Kujitenga ni kwa ajili ya watu wenye dalili za Korona pamoja na ambao hawana dalili lakini wamepima na kuthibitika kuwa wana virusi vya Korona
Hatua za kuchukua ni kama zifuatazo:-
Kaa...
Unashauriwa kuwalinda wanyama kama vile unavyowalinda binadamu
Usiruhusu wanyama kushikwa na watu nje ya kaya
Ikiwa mtu ndani ya nyumba anaugua, mtenge mtu huyo na wanyama kama utavyomtenga na...
Kwa mujibu wa taasisi ya FOPH (Kituo cha Afya cha Taifa) ya nchini Uswisi, uwezekano wa vitu hivyo kubeba maambukizi ni mkubwa endapo mtu aliyeathirika atashika kitasa cha mlango au simu huku...
Matumizi ya feni nyumbani ni salama kwa mzunguko wa hewa kati ya wanafamilia wanaoishi pamoja ambao hawajaambukizwa na virusi vya Korona
Lakini, feni zinapaswa kuepukwa wakati ambapo watu ambao...
Kabla ya kugusa barakoa, safisha mikono yako na Sanitizer au maji na sabuni.
Kagua barakoa kuona kama imechanika au kama ina matobo, usitumie barakoa ambayo imewahi kuvaliwa au imeharibika...
Barakoa hufanya kazi ya kunasa matone yaliyo na virusi tunayotoa tunapoongea, kukohoa au kupiga chafya. Husaidia katika kujilinda wewe na wanaokuzunguka dhidi ya virusi
Ikiwa unaona barakoa...
Uvutaji sigara hupunguza uwezo wa mapafu kufanya kazi na huongeza hatari ya maambukizi mengi ya njia ya upumuaji
COVID-19 ni ugonjwa wa kuambukiza ambao kimsingi hushambulia mapafu
Hivyo...
Habari wadau,
Leo nimeamua kuingia kwenye hii fani ya udaktari ili nami niweke neno kaa hapa chin basi uongeze maarifa. Ok nadhan kila mtu anajua kwa sasa kuna vuguvugu la chanjo dunia mzima tena...
Anga la Tanzania limefunguliwa takribani wiki 2 zilizopita na nchi kuruhusu Watalii kuingia nchini.
Utaratibu wa watalii kuingia nchini utahusisha upimaji wa joto wakiwa Uwanja wa Ndege na kisha...
Ugonjwa wa COVID-19 ni ugonjwa wa kuambukiza unaosababishwa na Virusi vya Corona vilivyogunduliwa Mwaka 2019. Virusi vinavyosababisha COVID19 husambazwa haswa kupitia vitone vinavyotokana na...
Wakati dunia ikiendelea kupambana kudhibiti mlipuko wa CoronaVirus, Tanzania imetangaza kuendelea kwa shughuli nyingi za kiuchumi na kijamii.
Hii inapelekea Watanzania kulazimika kutafta namna...
Baadhi ya wananchi wamelalamikia suala la watu mitaani kupuuzia ugonjwa wa #COVID19 na kuacha kuchukua tahadhari muhimu zinazoelekezwa kila siku na Wataalam wa Afya duniani
Inaelezwa kuwa...
Shirika la Afya Duniani(WHO) limeeleza kuwa watumiaji wa Sigara na Tumbaku wako kwenye hatari zaidi endapo Watabeba virusi kwenye viganja vyao
WHO imesema kuwa kitendo cha uvutaji wa Sigara na...
Sabuni hufanya kazi kwa kuharibu Molekyuli za kirusi cha Corona hasa Molekyuli za mafuta zinazounda ngao ya nje inayozunguka kirusi
Ngao ya nje ya kirusi ina mafuta ambayo hukisaidia kirusi...
UTANGULIZI
Barakoa (mask) ni kikinga pua na mdomo na ni nyenzo muhimu inayoweza kutumika kuzuia kusambaa kwa maambukizi ya vimelea vya maradhi kupitia njia ya hewa. Kuna aina mbalimbali za...
Kwa mujibu wa wataalamu wa afya, ‘surgical masks’ na mask aina ya N95 hazipaswi kufuliwa wala kuvaliwa zaidi ya mara moja. Baada ya matumizi, ikiloa au kila baada ya saa 4, mask ivuliwe kwa...
Fanya Mikutano na Vikao kwa Njia ya Video: VideoTime (bure), Jami (bure), Jitsi Meet (bure)
Watu wengi ulimwenguni kote wamekuwa wakitumia Zoom, na kuongezeka hivi kwa watumiaji wapya kumeleta...
MAMBO YA KUZINGATIA KATIKA MATUMIZI YA BARAKOA
Uvaaji wa barakoa au “mask” ni moja ya njia za kujikinga na maambukizi ya magonjwa mbalimbali ya kuambukiza. Katika kudhibiti kusambaa kwa Virusi...
Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa (WHO) limetoa taarifa ya kusisitiza kuwa kuambukizwa ugonjwa huo unaosababishwa na Virusi vya Corona si mwisho wa maisha
Imeelezwa kuwa Watu waliopata...
Watu wamekuwa wakiendelea kuitikia wito wa kukaa nyumbani na kuepuka mizunguko isiyokuwa na ulazima ili kujilinda dhidi ya maambukizi ya #COVID19.
Hata hivyo watu wamekuwa wakijihusisha na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.