Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

sorry natangulza shkran kwa anae jua hizo cutting point kwa mwaka 2019/2020
0 Reactions
11 Replies
8K Views
Iv km umemaliza diploma zen una pass tatu unaweza pata avn au mpk kurisit Wajuzi msaada
0 Reactions
1 Replies
876 Views
Is alibaba safe for sending large quantity of stock
0 Reactions
0 Replies
318 Views
lugha yaani kiingereza na kiswahili katika shule za msinginza umma kama ambavyo wamiliki wa shule binafsi hufanya?
0 Reactions
0 Replies
890 Views
Nimesikia eti alama za ufaulu ni kama zifuatazo by Ndalichako Bungeni. A: 85-100 B: 75-84 C: 70-74 D: 61-69 E: 51-60 S: 35-50 F: 0-34 Tusubiri kama ni kweli. Kuna kutu kimejificha ...
1 Reactions
66 Replies
30K Views
Za kushinda wapendwa Moja kwa moja kwenye maada. Leo nipo bar na nimewaona walimu wengi sana hapa Ambao tunafahamiana . My take nini kimetokea kwa walimu wetu wapendwa and way wafanye kama...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Ushauri:Nina CSEE D2&ACSEE D3. Je Dipl.Biomedical engineering ni course sahihi interms of ajira na maslahi kazini. Naomba ushauri wako mwana JF mwenzangu.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
habari wanajf kuna rafiki yangu kaniambia kuwa hii course co in medicine ipo kwenye mchakato wa kufutwa kabisa nikamuuliza we umesikia wapi akasema ni mwaka...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Wakuuu habari zenu na pole na majukum,Mimi ni mtumishi mwalimu nimesoma Bachelor Degree in Adult Education and Community Development. Ndugu zangu AFISA UTUMISHI NIMEMUANDIKIA BARUA ANIHAMISHIE...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari zenu wanajukwaa Kunahabari zimeenea hivi karibuni kuwa kuanzia 2019 form 6 watafanya mitihani yao mwezi wa pili(February) badala ya kufanya mwezi wa 5(May) kama wanavyofanya sasa... Naomba...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Nimemaliza kidato cha NNE mwaka Jana na kupata div 2 na kwa sasa Nina matatizo kiafya sisikii vzuri niende chuo cha afya au niende advance ushauri tafadhalu
0 Reactions
1 Replies
664 Views
Karibuni tukumbushane mambo mbalimbali kuhusu CHUO chetu pendwa cha ufundi ARUSHA TECHNICAL COLLEGE bila kusahau mikazo ya supplementary haswa AUTOMOTIVE DEPARTMENT,ELECTRICAL DEPT na nyinginezo...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Nomba kueleweshwa utofauti kati ya VETA na NACTE na ufantyaji wake kazi
1 Reactions
1 Replies
532 Views
Habari Wana Jukwaa, Jumuiya Ya Wazazi Tanzania Inamiliki Shule Kadha Wa Kadha Ndani Ya Tanzania Zaidi Ya 70, Ikiwemo Itende- Mbeya Ujiji High Schoo- Kigoma Sangu - Mbeya Ivumwe- Mbeya Meta-...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Mi mwalimu s/msingi naweza kwenda kusoma diploma???
0 Reactions
0 Replies
308 Views
Habari zenu wadau Kama kichwa cha habari kinavyosema mimi ni mmoja kati ya waliopangiwa chuo cha mipango mwanza Je ni course gani wanazitoa? Je ni bora niende huko au nitafute mbadala mwingine...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari zenu wana jamvi naomba mnifahamishe kwa mtu aliyesoma HGL anaweza kusomea kazi gani akifika chuo. Natanguliza shukrani zangu kwenu wakuu.
0 Reactions
1 Replies
694 Views
Kumekuwa na ongezeko la matamko na vitisho kwa walimu katika nyanja hii ya elimu. Lakini je tatizo ni mwalimu ndio maana elimu inashuka? Nafikiri jibu ni hapana. Kuna mambo mengi yasiyo tajwa juu...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom