Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Leo nimefika kituoni kwangu nikiwa na kitambulisho changu cha Taifa, nimesita kidogo kufika RCH station kwa ajiri ya kupata chanjo as bado nilikua sijaamua. Nimefungua Computer yangu, nikapitia...
8 Reactions
77 Replies
5K Views
JF Doctors, heshima kwenu. Katika pitapita zangu niliweza kujifunza kuwa chanjo/ vaccine hutolewa kwa mtu ambaye ni negative yaan mtu ambaye bado hajaathiriwa na ugonjwa husika. Nikiwa na maana...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Binafsi nimepata chanjo ya uviko-19 nchini Tanzania; lakini sijapata mpaka sasa maudhi madogo wala makubwa na hivyo namshukuru Mwenyezi Mungu kuniepusha changamoto walizopata wenzangu wachache...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni mmoja wa watu wanaishi na Pumu aka Athma. Kama mnavojua ugonjwa huu hauambukizi, Mimi Nimekua nao maisha yote! Mama yangu anasema nilipokua mdogo ilikua inanisumbua sana lkn katika maisha yangu...
3 Reactions
10 Replies
24K Views
Habari zenu wanajukwaa. Binafsi nina ugonjwa wa kudumu(Pumu) na nahitaji chanjo. Naomba kujua hili kuhusu chanjo ya Corona kwangu mimi na ambaye hana Puma. Je, nikipata chanjo bado nitaambukizwa...
1 Reactions
6 Replies
720 Views
Naomba maelekezo ndugu zanguni jinsi ili niweze kujua jinsi ya kuweka booking kwa ajili ya kuchanja. Natarajia kwenda kuchanja wiki hii katika hospitali ya kairuki
1 Reactions
1 Replies
645 Views
Wadau chanjo kitaalam anapewa mtu ambaye hajapata ugonjwa ili iwe kinga kwake. Watanzania wengi sasa COVID-19 ilishapamba moto kutokana na jinsi serikali ya JPM ilivyopuuzia hili jambo...
1 Reactions
2 Replies
805 Views
Wakuu hospital gani hapa dar inatoa chanjo na masharti gani yanatakiwa ili nipate chanjo? Mwenye kujua anipe utaratibu.
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wataalamu wa #Afya wameifananisha Chanjo dhidi ya Magonjwa mbalimbali ni kama #Helmet anayovaa Dereva na Abiria wa Pikipiki. Ufafanisho huo umemaanisha chanjo kama ya #COVID19 umetokana na ukweli...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba kujua gharama kwa mtu aliye na corona, baba yangu amelazwa KCMC yaani kila siku gharama hazieleweki kwa siku ya kwanza tu tuliambiwa ni kama1.9 million bado gharama kwa siku nyingine na...
4 Reactions
27 Replies
2K Views
Corona virus is the disease caused by virus known as SARS-COV-2 which was errupted in Wuhan china on december 2019. Corona Virus is the respiratory disease that attacks the respiratory system and...
0 Reactions
0 Replies
400 Views
  • Closed
Ni kawaida kwa watanzania walio wengi kuona suala la kawaida kama halijamgusa moja kwa moja. Hali hii iko hivyo kwa baadhi ya maeneo hapa nchini Je, hali ikoje kwenye mtaa wako? Watu wanachukua...
3 Reactions
30 Replies
4K Views
Utakumbuka wakati ule ametangazwa mgonjwa wa kwanza wa COVID-19 Tanzania, watu wengi walianza kuchukua tahadhari. Lakini kirusi alishaingia Tanzania. Watu baadhi wakaumwa. Kwakuwa tahadhari...
0 Reactions
1 Replies
736 Views
  • Closed
Baada ya kuenea kwa maambukizi ya virusi vya corona duniani mwanzoni mwa mwaka jana, dunia ilianza kutafuta chanjo, na hadi kufikia mwishoni mwa mwaka, kampuni kubwa tano za Pfizer-BioNTech...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
  • Closed
Mchele mbichi una Bakteria hatari wa Bacillus Cereus ambao husababisha sumu ya chakula 'food poisoning'. Vilevile una misombo kadhaa ambayo husababisha matatizo katika hatua mmeng'enyo wa chakula...
2 Reactions
7 Replies
4K Views
  • Closed
Kirusi cha korona (Corona virus), ni kimelea chenye gamba na kutunza vinasaba vyake katika malighafi za RNA. Corona virus ni kisababishi cha magonjwa mbalimbali na vimelea hivyo vina makabila...
48 Reactions
973 Replies
126K Views
  • Closed
Watu hawapaswi kuvaa barakoa wakati wa kufanya mazoezi, kwa kuwa barakoa zinaweza kupunguza uwezo wa kupumua vizuri. Jasho linaweza kufanya barakoa iweze kuwa na unyevu haraka zaidi ambapo...
1 Reactions
3 Replies
830 Views
  • Closed
Usivae barakoa pindi unapokuwa katika shughuli zinazopelekea barakoa kuloa kama kuogelea, ukinyeshewa na mvua ama shughuli yoyote inayohatarisha barakoa kuloana. Barakoa mbichi husababisha...
1 Reactions
1 Replies
950 Views
  • Closed
Licha ya dalili za awali zinazotambulika tangu wimbi la kwanza, pia kuna dalili nyingine zinazogunduliwa na madaktari hivi karibuni, ambazo zinahitaji uangalifu. Madaktari nchini India wanaamini...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom