ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. 2v1

    Mawazo, ushauri, maoni yenu wadau

    Mathayo 24:9-14 9 Wakati huo watawasaliti ninyi mpate dhiki, nao watawaua; nanyi mtakuwa watu wa kuchukiwa na mataifa yote kwa ajili ya jina langu. 11 Na manabii wengi wa uongo watatokea, na kudanganya wengi. 14 Tena habari njema ya ufalme itahubiriwa katika ulimwengu wote, kuwa ushuhuda...
  2. Gemini AI

    Anaomba Ushauri: Alisalitiwa na mume wake wakaachana, Mume akaoa na akapata Pesa. Maisha yamekuwa magumu anataka kuwa Mchepuko

    Habari wana Jukwaa, Nataka kushiriki nanyi kisa changu. Mimi na mume wangu tulikuwa tunapendana sana, lakini kulikuwa na tatizo kubwa—hakuwa mwaminifu. Alikuwa akiendekeza wanawake wa nje ya ndoa yetu. Kwa kweli, nilijaribu kuvumilia hali hiyo, lakini mwisho wa siku, niliamua haiwezekani tena...
  3. Hammer11

    Wazee naombeni ushauri

    Wazee mm kuna demu namkula ila ni mke wa mtuu lakini mumewe ni mzee wa 72 years sasa huyuu mazi ameniganda sanaa nifanyajee wakuuu
  4. R

    Ushauri: Kodi ya VAT ikusanywe direct toka viwandani kupunguza upotevu wa mapato

    Salaam, Shalom, Wote tunafahamu kuwa uagizaji wa mafuta Kwa Mfano, Huwa mafuta yanapopakuliwa Kutoka kwenye meli, Huwa Lita zinafahamika na Kodi ya Serikali Huwa tayari inajulikana. Kiwanda Cha kuuza maji Cha Kilimanjaro Kwa Mfano, TRA wakiweka mfumo wa kujua Lita kiasi Gani zinazalishwa Kwa...
  5. crome20

    Ushauri: Taa zipi za Solar zinafaa kuwekwa nje kusaidia suala la usalama na ulinzi?

    Mwenye kujua ubora wa taa za solar kwa ajili ya security light nje nahitaji kujua brand zilizo bora, je, Watts ni kigezo cha bei? Ni kweli unaweza kuwa na solar ya 2000Wats ikiwa combined na pannel? Kuna mahali nimeiona inauzwa Tsh. 150,000. Naomba ushauri pia wa vitu gani kuzingatia kabla...
  6. J

    Ushauri kwa Wanafunzi wa Kidato cha Tano na Wanaomaliza Kidato cha Nne

    Ushauri kwa Wanafunzi wa Kidato cha Tano na Wanaomaliza Kidato cha Nne Kwanza kabisa, ninawapongeza wanafunzi wote ambao wamefanikiwa kumaliza kidato cha nne na kuchaguliwa kuendelea na masomo ya kidato cha tano, au wale waliopata nafasi katika vyuo mbalimbali. Safari yenu ya elimu ni muhimu na...
  7. F

    Naomba ushauri wakulungwa. Toto kiburi nataka kumpeleka Kizuka shule ya TPDF

    Kuna mtoto wa ndugu yangu ninamsomesha. Huyu dogo kafaulu Kidato cha 4. Kapangiwa college, kwa akili za huyu mtoto naona bado hawezi kusoma college. Ni kijana wa kiume, mvivu, bonge, hana adabu, jeuri. Kwa ujumla alilelewa kishenzi. Mimi niko mbali na anakoishi. Nimewaza aende Form 5 shule za...
  8. Siri yangu

    Toyota Brevis na matunzo yake karibuni wajuvi kutoa ushauri

    Habarini za asubuhi wakuu , Samahani naomba kuuliza kwa wale wazoefu wa magari na wengine ni mafundi mtoe ushauri hapa. Toyota brevis ni gari ambayo imesemwa maneno mengi na tunajua uzalishaji wake haupo tena na kila mtu anasema gari ni jini mara inakula mafuta mara spare zake ni ghali kila...
  9. S

    Naomba ushauri kuhusu Deep Poll na cheti cha kifo

    Habari ZENU, Mimi nilivyomaliza shule ya Msingi nilipelekwa Lushoto, huko sikusoma form one ilikuwa direct form two na kaka angu mtoto wa ba mkubwa ndie alikuwa ananisimamia kusema nina akili nisisome form one. Baadae akaniambia jina langu limegoma hivyo akaniandikia jina la mdogo wake ambae...
  10. Mr Why

