Kwanini wakristo hatuli nyama siku ta ijumaa kuu?

Miss_Mariaah

JF-Expert Member
Nov 9, 2022
1,119
2,527
Habarini za asubuhi ndugu.

Hivi kwanini wakristo hatuli nyama siku ya ijumaa kuu logic behind ni nini hasa?

Mbona scriptures zina support kuhusu kula mwili wa Yesu, ni wapi kwenye Bible pameandikwa tusile nyama siku yA ijumaa kuu au Kula nyama siku ya ijumaa kuu ni dhambi?
 
Mi ni muislamu lakini nikujibu navofaha

Siku ya ijumaa kuu ndio yesu alisurubiwa msalabani Hadi akafa kwa hiyo ni Kama tu kuheshimu Kristu alichopitia ...ndio mana umeambiwa usile nyama sababu yesu alitoka damu..unatakiwa uitumie siku hiyo kujitafakari na kufanya maombi...au nimekosea wakuu
 
hongera, we ni muislam mkristo umejibu vema sana
 
Habarini za asubuhi ndugu.

Hivi kwanini wakristo hatuli nyama siku ya ijumaa kuu logic behind ni nini hasa?

Mbona scriptures zina support kuhusu kula mwili wa Yesu, ni wapi kwenye Bible pameandikwa tusile nyama siku yA ijumaa kuu au Kula nyama siku ya ijumaa kuu ni dhambi?
ungesema kwanini wakatoliki, walutheran, waanglicana na wamorovian hawali nyama siku hiyo.

manake wapentecost wote wanakula tena nyingi tu. na hawaamini kama kula nyama ni kumla Yesu. ajabu sana.
 
Wamekokoteza ibada ya hisia yaani kuenzi tukio ,kutokula nyama ambayo asili yake ni pande la damu hata damu hiyo ilimwagika aliposulubiwa kwa mujibu.

Mantiki ,kuungana kiroho katika kuenzi lile tukio ,hamna hitaji la andiko maana ni ibada ya watu kukubali kuungana kwa vitendo na moyo kuenzi tukio hilo.
 
Habarini za asubuhi ndugu.

Hivi kwanini wakristo hatuli nyama siku ya ijumaa kuu logic behind ni nini hasa?

Mbona scriptures zina support kuhusu kula mwili wa Yesu, ni wapi kwenye Bible pameandikwa tusile nyama siku yA ijumaa kuu au Kula nyama siku ya ijumaa kuu ni dhambi?
Ni nani aliyekuzuia kula nyama hiyo siku? Tuanzie hapa kwanza. Maana mimi ni Mkristo, tena Mkatoliki niliyebakiza miaka michache tu enzi hizo kuwa Padre! Ila siku ya jana nilipokuwa safarini, nilikula ndizi za kukaanga na mishkaki ya kutosha tu!!

Hayo ni mapokeo tu ya Kanisa. Kwa hiyo hakuna wa kukulazimisha. Na hata ukifanya hivyo, bado utakuwa hujafanya kosa lolote lile.
 
Ni mapokeo tu. Hizi dini zikishaweka sheria au msimamo waumini wake wanafata bila reasoning yoyote.

Ndio maana na ile nyingine itatoa mabikira na mito ya pombe kwa atakayewalipua binadamu wenzake kwa kuwaita makafiri.
 
Back
Top Bottom