KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Yes
0 Reactions
4 Replies
575 Views
Hawana tofauti na wafuasi wa shetani ambao wanapotosha Neno la Mungu kwa maslahi yao binafsi. Tunataka KATIBA mpya na siyo hisani za rais
7 Reactions
33 Replies
973 Views
Wote Naamini kwamba Mmemsikia Mzee Kinana , alichozungumza , nadhani sasa Mzee wetu umri umeanza kumtupa mkono (Ni kawaida kwa binadamu kuzeeka na kupoteza uwezo wa kufikiria ) , Mzee wetu anadai...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Rais anavunja katiba wazi wazi kwa kuzuia mchakato wa Katiba Mpya. Anaposema wananchi hawana ufahamu kuhusu Katiba, yeye ni malaika? Aliikuta Katiba na wananchi tunataka Katiba Mpya ili tuweze...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
  • Poll
Waziri Mkuu, mstaafu Jaji Joseph Warioba ameeleza wasiwasi wake kuhusu hatua ya Serikali ya kutaka kuanza kutoa elimu ya Katiba Mpya kwa miaka mitatu, akisema ni muda mrefu kwa mchakato huo...
13 Reactions
28 Replies
3K Views
Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko na teuzi za sura mpya kwenye baraza la mawaziri. Uapisho utafanyika September 1, Ikulu ndogo Zanzibar saa tano kamili asubuhi. 1. Rais Samia Suluhu Hassan...
19 Reactions
712 Replies
70K Views
Wanabodi, Kila siku za Jumapili, huwa ninaandika makala za "Kwa Maslahi ya Taifa", makala ya wiki hii ni kuhusu hoja ya "Haki sio hisani, ni stahiki". Japo hakuna binaadamu yoyote anayefurahi...
9 Reactions
54 Replies
8K Views
Wanabodi, Nimeangalia Taarifa ya habari ya ITV, saa 5:00 usiku huu, kiukweli Nimekubali Matokeo!, UKAWA Kanda ya Ziwa ni Noma!, hii combination ya JJ. Mnyika na Salum Mwalimu, ni combination ya...
11 Reactions
71 Replies
22K Views
Ni nani alikuwa anaongoza vikao vya Katiba? Sasa Katiba Mpya iko wapi? Amekuwa ineffective kama Anna Makinda. Fujo kidogo tu za John Mnyika na Halima Mdee zonakwamisha Bunge. Kule Afrika Kusini...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Taarifa nilizozipata muda huu ni kuwa Waandishi wa habari wameitwa Ikulu na Katibu Mkuu Kiongozi lengo ni kuwaonyesha Hati Ya Muungano na kukata mzizi wa Fitina Kwa wajumbe wa bunge la Katiba...
12 Reactions
554 Replies
66K Views
Baada ya mh. Wassira kutoa kauli na kuwahakikishia watanzania kuwa hati ya muungano ipo na ataiwasilisha ndani ya siku mbili. Taarifa zenye uhakika kabisa kuwa hati imeshawasili Dodoma kwa maana...
0 Reactions
58 Replies
6K Views
Wakati akichangia hoja za Kamati za Bunge Maalumu namba moja hadi 12, juu ya Sura ya Kwanza na Sura ya Sita ya Rasimu ya Katiba, Zitto Kabwe alisema wajumbe hawako Bungeni kwa ajili ya...
2 Reactions
95 Replies
14K Views
Kwa wasomaji wapya, leo ni muendelezo wa sehemu ya pili ya somo la Ijue Katiba ya JMT kwa jicho la mtunga katiba. Sehemu ya kwanza wiki iliyopita ilitambulisha katiba ni nini, ni ya nani na ya...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakati madai ya upatikanaji wa Katiba Mpya uliposhika kasi vyama tofauti vilitoa mapendekezo ya Nini kifanyike ikiwa nafasi ya upatikanaji wa Katiba hiyo Kabla ya Uchaguzi wa SERIKALI za Mitaa...
0 Reactions
0 Replies
674 Views
Baada ya Sakata la DPW upepo wa siasa umebadilika sana ni dhahiri mama kashagundua alikuwa amezungukwa na ukoo wa panya. Hii pangua pangua. Weka ma meja general kaanza kurudi kwa mtangulizi wake...
1 Reactions
2 Replies
902 Views
Mapitio ya Awali: Katiba ni waraka muhimu katika kusimamia utawala na kuelekeza maendeleo ya nchi. Tanzania, kama nchi nyingine, imekutana na mjadala wa kuandika katiba mpya, na hoja mbalimbali...
2 Reactions
3 Replies
879 Views
Nani atalitendea haki jiji hili ambalo kila siku linarudi nyuma badala ya kwenda mbele, wananchi wa jiji hili waliamini kwamba kumchagua Tulia kungeleta nafuu barabara zingejengwa ikiwepo hii...
3 Reactions
9 Replies
997 Views
Amini usiamini hao wahuni wataishia kupiga mkelele na hakuna kitu itatendeka . Walikuwa wapi hadi pesa yote hiyo inapotea. Wezi wengine ni miongoni mwao. Wanajaribu kutuhadaaa eti waanauchungu...
0 Reactions
0 Replies
400 Views
Wanabodi, When you are poor, you are just poor!, nikimaanisha ukiwa maskini, wewe ni maskini tuu, unaweza kujikuta unaishi kwa unyonge kutokana na hali yako ya umasikini!. Lakini ukijikubali kuwa...
6 Reactions
31 Replies
6K Views
Mungu huwa anatufunulia wale ambao tusingeweza kuwatambua kwa macho na fahamu zetu,Mungu uwa analeta dhoruba kwenye kujiokoa watu wanavua ngozi zao za kondoo na kuwa mbwa mwitu. Huwezi amini...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Back
Top Bottom