dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 9,637
- 16,324
Kesho ni ijumaa kuu kwa kifupi ni njia ya msalaba bwana yesu wetu kristo alipitia katika mateso yake
Najua hatutakula nyma kabisa je ni hatari na haramu nikila samaki?
Msaaada naombeni
Najua hatutakula nyma kabisa je ni hatari na haramu nikila samaki?
Msaaada naombeni