Kesho ijumaa kuu kwa wakristo kula nyama ni mwiko je nikila samaki vipi hapo?

Kesho Ni ijumaa kuu kwa kifupi Ni njia ya msalaba bwana yesu wetu kristo alipitia ktk mateso yake

Najuwa hatutakula nyma kabsa je Ni hatari na haramu nikila samaki

Msaaada naombeni
The tradition of abstaining from meat on Fridays, and particularly on Good Friday (the Friday just prior to Easter), is as a way of commemorating the day Christ died.

While there is no specific Biblical reference to Friday meat abstinence, there are all kinds of examples, both in the Old and New Testaments, of fasting, to one degree or another, as a mark of respect and obedience to God.
 
Kesho Ni ijumaa kuu kwa kifupi Ni njia ya msalaba bwana yesu wetu kristo alipitia ktk mateso yake

Najuwa hatutakula nyma kabsa je Ni hatari na haramu nikila samaki

Msaaada naombeni
🤣🤣Satoohh kula
Mie nitaanzia busisi pale kwenye saa 5 asubuh na lisatooh langu na ndizi bukobah na mchemsho wa karangah,then nitaingia kanisani hapa usagara nikiwa natokea sengeremah
Baada ya ibada takatifu,nitafika nyumbani bwiruu,kula paskahh na vijanah wangu
Karibu the kaskii jpil🙏
 
Wakristo hawana katazo hilo.

Wanaoabudu miungu ya sanamu ndo wamejiwekea hilo katazo ili kuigiza kuwa wanamuabudu Mungu wa kweli.
Hata hiyo kufunga siku 40 siyo Agizo la Kristo bali ni mapokeo ya kimizimu.

Kesho nakula nyama na sina dhambi kwenye hilo

Huu ni ukweli mgumu na mchungu sana.
Hii hoja naiunga mkono asilimia mia, nami nitashiriki ulaji wa nyama ktk milo yangu mitatu ya siku nikianza na supu! MIMI NI MKRISTO.
 
🤣🤣Satoohh kula
Mie nitaanzia busisi pale kwenye saa 5 asubuh na lisatooh langu na ndizi bukobah na mchemsho wa karangah,then nitaingia kanisani hapa usagara nikiwa natokea sengeremah
Baada ya ibada takatifu,nitafika nyumbani bwiruu,kula paskahh na vijanah wangu
Karibu the kaskii jpil🙏
Bwiru Place?! Umenikumbushaa mbali sato mwenye kichwa chekundu hapo Iloganzala.
 
Back
Top Bottom