LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 15,253
- 27,543
Pia kuna watu wananishauri eti niwatahiri kienyeji kwamba ndio watakaa vizuri zaidi but it doesn't make sense with me.
Mimi nilitahiriwa Muhimbili mwaka 1989 nikiwa nna miaka minne.
Watoto wangu nimechelewa sana kuwatahiri.
Mmoja miaka 9 (std.4) na mwingine miaka 7( std.2). Nilichelewa kuwatahiri kwa sababu walikuwa wanaishi na mama yangu na mimi nilikuwa busy na mambo mengine ya maisha.
Now nataka kuwatahiri. Swali langu kwenu:
Hospitali gani nzuri hapa mjini Dar es Salaam katika kutahiri watoto? Dokta gani mzuri?
Mimi nataka kuwatahiri mwezi wa kumi na mbili wakati wa likizo ila kuna mtu anasema kwamba kwa hapa mjini Daslamu muda mzuri wa kutahiri mtoto ni mwezi wa sita kwa sababu kunakuwa na baridi na kwamba baridi inafanya mtoto apone haraka. Je kuna ukweli katika hilo? Binafsi siwezi kuwatahiri mwezi wa sita kwa sababu ya shule. Huyu wa la nne anakuwa bado yupo shule na nataka kuwatahiri wote kwa pamoja.
Nipeni uzoefu bandugu