Hellow wapendwa,
Nakaribisha maswali yoyote kuhusu dawa zozote zenye active ingredients (DRUGS). Kama una maswali kuhusu matumizi yake, matumizi yake pamoja na dawa nyingine, vyakula...
Wajameni tunaulizia kwa wataalamu wa JF dawa gani za kuongeza mbegu za kiume yaani idadi zake na kuongeza nguvu za kiume ukiacha viagra.
Tuwe serious kutoa msaada.
Ufafanuzi wa jumla wa tatizo...
Wakuu,
Tunaomba ushauri wenu, kwa wale ambao specialists wa magonjwa haya ya ngozi. Tunauliza hivi kwa niaba ya watu wengi ambao wamekuwa wanahangaika kupata suluhu ya matatizo haya ya Mba...
Mada hili inahusu matatizo ya Miguu kuwaka moto na namna ya kukabiliana nayo.
Maswali...
Nimekuwa na tatizo la miguu yote miwili kuwaka moto sana, hata kutembea nashindwa kukanyaga...
Salaam Wakuu,
Natumai nyote mpo salama. Nimeleta uzi huu kama sehemu ya kujihamasisha mimi na kuwahamasisha wengine kufanya mazoezi Soma: Umuhimu wa kufanya mazoezi
Natambau wengi wetu...
MASWALI YALIYOULIZWA NA BAADHI YA WADAU KUHUSU TATIZO HILI
Mambo vipi? Nina Tatizo la Kutoa shahawa mapema Sana ndani ya dakika 1 tuu then bao la pili napiga dakika 10 -- 15. Nimejaribu kutumia...
Wakuu nimekutana na makala hii nikaona nianzishe mada hapa ili tuweze kujadiliana na wataalam wetu na watufahamishe ukweli wake na uwongo wake au kutupa ushauri zaidi ya huu niuonao katika mada...
Kufanya mapenzi wakati wa hedhi ni kitendo cha kujiusisha na mapenzi na msichana au mwanamke aliye katika siku zake za kisichana..Kuna madhara mengi yanaweza yakatokea na kwa kawaida si madhuri...
Habari wana JF,
Hii thread imekusanya topic zote zilizokuwa sticky's zikiwa awali zimewekwa kwa urahisi wa kuwafikia/kuipata watumiaji mbali mbali ambao wanahitaji kuelewa baadhi ya mambo katika...
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU
Naomba kujua mtoto mchanga inabidi aanze kuongea akiwa na umri gani,kwa kuzingia wale wanaowahji na wanaochelewa.Na je kuna namna unavyoweza kutambua...
Nimempeleka mke wangu Kwa ajili ya kujifungua katika kutuo cha AFYA cha serikali Ulyankulu. Na ikahitajika kufanyiwa upasuaji ila cha ajabu gharama nilizopewa nilishangaa sana. Huduma ilisuasua...
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA KUHUSU TATIZO HILI
Wakuu, nina tatizo la mwili kuwasha baada ya kumaliza kuoga tu. Hili tatizo lilijitokeza kama miaka mitatu iliyopita likatoweka lenyewe, sasa...
Jamani jamani jamani! Ukimwi unatisha! Ukimwi ni kuchungulia kaburi hata kama utajiliwaza vipi?
Mimi nilikuwa mtu wa bata saana! (Hata sasa hivi japo nimekua).
Siku hiyo nikawa pale Sinza mori...
Habari zenu Wana jf poleni na misukosuko ya maisha.
Mimi nina tatizo la kujamba kila baada ya dk mbili yaani twenty four hours na hili tatizo lilianza tangu nije hapa kwa wahindi maana nakaa...
Daktari nguli toka Zambia ametoa tamko kupitia Facebook ambalo wapenda punyeto huenda wakalifurahia sana. Binafsi sina facts za kisayansi kumpinga ila kulingana na ongezeko la wauza dawa za nguvu...
Habari wanajf wote, Naomba kuuliza mtu akiwa na umri wa miaka 23 na akiwa na uzito wa 48.8 kunatatizo kiafya.
Naomba kujuzwa kitaalamu.
Natanguliza shukurani!
Msongo wa Mawazo (Stress) Ni hali ya shinikizo la kiakili au kihisia linalotokana na mahitaji yanayofikiriwa.
Kila siku tunakabiliwa na hali nyingi ngumu ambazo unaweza kuona kama “vitisho” kwa...
UFAFANUZI WA KINA NA MBINU ZA KUACHA UVUTAJI WA SIGARA
Mbinu Za Kuacha Uvutaji Wa Sigara
Miongoni mwa mambo magumu kabisa katika ufanikishaji wake ni mtu kuachana na uvutaji wa sigara. Watu wengi...
Ndugu zangu naumwa fangasi kwa muda sasa ila pia sehemu ya kichwa cha uume kumekuwa kama na Ile ngozi iliyopo kwenye korodani.
Sasa selewiii tiba ni nini.
Pia kuna watu wananishauri eti niwatahiri kienyeji kwamba ndio watakaa vizuri zaidi but it doesn't make sense with me.
Mimi nilitahiriwa Muhimbili mwaka 1989 nikiwa nna miaka minne.
Watoto wangu...
1. Kuimarisha Afya ya Moyo
Vitunguu saumu vina alicin, ambayo inaweza kusaidia kupunguza hatari ya magonjwa ya moyo kwa kusaidia kudhibiti viwango vya cholesterol na shinikizo la damu.
2...
Eti ili Mwanaume uwe vizuri na Nguvu za Kiume ziwe nyingi unatakiwa kutafuta Boga kisha unaweka Mafuta ya Kupikia uncchanganya na Vitunguu na wakati ukiwa Unavikaanga unachanganyia na Maziwa ya...
Chawa si nzito lakini husumbua, wahenga walikuwa na maana Matatizo madogo madogo yasipodhibitiwa tangu awali huweza kusumbua na kusababisha matatizo makubwa zaidi lakini pia kwa namna nyingine...
Mtoto anachunika ngozi mikononi na miguuni. Inaanza kama kidoti fulani kisha ukivuta ile sehemu ndo inatoka kipande kikubwa cha ngozi . Hahisi maumivu yoyote na hospital nimeenda wakasema ni...
Habari ndugu wana JF,
Leo nimependa kuzungumza nanyi mada kuhusu vyuo vikuu kufundisha ASTASHADA na STASHAHADA. ni ukweli usiopingika sera ya elimu inabidi kufanyiwa marekebisho kwasababu vyuo...
Habari wana jf!!nahitaji msaada wa kujua ni sabuni gani nzuri kwa ajili ya kusafisha papuchi kwasababu kwa baadhi ya post humu kuna sabuni zimetajwa sio nzuri na moja wapo nilikuwa natumia inaitwa...
Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) kwa kushirikiana na Taasisi ya MO Dewji Foundation imeandaa kambi ya upasuaji kwa Watoto 50 wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi itakayofanyika...
Mwezi wa pili mke anajifungua na mtoto kufariki, mwezi wa nne mke anapata mimba nyingine. Ni sahihi wadau kiafya na kisaikolojia ya mke?
Karibuni wadau kwa elimu.
Poleni sana ndugu zangu watanzania kwa tatizo la mtandao wa internet linalowakumba kwa wakati huu.
Pia hongereni timu ya wananchi kwa kutwaa ubingwa wenu wa 30.
Pia nachukua fursa hii kuwapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.