Minimini minimo
Member
- Jan 14, 2024
- 31
- 38
Hey guys wa JamiiForums,
Kuna kasumba moja sasa hivi, mwanamke anakuwa na mwanaume wengi kutokana na tamaa binafsi walizonazo wanajikuta wanapata mimba za kushtukiza.
Kama mimba ni ya jamaa asimjali huyo mwanamke ataangalia upande wa pili.
Kama ulikuwa unamtongoza na anakukatalia utaona anakurahisishia kukupa tunda.
Hiyo inatokea kama ataigundua mapema kwahivyo wale wapenda vitonga mtayavagaa.
Tena kwa wenzangu mnaoishi kwenye majiji makubwa kama Dar, Mwanza, Arusha na Mwanza ni hatari.
Ila wanasema kitanda hakizai haramu.
Kazi kwenu wazee