Mwanaume aliyekosa akili huwa hana msaada wowote kwa mwanamke

Kuvaa mapaja Nje ni kupendenza kumbe huko daslam? Nilikuwa sijui
Nafikiri mngeitafuta logic nyuma ya hiyo picha kabla hamjasema yote.

Huyo dada Ali Kamwe aliweka shindano katika page yake ya kumtafuta dada wa kuhudhuria nae harusi (ya mfanyakazi mwenzao pale Yanga) ndipo huyo dada (pichani) akashinda kwa kura nyingi, ndio akahudhuria nae kama mnavyoona.

Hata hivyo sioni ubaya katika hiyo nguo, ni nguo sahihi katika tukio sahihi. Acheni watu wapendeze jamani, eh!
 
Huyo dada Ali Kamwe aliweka shindano katika page yake ya kumtafuta dada wa kuhudhuria nae harusi
Hiyo harusi ilikuwa ni ya kiislam, Ali Kamwe ni muislam swafi kabisa Ila alikiuka misingi ya dini ya kiislam.

Ali alipaswa aweke sharti kwa vazi atakalovaa huyo mdada liendane na misingi ya dini yake.
Hata hivyo sioni ubaya katika hiyo nguo, ni nguo sahihi katika tukio sahihi.
Hiyo nguo sio sahihi katika uislam, hilo ni vazi la wana haramu makafiri.
 
Kwa Dunia ya Sasa kukaa uchi ndyo kupendeza.Matokeo yake wavulana wenye madomo zege hukimbilia mafichoni kwenda kujikamua.Alafu baadaye unashangaa wanawake wanalalamika ukosefu wa nguvu za kiume.
 
Mwanaume upo kwenye mtoko na mwanamke wako, mwanamke wako kavaa nguo inaonesha hadi vitu vya sirini, mwanaume unakenua jino tu ukiwa umeshikamana na mwanamke wako hadharani.

Mnapiga na picha na kuzisambaza mitandaoni, wajuba wameona paja la mwanamke wako, sasa wanampigia mahesabu mwanamke wako.

Mwanaume aliyekosa akili huwa hana uwezo wa kumzuia mwanamke wake asivae nusu uchi hadharani.

Wanaume tuache ujinga.

View attachment 2989182
Mapema sana kubeba matatizo ya watu
 
Kwa hiyo point yako ni nini hasa hapa? Kwamba aendelee tu kuvaa hizo nguo za nusu uchi kwa sababu eti atakivaa nguo za kujistiri bado wahuni watamtongoza au?
Inakuhusu nini? Nguo yake inanihusu nini? Fanya yako, nifanye yangu na yeye afanye yake. Kam unaweza tembea nchi nzima kamata wanaovaa uchi maana wako wengi
 
Mwanaume upo kwenye mtoko na mwanamke wako, mwanamke wako kavaa nguo inaonesha hadi vitu vya sirini, mwanaume unakenua jino tu ukiwa umeshikamana na mwanamke wako hadharani.

Mnapiga na picha na kuzisambaza mitandaoni, wajuba wameona paja la mwanamke wako, sasa wanampigia mahesabu mwanamke wako.

Mwanaume aliyekosa akili huwa hana uwezo wa kumzuia mwanamke wake asivae nusu uchi hadharani.

Wanaume tuache ujinga.

View attachment 2989182
Wewe itakua unatokea Katavi!!!
Na kwenye familia yako utakua bado una ule ukoloni wa mwaka 1970.
Mavazi hayana uhusiano wowote na tabia ya mtu Unaweza kua na mwanamke anavaa Satini za Blue mda wote na wahuni wanapiga Miti vibaya sanna!!
 
Back
Top Bottom