanalalamika ukosefu wa nguvu za kiume.
  2. Am For Real

    Changamoto ya kutuma Maombi ya Ajira Jeshi la Polisi

    Mimi nimeamua kuweka alarm ya kuamka usiku wa manane.
  3. Am For Real

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Msibweteke kuzisiburia baada ya kuapply unashangaa zinaweza zikatoka mwakani.
  4. Am For Real

    Mwanaume ukiweza kushinda tamaa ya ngono mke hatakuendesha

    Wanawake wengi wanatumia ngono kama kiboko ya kumchapia mume. Na ukianguka kwenye huu mtego mwanamke atakuendesha kama gari bovu. Kwanza atahakikisha anakukoleza na kukupa mahaba mazito ambayo hajawahi kuonekana Dunia hii. Ukiingia mzima mzima sasa ndyo unajikuta hujiwezi. Pasipo ngono basi...
  5. Am For Real

    Ni umri gani mtoto aendelee kulala kitanda kimoja na wazazi?

    Mkuu hapo hapo umenikumbusha nimeshuhudia Sana hii Kwa majirani zangu kiasi kwamba mpaka naona aibu kuuliza japokuwa najua sio jambo zuri. Mara nyingi nimeshuhudia mama anamchukua mtoto wake wa kiume wa Miaka 5,6 au 7 wanaenda bafuni na wakitoka wote wameoga.
  6. Am For Real

    Ukizawadiwa tunda kirahisi usile kwa mapepe

    Wazungu wanasema “if you see the deal is too good think twice”
  7. Am For Real

    Ukizawadiwa tunda kirahisi usile kwa mapepe

    Unaweza Kuta anajirahisisha Hataki hata utumie ndom.Kimbia haraka Sana.
  8. Am For Real

    Nilimuoa kwa huruma ya mimba, moto unazidi kuwaka ndani

    Usiongee Chochote ishi na yeye ni kama hayupo nguo zako jifulie,kula mgahawani,Jifulie,akikuongelesha kuwa bubu labda aongelee swala la kununua unga hapo umsikilize.Usimpe attention yeyote.Siku Tatu hatoboi akikuuliza chakula Cha mtoto kuwa bubu.Kaza.
  9. Am For Real

    Nilimuoa kwa huruma ya mimba, moto unazidi kuwaka ndani

    Hajakubali Kununua unga hapo ilibidi ukae kimya na umuignore Wala usimpe attention alafu uendelee kula migahawani kwa muda. Yeye mwenyewe angechoka. Alikuwa anakupima.
Back
Top Bottom