Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 950
- 2,872
Mungu huwa anatufunulia wale ambao tusingeweza kuwatambua kwa macho na fahamu zetu,Mungu uwa analeta dhoruba kwenye kujiokoa watu wanavua ngozi zao za kondoo na kuwa mbwa mwitu.
Huwezi amini kwamba huyu ni Zitto aliyetufundisha siasa za uzalendo na kipigamia haki.leo hii amekuwa kimya katika suala la Bandari, Loliondo, Ngorongoro, katiba mpya na haoni shida yote yanayofanywa sasa Tanganyika na kuratibiwa na CCM!
Zitto kapotea kabisa,najua ni mdini anayepigania tumbo lake na uhai wa chama chake,maana Chama cha Zitto kipo zaidi Zanzibar kuliko Tanganyika.
Chama chake cha eisitii uhai na uwepo wake unategemea Zanzibar,
2. Wenzake wa chana chake huko zanzibar wanaunga mkono udhalimu unaofanyiwa Tanganyika,je atajitenga nao?
3. Akijitenga nao ACT si ndio kifo chake kisiasa na kifedha?
Mwisho,Zito ni mdini, sasa aegemee wapi? kwa Watanganyika wenzake ambao ni mchanganyiko wa wadini wenzake na wasio wadini wenzake au aegemee kwa mdini mwenzake Samia au wadini wenzake Waarabu? (appology for this observation)