bei

Liu Bei (Chinese: 劉備, pronunciation ; Mandarin pronunciation: [ljǒu pêi]; 161 – 10 June 223), courtesy name Xuande (玄德), was a warlord in the late Eastern Han dynasty who founded the state of Shu Han in the Three Kingdoms period and became its first ruler. Though he was a distant relative of the imperial family, Liu Bei's father died when he was a child and left his family impoverished. To help his mother, he sold shoes and straw mats. When he reached the age of fifteen, his mother sent him to study under Lu Zhi. In his youth, Liu Bei was known as ambitious and charismatic. He gathered a militia army to fight the Yellow Turbans. Liu Bei fought bravely in many battles and started getting famous. Rather than join the coalition against Dong Zhuo, he joined his childhood friend Gongsun Zan and fought under him against Yuan Shao many times with recognition.
Later he was sent to help Tao Qian against Cao Cao. Thanks to the support of the influential Mi and Chen families along with Tao Qian's last will, Liu Bei inherited the Xu Province. After his defeat against Cao Cao, Lü Bu joined him and seized the province while Liu Bei was away fighting Yuan Shu. After many conflicts, he joined Cao Cao and they defeated Lü Bu at the Battle of Xiapi. Although he was treated well, Liu Bei received a secret edict from the emperor to kill Cao Cao and rebelled against him taking back Xu province. After a brief alliance with Yuan Shao, Liu Bei was quickly defeated by Cao Cao and had to flee to the warlord in the north. He was sent by Yuan Shao to raise uprisings behind Cao Cao's main base but he was ultimately defeated by Cao Cao and joined his kinsman Liu Biao. Liu Biao doubted his loyalty so he located him at Xinye to serve as a shield against Cao Cao. After Liu Biao's death, Liu Bei led many civilians to join Liu Qi to Xiakou where they allied with Sun Quan to oppose Cao Cao at the Battle of Red Cliffs.
After Cao Cao's defeat, Liu Bei quickly took control of the majority of Jing Province, then he married Sun Quan's sister who recognised his legitimacy over the province and agreed to "lend" him Nan Commandery. Liu Bei later led his army to join another kinsman, Liu Zhang in his war against the warlord Zhang Lu. Under the advices of his advisors, he betrayed Liu Zhang and seized the Yi Province from him. After some disputes and seeing Cao Cao growing closer to the Yi province. Liu Bei agreed to yield half of the Jing province to Sun Quan and led his army against Xiahou Yuan at Hanzhong and seized it. Liu Bei then declared himself "King of Hanzhong" and set up his headquarters in Chengdu. However soon after Guan Yu was killed by Liu Bei's "ally" Sun Quan who took the rest of Jing province for the "lending" of Nan commandery. Liu Bei was furious and after declaring himself emperor to challenge Cao Pi's authority, he led his army against his former "ally". Though some early success, his army was soon blocked into a stalemate against Lu Xun and was finally defeated. Ashamed by his failure, he never returned to Chengdu and settled in Baidicheng until his death one year later. Urging his heir to not emulate him and being as virtuous as possible he appointed to help him Zhuge Liang in charge of domestic matters and Li Yan for the military matters.
Despite early failings compared to his rivals and lacking both the material resources and social status they commanded, he gathered support among disheartened Han loyalists who opposed Cao Cao, the warlord who controlled the Han central government and the figurehead Emperor Xian, and led a popular movement to restore the Han dynasty through this support. Liu Bei overcame his defeats to carve out his own realm, which at its peak spanned present-day Sichuan, Chongqing, Guizhou, Hunan, and parts of Hubei and Gansu. Culturally, due to the popularity of the 14th-century historical novel Romance of the Three Kingdoms, Liu Bei is widely known as an ideal benevolent, humane ruler who cared for his people and selected good advisers for his government. His fictional counterpart in the novel was a salutary example of a ruler who adhered to the Confucian set of moral values, such as loyalty and compassion. Historically, Liu Bei, like many Han rulers, was greatly influenced by Laozi. He was a brilliant politician and leader whose skill was a remarkable demonstration of "Confucian in appearance but Legalist in substance" .

