Kesho ijumaa kuu kwa wakristo kula nyama ni mwiko je nikila samaki vipi hapo?

Nyie acheni kujidanganya na takwimu za uongo. Wee ina maana ni mgeni nchi hii. Hujui mikoa iliyo nyuma kielimu, kiuchumi na kimaendeleo kwa ujumla ni ile yenye idadi kubwa ya waislam? Unataka nikutajie?

Hata sub Sahara Africa waislam ndo shidaa
Nipe takwim za kweli nani anashikilia uchumi wa nchi yako
 
Muda Hautoshi kusoma mambo uliyoandika nijibu jibu moja tu biblia imekataza kula nguruwe au haijakataza? Sema ndiyo au hapana hayo maelezo mengi wala hayana umuhimu
Nilijua hutasoma ndio maana nilisema nimejibu kwa faida ya wengine.

The answer is NO. since Christians are not under the mosaic Law.
 
Nipe takwim za kweli nani anashikilia uchumi wa nchi yako

Una elimu gani bro. Nisije nikawa nampigia mbuzi gitaa.
Kwenye econometrics kuna kitu kinaitwa outliers (In statistics, an outlier is a data point that differs significantly from other observations). Hao ni wale ambao wako juu sana ya wastani. Ambao kwenye analysis tunawa chop out. Ndivyo ilivyo wenye ukwasi wa waislam. Kuna matajiri kiduchu, lakini ninyi walalahoi mko wengi. Kwa hiyo ninyi wastani wenu umaskini uko juu.
 
Back
Top Bottom