viatu

  1. Z

    INAUZWA Nauza viatu vya ngozi (Sandals) vya kiume na kike kwa bei nafuu.

    Viatu ni vizuri na imara sana. Bei: 12,000 tu Napatikana Dsm Segerea mwisho. Mawasiliano: 0744252541 Ukihitaji huduma ya delivery utaletewa kwa gharama zako. Mikoani pia utatumiwa kwa gharama zako.
  2. Mad Max

    Wanaume Warefu: Ebu jaribu viatu vyenye "long neck style" kama vitakufaa

    Wakuu. Kama wewe ni mrefu, juu ya mita 1.7 ebu jaribisha kuvaa viatu vyenye shingo ndefu kwenye mitoko yako ya sahivi. Kama ni mtu wa jeans na track jaribisha Jordan 1 [ata copy nzuri tu unapata kwa 40,000/=] au Jordan 5, 6 au 7 etc. Au kama una mix jean na juu shati, au kadeti, unaweza...
  3. Minjingu Jingu

    Wapi naweza kupata nguo na viatu vya Mtumba vya quality na bei nzuri?

    Wadau, Naombeni msaada wapi nitapata Mashati na suruali kwa bei nzuri hapa Dar na Quality ya ukweli. Mimi hupendelea mtumba sababu unakuwa wa tofauti kidogo kuliko Dar Combine. Anywhere but not Kariakoo please.
  4. Abubakari Mussa

    Viatu vya culture

    Waheshimiwa habari zenu, Naomba kuuliza na kufahamu, viatu vya culture kwa hapa DSM wanatengeneza wapi au wanapouzia kwa jumla? Msaaada wakuu nina tanguliza shukrani Naweka picha ili upate kujua nachoulizia
  5. Minjingu Jingu

    Ukiacha electronics kununua Zanzibar suala la nguo na viatu

    Wengi husema electronics kwa Zanzibar ni bei nzuri. Je kwa upande wa nguo na viatu ikoje? Naweza nunua Nguo au Viatu Zanzibar badala ya Dar Es Salaam? Kuna bei nzuri kwa vitu hivyo? Au nini naweza nunua Zanzibar kwa bei nzuri kuliko Dar. Ukiacha tende, ubuyu na halua.
  6. Nsanzagee

    Sababu za kufubaza udhaifu wa viongozi waliopo, ni pamoja na kumsema Hayati Magufuli alikuwa mporaji

    Kuna wakati viongozi wa CCM hujaribu kuwatukana watanzania matusi ya rejareja Ni nani atakayeamini hiki wasemacho kina Kinana? Jambo la mapato kuongezeka, ni kweli linaendana na uhalisia? Mimi nasema hivi, halina uhalisia kwa sababu nyingi tu, Moja ya sababu ni pamoja na kuwepo sababu za...
  7. L

    Viatu vinauzwa bei nafuu

    Habarini ndugu zangu wa JF mimi ni mfanyabiashara wa viatu bei ndogo kabisa ambapo unaweza kupendeza kwa bei ndogo kabisa kwa sh 20000/=
  8. Bata Boy Official

    Natafuta marafiki wanaofanya biashara ya viatu vya mtumba

    Habari wakuu? Wanasema ndege wenye manyoya ya kufanana huruka pamoja. Na mimi pia naamini kwenye mzunguko wa watu wangu wa karibu nikiwa na watu wanaofanya kitu kama changu itanisaidia kukua. Mimi nafanya biashara ya viatu vya mitumba lakini kwa sasa bado nipo hatua ya...
  9. Equation x

    Fundi wa kushona viatu anahitajika

    Kuna karakana ndogo inahitaji fundi wa kushona viatu vya kiume hasa travolta. Mjuzi, awe na uwezo wa kutengeneza hivyo viatu na vionekane vipya kabisa. Malipo kwa kila pea ni sh. 5000/= Kama una huo ujuzi, na huna kazi kwa sasa; njoo ujumuike na timu yetu kwa kazi. Karibu pm, kwa mwenye ujuzi tu.
  10. Mjanja M1

    Dokta Greyson: Kutembea bila ya viatu (Peku) kunaongeza nguvu za kiume

    Dokta Greyson Babishomba, akiwa anafanya mahojiano na Kituo cha Redio cha Times Fm, amesema kuwa tabia ya kutembea peku bila ya kuvaa viatu huongeza nguvu za kiume. ANGALIA VIDEO HAPA Nini maoni yako? Written by Mjanja M1 ✍️
  11. Scolari

