Ni habari mbaya ya kusikitisha mno kutokea Seregeti.
Mwili wa mwendazake akiwa na ujauzito wa miezi tisa ulikutwa juu ya mti wa mwembe ukiwa umening'inia na hii ni baada ya kugunduliwa na Watoto...
Profesa wa Sayansi ya Siasa na Utawala aliyebobea Kikamilifu kwenye Masuala ya Mahusiano ya Kimataifa.
Msomi huyu alilitumika Taifa lake kwa nguvu zake zote na kwa Uzalendo mkubwa akiwa Chuo...
Taarifa ya Msiba.
Profesa wa Sheria UDSM, Josephat Kanywanyi kafariki Jumapili asubuhi tarehe 10.01.2021 Ibada ya kuaga mwili itafanyika Nkrumah Hall siku ya Jumanne saa tano asubuhi. Na Mazishi...
Umuofia Kwenu wana JF,
Kheri ya Mwaka Mpya!
Mtoto wa mwisho wa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Rose Nyerere amefariki leo mjini Dar es Salaam.
Taarifa za duru za uhakika zinaarifu kuwa Rose...
Mwili wake ulikutwa mtupu jirani na korongo ukiwa umechomwa na vitu vyenye ncha kali pamoja na kufanyiwa ukatili
Tukio hilo la kusikitisha limetokea siku ya xmas
======
Mwanafunzi wa mwaka wa...
Mpendwa wetu ametutoka alfajiri ya kuamkia leo akipatiwa matibabu ya kibinadamu Hospitali ya Taifa Muhimbili
Taratibu za mazishi zitatolewa baadaye
Tunatoa pole kwa wafiwa na wote walioguswa na...
Kwa Masikitiko makubwa napenda kuwataarifu kuwa Askofu wa Kanisa Katoliki Tanga Anthony Banzi afariki Dunia alfajiri ya leo Muhimbili National Hospital. RIP Askofu Banzi.
Pumzika kwa Amani Baba...
Oho God. Mzee wa watu , Mtanzania huyu. Kipigo kimemfanya atoke duniani. Hiki kilio hakitawaaacha salama wanasiasa na vyombo vilivyoshiriki kuwatesa Watanzania .
Nimepokea kwa masikitiko makubwa...
MKURUGENZI wa Shirika la
Maendeleo la Taifa (NDC), Profesa
Damian Gabagambi amefariki dunia hospitali ya Taifa ya Muhimbili leo.
Awali kabla ya kuteuliwa kuwa Mkurugenzi wa NDC alikua...
Mfanyabiashara maarufu Dodoma, Ndugu Calvin Maimu amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Tarehe 17/07/2020 katika Hospital ya Hindu Mandal Jijini Dar e Salaam.
Mfanyabiashara huyo mkubwa alikuwa...
Dr. Shika Hatunaye tena!
Aliyewahi kuvuma kwa umaarufu katika mnada wa kununua nyumba za Lugumi!
Amefariki hivi punde huko mkoani Mwanza baada ya kuugua kansa kwa mda mrefu!
Mungu alitoa na...
Aliyekuwa msemaji wa jeshi la Polisi ndugu Aden Mwamunyange amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Mwamunyange ambaye ni Kaka wa Davis Mwamunyange aliyekuwa CDF.
Mungu ailaze mahali...
Baada ya kupata huu ujumbe
Ndugu zangu wana UDSM nasikitika kuwapa taarifa kuwa jana usiku wa saa tano na dakika 20 nilishuhudia mwana UDSM mwenzangu akigongwa na gari ndogo nyeusi, maeneo ya...
PROMINENT Congolese scholar and former University of Dar es Salaam History lecturer Prof Ernest Wamba dia Wamba has passed away in Bunia, Democratic Republic of Congo.
Until Thursday morning...
Mwandishi wa Habari mkongwe ambaye amewahi kufanya kazi, sehemu mbalimbali na hatimae akafanya kazi UTPC chini yangu mimi, amefariki dunia jana asubuhi kwenye hospitali ya rufaa ya Bugando Jijini...
Kwa masikitiko makubwa tunapenda kuwajulisha members wote kuwa, mwenzetu Freetown hatunae tena,ametwaliwa kutoka kwenye ulimwengu huu.
Kwa members wa zamani, nadhani mtakuwa mnaifahamu hii ID...
Mzee muungwana na mwenye hekima amefariki katika hospital ya Muhimbili.
========
1. Usuli:
Mh. JOB MALECELA LUSINDE, ambaye ni ndugu wa Mh. JOHN SAMWEL CIGWEYIMISI MALECELA, alizaliwa huko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.