    Ushauri wangu kwa BoT kuhusiana na upotevu wa Sarafu za Sh 500, 200, 100 na 50

    Kumekuwa na uhaba mkubwa wa Sarafu za sh 500, 200, 100 na 50 pasipo kupatikana mwafaka wa usumbufu huu Ukweli ni kuwa sarafu hizi zinaibiwa na Wachina kupitia Mashine za kamari zilizotapakaa kila kona ya nchi hasa sehemu za starehe Huwa Sarafu hizi zinaibiwa kwa lengo la kwenda kuyeyusha ili...
  11. T

    Ushauri juu ya namna nzuri ya kujenga nyumba kwa ajili ya kupangisha tu

    Ndugu wajumbe, Naombeni ushauri wa namna nzuri (economically optimal) ya kujenga nyumba kwa ajili ya kupangisha tu. Nalenga kupangisha wanafunzi wa chuo/shule, mabachelors, na watu wanaoanza maisha - mfano, mke na mme au mke mme na mtoto mmoja. Je, naweza kujenga nyumba ya kupangisha kulenga...
  12. S

    Ushauri kuhusu deed poll

    Habari zenu nilikuwa naomba ushauri mm binafsi wakati namaliza shule ya msingi nilichukuliwa na kaka angu ambae anamuita baba yangu bamdogo, ilikuwa ni shule ya kulipia huko Mlalo Lushoto lakini sikuanza form one na kaka alipendekeza nianze form two kwasababu nina akili sana na mm nikaanza Lakn...
  13. S

    Ushauri kuhusu deed poll

    Habari zenu nilikuwa naomba ushauri mm binafsi wakati namaliza shule ya msingi nilichukuliwa na kaka angu ambae anamuita baba yangu bamdogo, ilikuwa ni shule ya kulipia huko Mlalo Lushoto lakini sikuanza form one na kaka alipendekeza nianze form two kwasababu nina akili sana na mm nikaanza Lakn...
  14. C

    Sina imani na safari ya mume wangu, naomba ushauri

    Mume wangu anataka kusafiri likizo njee za nchi likizo Nina umia Sina imani na Safar yake anadai amepata mualiko toka kwa watu Walio mfadhiri masomo shule
  15. B

    Wakuu Naombeni ushauri kuhusu matumizi ya mouth spray

    Haribani wana jf naombeni ushauri juu ya matumizi ya mouth spray. Na niipi nzuri Kwa matumizi 🙏
  16. R

    Tundu Lissu toa ushauri kusaidia Nchi ishinde kesi kimataifa na kufufua shirika la ndege

    Salaam, Shalom! Mh Mwanasheria msomi Tundu Lissu, ninafuatilia sana ziara zako nchini, Ni Kweli unafungua macho Watanzania juu ya yanayoendelea nchini, Kwa sasa, Nchi yetu inazo ndege za kutosha zilizonunuliwa Kwa Kodi zetu, ndege hizo mara kadhaa zimedaiwa kukamatwa kisa kuvunja baadhi ya...
  17. D

    Naomba ushauri kuhusu kozi ya Electrical and Biomedical Engineering

    Wakuu nilikuwa naomba kujua kiundani juu ya kozi hii ya electrical and biomedical engineering. Je, unaposoma cozi hiyo utajishughulisha na ufundi wa vifaa vya tiba au na umeme kwa ujumla. Ahsanteni
  18. tpaul

    Mama mkwe anamhimiza mke wangu anichune; naomba ushauri

    Naingia kwenye mada moja kwa moja. Ndugu zangu naomba ushauri! Mimi ni mwanaume wa miaka 35 nimeoa mwaka huu mwezi wa pili na mwanamke niliyemuoa nimekuwa naye kwenye mahusiano kwa miaka mitatu, ningeshamuoa tangu zamani ila kuna vikwazo vilikuwa vinazuia tusioane ikiwemo masomo na kupangilia...
  19. M

    Mwanangu amepangiwa kusoma Mining Engeneering lakin yeye anataka kusoma Computer Engeneering, nifanyaje?

    Habari zenu wakuu? Nina mwanangu amemalz o-level na amepangwa Mining Engeneering na TAMISEMI lakini yeye hataki anataka asome Computer Engeneering. Je, nimuache asome anachoktaka ama aend 2 huko alipopangiwa na TAMISEMI?
  20. G

    Watu wengi wanaoomba ushauri wa biashara wakipata mtaji huwa wanafeli kwasababu hawana ujuzi wala connection.

    Nina kiasi flani naombeni ushauri nifanye biashara gani Kwa kiasi flani naweza kufanya biashara gani Nimeachiwa urithi kiasi kadhaa nifanye biasara ipi Hayo ni baadhi ya maswali yanayoonyesha wazi kwamba mtu hana uzoefu wala connection ya kufanya biashara, watu wengi wa aina hii biashara zao...
Back
Top Bottom