mtu

  1. Melki the Storyteller

    Ni kweli mchekeshaji Leornardo ana huu uwezo mkubwa wa kufikiri au kuna mtu nyuma ya kamera?

    Nimetafakari sana nikajikuta nacheka tu bila sababu. Hivi huyu Leonardo ana huu uwezo mkubwa wa kudadavua hesabu za kuzidisha namna hii? Ama ni vile Clouds wameamua ku-create content kwa lengo la kuteka attention za watu?
  2. Wimbo

    Si lazima mtu afe ndiyo mtaa upewe jina lake

    Hakuna shaka kwamba Mama Maria Nyerere, atadumu katika historia kama mke wa mwasisi wa Taifa letu. Kama ukili wetu ukiona mafanikio ya mwanamme basi nyuma yake kuna mwanamke mwenye busara. Tusingoje Maria afe ndo tumpe mtaa.
  3. Fabian Vitus

    Kutofanya mapenzi kwa muda mrefu kuna athari zipi kwa mwanaume?

    Twede kwenye hoja moja kwa moja wakuu wa afya Kama mpo naomba mnipe elimu ya kina. Mara kadhaa nimekua nikisoma makala tofauti tofauti kuhusu afya kwa upande wa jinsia za kike sijabahatika kuona Mahala kumeanikwa madhara anayoweza kupata mwanaume endapo hajafanya mapenzi /ngono kwa mda mrefu...
  4. Top007

    Natafuta Mtu wa masoko

    Habari Naitaji sales person ( Mzoefu au mwenye uwezo wa kutafuta masoko ) Mashara : 300k ~ 400k kwa mwez kutokana na uwezo na uzoefu wako. Piga : 0678650509
  5. M

    Ilikuwaje mara ya kwanza ulipokutana na mtu mliyechati mtandaoni kwa nia ya kuwa wapenzi?

    "Samahani sana ninavyokuona sio kama nilivyotegemea, HATUENDANI"... baada ya kusema hivyo jamaa aliyekuwa naye kwenye Toyota Hiace nyeupe akaniangalia na kutabasamu kisha akaondoa gari. Mimi nikaachwa nimesimama. Kibaya zaidi hata kwenye gari hakushuka. Sikuweza kujua yule kijana alikuwa nani...
  6. La3

    SoC04 Kujiajiri kwa mafanikio makubwa kunategemea shauku ya mtu mwenyewe kupenda kujiajiri kutoka ndani ya moyo wake

    Kujiajiri ni uwezo wa kuwa na chanzo cha kipato na kukiinua kutoka chini na kukiendeleza. Kujiajiri ni kuzuri sana kama mtu mwenyewe amependa. Sasa hapa hatutazami vijana wasomi tu, tunatazama vijana wote kwa ujumla (wasomi na ambao sio wasomi) Kuwa msomi hakumaanishi anaweza kujiajiri. Sasa...
  7. ndege JOHN

    Bilionea ni mtu mwenye hela sana, akikupa million 200 hapati gepu

    Kuna watu wenye hela zao Sema tu hujakutana nao wapo huko duniani Wanasubiri marafiki wawape pesa fikiria fikiria hela ziko hewani ni wewe kuzidownload tu tafuta rafiki mzuri mwenye idea maana kila kitu kinaanzia kwenye idea.
  8. Staphylococcus Aureus

    Natafuta mtu mwenye geto kali Mwanza awe ananiazima

    Mimi ni kijana mwaminifu kabisa sio mwizi ila natafuta mtu wa kua ananiazima geto hata kwa masaa kwa ajili ya shughuli zangu ndogo ndogo! Nitakua nampooza ya maji!! NB: Wenye ushauri wa uende lodge/hotel siwataki
  9. King Jody

    Rafiki yangu amezaa na mke wa mtu

    Habari zenu waungwana, Rafiki yangu anaomba ushauri, Kwa kifupi ilitokea akawa na mahusiano na mke wa mtu, kwa maelezo yake anasema Mara ya kwanza Kushiriki tendo mwanamke alinasa ujauzito. Baada ya mwanamke kujifungua mtoto mzuri wa kike ikawa jamaa anaulizia maendeleo ya mtoto anapewa...
  10. P

    Makonda ni mbunifu sana. Popote alipo lazima watu wamsikilize

    Kwa binadamu yeyote anayetamani kuona Tanzania inapiga hatua ya maendeleo katika kila nyanja, basi bila shaka atakuwa anafurahishwa na jitihada za Makonda katika kutatua kero za wananchi. Makonda ni mbunifu sana. Popote alipo lazima watu wamsikilize. Na hii ni kutokana na yeye mwenyewe kupenda...
  11. Carlos The Jackal

    Mwenyekiti/Afsa Mkopo Saccos, Wamekiri Kwa MAKONDA, hawakubaliani na hawakumpa Kibali yule Tapeli Kuuza Nyumba ya Mtu Million 50 Kwa Mkopo wa 3 M.

