NI SEHEMU GANI HATARISHI ZAIDI KWA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA #CORONA?
Sehemu za kuepuka kabisa
Sehemu za starehe kama vilabu na baa, migahawa, nyumba za mazoezi, saluni, sehemu za kuangalia...
Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa cha Marekani kimeeleza kuwa #CoronaVirus ni ugonjwa mpya na bado Waatalamu wanajifunza namna unavyoenea, unaweza kuenea kwa kiwango gani na makali yake kwa...
1. Ni kawaida kuhisi huzuni, kupata mawazo, kuchanganyikiwa, kuogopa au kuwa na hasira wakati wa matatizo. Ongea na watu unaoamini watakusaidia. Wasiliana na familia yako au marafiki
2. Kama ni...
Taarifa za uzushi zinaweza kuchangia kwa kiasi kikubwa kuenea kwa maambukizi kwasababu jamii inaweza kuwa imepotoshwa kuhusu njia za kujikinga
Kuongeza taharuki na sintofahamu katika jamii. Hofu...
Shirika la Afya la Umoja(WHO), limetoa ufafanuzi wa swali hilo kwa kubainisha jinsi magonjwa hayo yanavyofanana na kutofautiana
KUFANANA;👇🏿
1: Magonjwa haya yanafanana kwasababu yote huathiri...
Mvulana huyo alipimwa na kuthibitika kuwa na maambukizi ya #CoronaVirus na familia yake ikieleza kuwa Mtoto wao hakuwa akisumbuliwa na magonjwa mengine
Kijana huyo anakuwa Muingereza wa kwanza...
Kwa watu wengi kufanya kazi wakiwa nyumbani ni uzoefu mpya na wasichojua ni kuwa inahitaji nidhamu ya juu kumaliza kazi na kupata matokeo chanya. Fanya haya ili uweze kupata matokeo chanya.
1...
Je, Dalili za #COVID19 ni tofauti kati ya Watu Wazima na watoto?
======
JE, NAWEZA KUPATA #CORONAVIRUS KWA VITU NILIVYOAGIZA UGHAIBUNI?
Kuna tetesi nyingi na taarifa nyingi zinazozunguka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.