View More On Wikipedia.org
  1. 90sgeneration

    YOU NEED LAPTOP YA BEI POA? KARIBU UCHAGUE ITAYOKUFAA (NEW & USED)

    Zipo PC 10 tu nazitoa kwa bei ya ofa ya 385,000/= haina punguzo Dell 3189 Touch screen✅ Intel cerelon SSD 128GB RAM 4GB CONTACT :0697224996
  2. Aerma

    Pocket projector inauzwa kwa bei ya kutupwa

    Product name: Pocket projector pro Price: 150,000 tsh Location: Dar Es Salaam Contact : 0719452361 Zimebaki piece 2 tu. Ni mpya kabisa
  3. A

    KERO Morogoro Mjini: Baadhi ya maduka vocha zinauzwa bei za juu kiholela (mtaa wa Falkland)

    Duka vocha za tsh 500/= zinauzwa tsh 600/= na zile zenye thamani ya 1,000/= zinauzwa kwa 1,200/=. Jambo ambalo limetokana na ukweli kwamba tunaoishi hapa kwa asilimia kubwa ni jamii ya wanafunzi wa chuo kikuu cha Sokoine hivyo wenye maduka kutumia fursa hiyo kuongeza bei za vitu kiholela...
  4. B

    Tunabandika stickers kwa bei nzuri, simu PC na vifaa vingine

    +255 62 290 8295 simu ziite Bei sticker za kawaida (plain) Kwenye cm 3k Kwenye pc 15k Bei sticker za picha Kwenye cm 5k Kwenye pc 20k Pc nzima 25k Napatikana dar es salaam Survey
  5. Aerma

    Computer4Sale Nauza laptop bei kitonga-Mpya kabisa

    Nauza laptop my kabisa Laptop HP laptop 17 Processor: 11th gen, Intel tm 1.5 Hard drive: Ram 476 GB Memory: 16 GB Location: dar es salaam Contact: 0756523615 Price: 450,000.
  6. Stephano Mgendanyi

    Bashungwa: Wakulima wa Kahawa Kagera ni Shangwe Tupu, Bei ya Kahawa Imepanda

    WAKULIMA WA KAHAWA KAGERA NI SHANGWE TUPU, BEI YA KAHAWA IMEPANDA: BASHUNGWA Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ameipongeza Wizara ya Kilimo kwa kusimamia vyema Maono ya Mheshimiwa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kuwainua Wakulima wa Kahawa na kuwezesha bei ya...
  7. micind

    Bei za viwanja Singida Manispaa

    Habari zenu wadau wa ujenzi. Kama title inavyojielezea. Nahitaji kujenga hapa Singida mjini na mimi sio mwenyeji sana, naomba kuuliza kwa wakazi wa Singida bei za viwanja hapa Manispaa kwa wastani ni sh ngapi? Na pia ni maeneo Gani mazuri zaidi kwa kuweka makazi. Nitashukuru sana nikipata...
  8. W

    INAUZWA Chia seed zinauzwa kwa bei nafuu

    Chia seed zinapatikana na kuuzwa kwa bei nafuu kabisa kwa bei kama ifuatavyo 200g kwa Tsh 6500 Kwa mawasiliano 0627828825 Dar es salaam
  9. MVM

    Bei ya nyanya kwa tenga la debe tatu ni bei gani mtaani/shambani kwako?

    2/6/2024 Bei ya nyanya kwa tenga la debe tatu ni bei gani mtaani/shambani kwako. Nilipo mimi Kilimanjaro Moshi mtaa wa chekereni ni 25000
  10. MEGATRONE

    Nina shida na ALU kwa bei ya jumla

    Nahitaji ALU za watu wazima kwa bei ya jumla! Mwenye nazo tuwasiliane 0687391885
  11. Kiboko ya Jiwe

    Nilipata mshtuko jana nilipokuwa naangalia habari TBC1 na kuona Makamu wa Rais anaongea jambo kana kwamba hakijui cheo chake

    Habari! Kila mtu anaweza kufanya backup ya habari ya saa 20:00 tarehe 31, Mei 2024. Ni habari nambari 2 kama sijakosea. Nilisikia Makamu wa Rais anawaomba wafanyabishara wapunguze bei ya gesi ili wananchi wengi waweze kumudu. Kipi kilinipa shock? Bidhaa ya gesi ni miongoni mwa bidhaa ziko...
  12. D