    Wizi wa viatu msikiti wa Manyema

    Kwanini kuibiana viatu katika msikiti? Hii tabia ikomeshweeeee Kwani ni lazima kila mtu aende kavaa kobazi? Tazama video chini
  12. R

    Wafuatao, wanaweza kuvivaa viatu vya Magufuli na vikawaenea

    Salaam, Shalom!! Nimefanya Utafiti mdogo na kufanikiwa kupata kujua size ya viatu vya mzalendo na mchapakazi Magufuli. Viatu hivyo vimenakshiwa na sifa ZIFUATAZO, 1. UTHUBUTU& MSIMAMO THABITI. 2. UZALENDO. 3. UCHAPAKAZI. 4. MAONO/VISION. Wafuatao, Wana sifa hizo hapo juu ingawa Si zote...
  13. Bwashee Machui

    Naomba kujua Bei ya viatu vya kike simple shoes per caton (36)

    Habari waungwani, wafanyabiashara wa viatu,ninampango wa kuanza kufanya biashara ya simple shoes za kike Kwa anayeweza kunipa diteliz za uhakika namkaribisha Wasapu 0673817130 tufanye biashara pamoja
  14. S

    Mh. Mohamed Mchengerwa utaweza kuvaa viatu vya Ummy TAMISEMI? TAMISEMI ni ngumu, walimu hawajalipwa pesa za likizo za mwaka jana.

    Mohamed Mchengerwa unaaminika ni waziri mchapakazi, tumekuandikia mara nyingi humu kwamba kuna ubaguzi kwenye Halmashauri zetu, mm nimetoa mfano wa halmashauri ya wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, hakuna mabadiliko yoyote mpaka sahivi, baadhi wamelipwa na wengine hawajalipwa. Wakati huo viongozi...
  15. AlphaMale_

    Jamaa graduate anaangaliwa na familia yote na njia za hela hana ana miliki vyeti

    Vijana wa hivi wapo wengi kwa sasa depression itatumaliza vijana
  16. Mr Dudumizi

    Kumbe ishu ya Makonda imemlaza Gwajima na viatu

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Aisee sikutegemea kama ishu ya kuteuliwa kijana Paul Christian Makonda huko CCM imewaumiza, imewakera, imewapagawisha, imewachukiza na kuwafurahisha watu tofauti tofauti na wenye heshima mbali mbali nchini. Kati ya watu ambao inasemekana kuwa walipagawa na...
  17. Afrocentric view

    Usivae viatu vinavyobana, vinaua maini

    Tokea binadamu watokee kwenye uso wa Dunia miaka 300,000 iliyopita. tumeevolve bila kuwa na viatu miguuni. Hivyo miwili yetu haijaadapt kutembea ikiwa imebanwa miguuni. Viatu vimegunduliwa chini ya miaka 500 tu iliyopita. Hapa Africa hata Babu Yako tu hakuvaa viatu, kama alivaa basi baba yake...
  18. Pascal Ndege

    Hekima: Usitoe sana sadaka bila kujibakiza, tumia akili sana, uliza moyo wako, angalia watoto na familia, angalia nguo na viatu vyako ndio utoe sadaka

    Hapo zamani tulikuwa na wazungu walitufundisha kuwa Mungu huwasaidia watu wanaojisaidia wenyewe. Hawa wazungu walimaanisha ukifanyakazi kwa bidii na kumtumainia Mungu ndio utafanikiwa. Nimekutana na waumini flani wanatoa sadaka hadi wanakosa nauli ya kurudi nyumbani. Niliwahi kuona mke wa mtu...
  19. Erythrocyte

    Wanafunzi Kukosa Viatu ni ishara ya wazi ya Umasikini wa nchi

    Huko Rwangwa ambako Rais Samia yuko ziarani , na ambako kila mwananchi aliyehudhuria Mapokezi ya Rais ameonekana ameshika bango la kumpomba , Wanafunzi hawana viatu . Ndiyo maana Chawa wa Mama wameamua kuomba hela wanakojua wenyewe na kugawa kwenye Kaya Masikini huku wakiongozana na mama...
  20. Salahan

    Biashara ya viatu vya watoto wa kiume

    Bei Ya China Bila Usafiri 3500 kwa pea Size 20-33 Pack 1 Makadirio Usafiri kwa meli 1000-2000 kwa pea (Unalipia baada ya mzigo kufika bongo) Makadirio Muda wa usafiri siku 30-45 Kima cha chini kuagiza (Moq) pea 300 Gharama zangu ikiwa utahitaji nikuagizie ni 200 kila pea...
Back
Top Bottom