Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
Wakuu...kwa sisi mabachela hapa tunapata pilau safi kabisa..nimekula kwa Mara ya kwanza nikaongeza sahani ya pili imebidi niifunge maana nilijiaona sijashiba kabisa..halafu so kula sahani mbili...
6 Reactions
43 Replies
2K Views
Tembea uone, Nimeenda huko kunakosifiwa kwa mapenzi na mapishi, nimekutan na mboga ya ajabu sana sijawahi kuiona. Inaotwa hombo za/ja Mungu, yani ni kama vile hina, au majani ya chai...
5 Reactions
45 Replies
2K Views
Wazee wa madikodiko kwema? Xmas hiyo inakuja, umejipanga kutoka na sotojo gani? Kwa upande wangu najua pilau na juice moja matata havitakosa kwenye menu yangu, vingine hivyo vitakuwa vya ziada...
2 Reactions
26 Replies
855 Views
Habari wakuu Naomba kujua Curry powder ipi ni bora zaidi kwa sasa ambayo inaweza fanya mboga yangu ya bamia na nyanyachungu zitaste kama nyama roast.
1 Reactions
8 Replies
958 Views
Jinsi ya kutengeneza juice nzuri ya embe, anayejua tafadhari. Mtaani maembe kibao.
1 Reactions
9 Replies
20K Views
Sikuwa nakifahamu! Lakini miaka michache baada ya kusikia kikielezewa, nilifanikiwa kukila. Mara yangu ya kwanza kuila ilikuwa ni Jumatatu, 28/06/2021, Zanzibar, kwenye mghahawa uitwao ZANZI BBQ...
3 Reactions
38 Replies
2K Views
Kuna restaurant nimeingia nikaona wameandika kuna mtori ... dah... Ile kuagiza mtori si ndo nikagundua wana saga na blender ndizi zilizochemshwa wanachanganya na nyama ndo wanasema mtori ...
14 Reactions
53 Replies
3K Views
Ndg zangu. Kipindi hiki ni wiki moja watoto wakiwa wameanza likizo napenda sana kuwafundusha mapishi mbalimbali. Tukiwa jikoni yaani ni kama hotelier vile. Sasa sijui wife anawaza nini ndoa...
4 Reactions
20 Replies
742 Views
Wana jamii naomba maujuzi ya kupika wali kwa gesi hadi kuukausha kwake.
2 Reactions
109 Replies
6K Views
Kuna matunda ya asili mengine yanapatikana kwenye maeneo fulani tu, unakuta umekua ukiyala na baada ya kuondoka hapo kwenda sehemu nyingine huyaoni tena. Leo nimekaa nimeyakumbuka matunda ya...
6 Reactions
75 Replies
3K Views
Wana maakuli kwema? Moja kwa moja kwenye mada, mazee kila mtu ana msosi anaopenda ambao akiukuta kwenye sherehe mambo yanakuwa byee. Nikianza na mimi, bwana sherehe bila pilau nyama na...
0 Reactions
63 Replies
2K Views
Mahitaji: mchele, maji, chumvi,mafuta bila kusahau moto wako wa gesi, mkaa,au kuni etc.hatua ya kwanza washa moto wako, kisha injika sufuria lako jikoni,unapoinjika tu akikisha mchele wako nao upo...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau habari? Naomba kujua namna nzuri ya kuandaa UYOGA maan ni kitu ninachotamani sana kujua maandalizi yake ya upishi hasa uyoga ambao umechumwa kutoka shambani sio wa kukaushwa. Mwenye kuweza...
1 Reactions
3 Replies
384 Views
Mahitaji ya uji kwa watu 2-4 1. ngano ambayo haijakobolewa kikombe kimoja kikubwa cha chai(mug) 2. Maji vikombe viwili vikubwa vya chai 3. Maziwa ya chai kikombe kimoja kikubwa cha chai 4...
2 Reactions
68 Replies
29K Views
Tujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo kinapika kitimoto chenye Quality yaani ukigusa utatamani kesho uje tena? Kama mnavyojua Utamu wa kitimoto upate na ugari au Ndizi za...
50 Reactions
1K Replies
119K Views
Huwa najiuliza hii nyama ya nguruwe aka PIG au kwa yule pori, Ngiri.. ilikuaje ikapata jina, Kitimoto! Ni moja kati ya majina yake maarufu. [emoji6]mkishajibu mnifundishe kupka makange yake..
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Za asubuhi wakuu, No offense to my muslim folks, naomba kuuliza kama kuna mtu ameshawahi kukuta sehemu wanauza supu ya mdudu. Kiukweli Mimi kuzunguka kwangu kote nlibahatisha sehemu kuna supu ya...
11 Reactions
69 Replies
11K Views
Nani ajuaye atupe maarifa kwanini chakula cha Biriani kinapendwa kwa Ijumaa kuliko siku zingine zote? Kina mahusiano na ibada? Kila mgahawa unaopika Biriani lazima usisitize neno Ijumaa.
1 Reactions
2 Replies
336 Views
Habari zenu wapishi. Naomba kufahamu jinsi ya kuandaa viungo vya chai ya rangi. Yaani niweke viungo pekee bila majani ya chai iwe tamu na kunukia vizuri.
11 Reactions
108 Replies
32K Views
Mkopoa! Mahitaji mayai,karoti,hoho,chumvi,kitunguu maji, mkate Na mafuta ya kupikia (mimi nimetumia hoho na kitunguu kidogo sana)viungo inategemea na mapenz Yako Jinsi ya kupika vunja mayai...
10 Reactions
44 Replies
1K Views
Back
Top Bottom