    Kama Kuna Mkoa ambao Nuru ya uponyaji, Amani, Baraka ,Furaha, Haki, faraja, uwajibikaji, maadili imeaaangukia ni Arusha kua na Paul Makonda. Kuna Huyu Tapeli wa JF mpuuzi Mmoja, mwenye Chuki dhidi ya Makonda, anayejiita chiembe akaja na Uzi wa blaa blaaa blaa. Sasa ukweli ni huu ...
  12. Toto mol

    Unakuta Kuna mtu Anazaidi ya miaka 22 na hajawahi kumuona diamond live!?

    Ebu wabongo kuweni seriously kidogo na maisha jamani khaa🤣🤣🤣 Otikii otikiii hii imeenda
  13. A

    Inakuwaje mke wa mtu ni sumu na mme wake hafi!?

    Nimekuwa nikijiuliza mda mrefu sana kuhusu hilo tisho eti mke wa mtu ni sumu. Ajabu, mbona mme wa Hugo mke hafi!?
  14. GoldDhahabu

    Hivi bado kuna watu wanaoamini kuwa Lowassa alikuwa ni mtu mbaya?

    Lowassa alikuwa na madhaifu yake, lakini inawezekana hakuwa mbaya kiwango ambacho wanasiasa waliokuwa wana chuki naye walikuwa wakimtuhumu. Pamoja na madhaifu yake, alikuwa kiongozi mzuri. 1. Utendaji wake alipokuwa waziri wa maji alidhihiriaha hilo. 2. Mbinu zake za kuweza kushawishi makundi...
  15. Enter Passcode

    Muongozo wa bajeti kwa mtu anelipwa 150k kwa mwezi

    Wakuu hili liko wazi, Mabwanyenye wengi ndicho kiwango wanacholipa baada ya kuwahenyea . Hivi kwa hiki kiwango unatoboa vp, japo inawezekana ukipata ufahamu! Njooni, wataalamu wa bajeti
  16. Robert Heriel Mtibeli

    Mtu akifa anatakiwa azikwe wapi? Migogoro ya kuzika maiti

    MTU AKIFA ANATAKIWA AZIKWE WAPI? MIGOGORO YA KUZIKA MAITI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mwezi Aprili nilifiwa na Bibi yangu kipenzi ambaye ndiye aliyenilea, kwangu alikuwa kama Mama. Nilijifunza mengi kupitia yeye, madhaifu na ubora wake. Mazuri na mabaya yake. Maziko ya Bibi yangu...
  17. M

    UKIKUTANA NA MTU MWENYE KAULI HIZI JUA ANA HISTORIA YA KUTAPELIWA KIMAHUSIANO

    UKIKUTANA NA MTU MWENYE KAULI HIZI JUA ANA HISTORIA YA KUTAPELIWA KIMAHUSIANO 😔 1.Wanaume/wanawake wote hawafai. 2.Dunia ya sasa hakuna waoaji/waolewaji. 3.Nawachukia sana wanaume/wanawake 4.Hata wewe ni wale wale tu. 5.Siwezi kumuanini tena mwanamke/mwanaume. KUNA KAZI KUBWA SANA KUISHI...
  18. ndege JOHN

    Kuna mtu anaomba ushauri amepata content

    Kuna Jamaa ana kipaji ila anauliza ata create account Kwa njia gani ili zikalink zote akawa anapata hela Kwa views anachotaka kujua account ili ulipwe hela Kwa views lazima atengenezewe na watalaam wa IT au hata yeye anaweza kukamilisha mchakato wote. Iwe fb iwe Instagram iwe Twitter iwe...
  19. lord commander

    Mitandaoni sio sehemu ya kujibizana na kila mtu

    Katika miaka kadhaa ambayo watanzania tumeizoea mitandao basi tunakutana na watu mbalimbali katika posts zao ama comments ambazo ukizisoma unaweza patwa na hasira kwa jinsi alivyoandika upuuzi. 1.Kuna hawa wanaoandika kuhusu siasa, kuunga mkono juhudi, kutukana wapinzani, kusifia mambo...
  20. M

    Ni kweli kwamba mtu anayetumia vyema ARV kipimo cha kujipima cha damu huwa hakioneshi ni muathirika?

    Nimeona nije nipate michango ya wanajamvi kutokana na kwamba jukwaa hili Lina wasomi na madaktari wengi. Kwasasa vijana wengi tumeangukia kwenye wimbi la kujipima na Kula tunda kavu, ata huko Kwa Malaya utaratibu ni huo wao wanakuwa na vipimo vyao mnapima kisha mnakulana. Sasa kuna mtu mmoja...
Back
Top Bottom