    Naomba Kujua Bei za Printing kwenye Mifuko ya ku pack Sembe

    Asalaam ndugu wapambanaji, Poleni na majukumu, naombeni kujua bei za vitu vifuatavyo. 1. Rubber plate za printing ya mifuko zinatengenezwa kwa bei gani exactly? 2. Mifuko ya kg 25 na kg 5 inauzwaje kwa wholesale? 3. Bei ya printing mifuko ya sembe ipoje sokoni..? Ahsanteni na i will be...
  13. Melanny

    Naomba kujuzwa Bima ya bei nafuu kwa mtoto

    Habari wapendwa naomba orodha ya bima ambazo ni nzuri na nafuu kwa mtoto mwenye umri wa miaka mi tano (5)
  14. S

    Hili suala la vocha kupanda bei limekaaje kitaalamu?

    Habari wanajamvi, Nisiuchoshe mkono kuandika mengi ilihali mnajua Hali halisi, hivi juzi nmetoka makambako vocha zmepanda bei kutoka mia tano hadi mia 6 yaani kimahesabu vocha zimepanda bei kwa asilimia 20, This is daylight robbery and no one care. Nikahisi labda Umakambako unansumbua aka...
  15. BabuKijiko

    Serikali yaiagiza TCRA kufatilia wanaouza Vocha tofauti na bei elekezi

    DODOMA: Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na #Teknolojia ya Habari, Mhandisi Maryprisca Mahundi, amesema wametoa maelekezo kwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (#TCRA) kufuatilia Wafanyabiashara wanaouza vocha za kukwangua kinyume na bei elekezi Mei 2024, Wadau kadhaa wa...
  16. Roving Journalist

    Serikali yaiagiza TCRA kufatilia wanaouza vocha tofauti na bei elekezi

    Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Maryprisca Mahundi amesema Serikali imetoa maelekezo kwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kufuatilia Wafanyabiashara wanaouza vocha za kukwangua kinyume na bei elekezi. Amesema hayo wakati akijibu swali la...
  17. D

    Naomba kujua bei za Electric Motor na eneo zinapopatikana

    Wakuu Asalaam, Leo nimeamka na majanga, kiwanda changu kidogo kimeungua Electric motor yake Naomba kujua Motor ya HP 20,25 na 30 zinauzwaje na eneo zinapopatikana kwa mtaalam. Nashukuru kwa muda wenu.
  18. Mad Max

    Wachina bwana: Wameiiga Tesla Model X kwa robo bei

    Juzi kati kulikua na Malaysia Auto Show, kuanzia tarehe 22 May hadi tarehe 26 May. Kuna baadhi ya chuma zimezinduliwa ila hii ilinivutia. Aion sub brand ya CAG wamezindua Aion Hyper HT SUV EV gari linalofanana na Tesla Model X kwa $54,000 tu, performance model. Mfanano hauishii umbo la nje...
  19. Njugu mawe

    Vocha kupandishwa bei

    Binafsi huwa natumia zaidi Halopesa ili kuunga vifurushi katika laini yangu. Leo nikahitaji kunua vocha ya halotel ili nijaze salio la kawaida, nilivyoingia katika duka moja ili kufanya manunuzi, Nikaambiwa Vocha ya 500 inauzwa 550, Vocha ya 1000 inauzwa 1100. Hili lipoje huku mtaani?
  20. L

    David Kafulila anakumbukwa na wakulima wa Simiyu kwa kupaisha bei ya Pamba kufikia Tsh. 2200 kwa kilo katika historia ya Taifa letu alipokuwa RC

    Ndugu zangu Watanzania, Uongozi ni kuacha alama zinazoishi katika Maisha na mioyo ya watu, ni kuacha kitu kitakacho simuliwa vizazi kwa vizazi,ni kuacha rekodi ambayo itaimbwa na kuzungumzwa na watu kwa miaka mingi hata kama wewe utakuwa haupo uongozini au Duniani lakini utaendelea kuishi na...
Back
Top Bottom