Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Habari wakuu mwenye uzoefu na utoaji wa Result Transcript ya NACTE aje anisaidie kwa Waliomaliza Septemba 2018 Transcript lini kwa kada ya Afya
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Message nimepata chuo dar nimetoka mkoa nilitegemea mkopo ntapata ndo niendeshe masomo yangu sababu sina wakunisupport baba asha fariki na wakati wa application niliambatanisha vyeti vyote mapaka...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
jamani wana JF vyuo vya serikali ada zake ni shingapi.? Kwa upande wa diploma ya Afya
0 Reactions
3 Replies
8K Views
bodi ya mkopo yatoa majina ya wanafunzi walioappeal kwa mwaka wa masomo 2018/2019 na tayari baadhi ya vyuo washapelekewa majina ya wanafunzi kama udzm
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Inasemekana HESLB waliamua kureset passwords za accounts za wanafunzi walioomba mikopo na kukosa mikopo kwa awamu ya kwanza mpaka ya nne ili kufanya zoezi la kukata rufaa kushindikana kwa mwaka wa...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Ni kutoka tamisemi kweli au watu wametunga maana pepo la utapeli nalo limezid mno siku hizi
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habar za mdahuu wakubwa,,, nnaomba kuereweshwa vizuri utaratibu wa kurudia mtihan wa kidato Cha nne ni lazma kurudia masomo yote!?? au unaweza rudia hata somo moja!???
0 Reactions
2 Replies
924 Views
Bodi ya mikopo ya elimu ya juu nchini Tanzania imetoa awamu ya nne kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza 2018/2019 ambapo majina na allocation tayari yametumwa vyuoni. Mpaka kufikia leo tarehe 18...
0 Reactions
44 Replies
9K Views
Wana jukwaa napenda kufaham zaidi kuhusu hiyo course ya EPP kwa upana wake, changamoto zake katika usomaji na changamoto zake katika Ajira
0 Reactions
0 Replies
778 Views
Nina physics C chemistry B bios D olevel plus diploma pharmaceutical Science GPA 3.8 naweza pata Chuo kusoma Bsc pharmacy...???.. coz nimetishwa na kigezo cha olevel credit of bios and chemistry...
0 Reactions
5 Replies
770 Views
Wapendwa nimepata story kutoka Junior Seminary Morogoro wamevunja mkataba na mzabuni aliyekuwa na tender ya Ku supply mikate (burge) kwa ajili ya wanafunzi na kuamua kutumia wanafunzi kujipikia...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wanadau kwa yoyote mwenye dondoo juu ya hasa ni lini selection za round ya tatu zinatoka tupeane update kupitia uzi huu. Maana siku zinasonga kwa kasi halafu wengi hatujui hatma yetu. Tafadhali...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu? Kuna tetesi zinaenea kuwa matokeo ya darasa la saba yanaweza kufutwa kutokana na hali ya uzembe ya usimamizi wa mitihani hizi habari zimekaaje wakuu ni kweli au porojo tu!
0 Reactions
21 Replies
66K Views
Jaman tulio apply nursing na pharmacy St Joseph college of health Tanzania tukutane hapa maana mi upande wang nimeapply nursing diploma ila bado cjapata taarifa zozote
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wanajamvi....kuna yeyote Mwenye ufahamu kuhusu walimu walioajiriwa mwezi June / July wa Shule za msingi mwaka huu 2018 kuwa hawajaingizwa kwenye mfumo wa ulipwaji mishahara (Payroll) ...Na...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari Jf,naomba kujua ii kozi ya logistic and transport management kiundani kidogo kwa anae ijua vizuri
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu nakuja mbele zenu katika kupata mawazo yenu ni kozi gani/ipi itanifaa kusomea veta pale keko chang'ombe kwa mwaka wa masomo 2019.kati ya kozi hizi zifuatazo. 1:umeme wa magari...
0 Reactions
23 Replies
15K Views
Kwa wale tulio Apply IFM naomba tujuzane kipi kinaendelea; make tangia jana kila ninapo ingiza CODE zangu ili ni Confirm ngoma ina search tuu bila majibu, namba za simu nazo hazipatikani.
0 Reactions
0 Replies
617 Views
Habari JF,nime chaguliwa bachelor degree in biology chuo cha udom naomba kujua niki soma hiyo kozi baadae nta kuwa nani? au nta weza fanya kazi gani kulingana na hii kozi. Mawazo yenu muhim sana
0 Reactions
4 Replies
508 Views
Mambo jf,nime chaguliwa bachelor degree in biology chuo cha udom naomba kujua niki soma hiyo kozi baadae nta kuwa nani? au nta weza fanya kazi gani kulingana na hii kozi. Mawazo yenu muhim sana
0 Reactions
2 Replies
357 Views
Back
Top Bottom