ulimwengu

Thomas Emanuel Ulimwengu (born 14 June 1993) is a Tanzanian football striker who is currently playing as a forward for TP Mazembe and the Tanzania national football team.

View More On Wikipedia.org
  1. we are the inner

    Tumeshindwa kuumiliki ulimwengu wetu kwa kuutamaani ulimwengu wa Hadithi

    🌳TUMESHINDWA KUUMILIKI ULIMWENGU WETU KWA KUUTAMANI ULIMWENGU WA HADITHI.🌳 Ulimwengu wa kweli umetengenezwa katika hadithi isiyo furahisha sana, unaonekana ni ulimwengu ulio jaa mateso ya kila namna, kisha Ulimwengu wa NADHARIA ndiyo umejaa raha za kila namna na umeitwa ulimwengu mpya...
  2. Excel

    Tabia ya kusalimiana kwa kushikana mikono ina madhara makubwa sana katika ulimwengu wa roho

    SALAM ZA KUSHIKANA MIKONO. Usipende Sana kusalimiana kwa kushikana mikono kwa sababu kupitia kushikana mikono huko utaibiwa nyota Yako watu wanauchawi huo ikitokea tu umeshikana mikono na mtu mwenye huo uchawi basi nyota Yako atakuwa ameibeba mtu huyo. Kuanzia hapo mambo Yako utayaona yameanza...
  3. Mhafidhina07

    RC Makonda anaishi katika ulimwengu wa pekee katika dunia hii

    Aminini Aminini nawaambieni. Mwenye macho halazimishwi kuona ikiwa atakaza fuvu basi hamtaweza kuona kile mnachoambizana,na kwanini tusisemezane kwa mazuri na tukayasahau mabaya yote? Mbora wenu zaidi ni yule mwenye kusamehe. Mh PAUL MAKONDA ni zao la kikwete limestawi katika bustani ya...
  4. JanguKamaJangu

    Wizara ya Habari kuomba fedha pungufu ya Bajeti iliyopita inamaanisha Serikali haiwekezi katika Ulimwengu wa Kidigitali?

    Kabla ya kusoma maoni yangu tazama hizi takwimu na maelezo ya Bajeti ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari: BAJETI YA MWAKA WA FEDHA 2023/24 Katika Mwaka wa Fedha 2023/24 Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari iliidhinishiwa kutumia kiasi cha Shilingi bilioni...
  5. Mgosi Mbena

    Tungekua tu starlink tusingekua tunalialia na cable?? Technological advancement haiepukiki ulimwengu huu

    Kufuatia mtikisiko wa internet serikali ijifunze jambo!…… Sababu hazitatui tatizo hata wakishinda wanaelezea. Tunataka Tanzania mpya Tanzania ya suluhisho siyo ya kujielezea kushindwa au walipofeli Kwako Tanzania
  6. ndege JOHN

    Kwanini wakazi innocent wa gaza wanajua kabisa ghorofa ulilokaa kuna huenda chini kuna hamas na unashindwa kuondoka si heri ukakae baharini

    Mimi sishabikii upande wowote wa hii vita ila Kwa hali ya kawaida kama kweli huwaungi mkono vijana wa hamas na ni mkazi wa Gaza si unahama kabisa kwanini Mpaka watoe taarifa kwamba muondoke nyie bado mmetulia ndani. Israeli anafanya kuhangaisha watu sio jambo jema na ilikuwaje hamas wanajenga...
  7. Half american

    Timu zilizopanda daraja kushiriki ligi kuu mbalimbali duniani kwenye ulimwengu wa soka.

    Tukiwa tunaelekea mwishoni mwa misimu ya ligi mbalimbali za mpira wa miguu duniani, huu ni uzi maalum wa kuhabarishana, kuzitambua, kutoa pongezi na kuzikaribisha timu zilizofanikiwa kupanda daraja kucheza ligi kuu mbalimbali duniani kwa msimu ujao wa 2024/2025. √ TANZANIA-NBC PREMIER LEAGUE...
  8. R

    Jenerali Ulimwengu adai wamiliki wa vituo vya mafuta wanahujumu miradi matumizi ya gesi kwenye magari

    Jenerali Ulimwengu amefanya tafakuri kuhusu nishati ya mafuta na gesi katika kufanikisha usafiri nchini. Kwa tathmini yake amebaini wamiliki wa vituo vya mafuta wapo mstari wa mbele kukwamisha matumizi ya gesi nchni. Gesi ni rahisi sana lakini pamoja na urahisi wa bei idadi ya vituo vya mafuta...
  9. D

    Kwenye ulimwengu wa roho maisha ni mfano wa operating system

    Maisha tunayoishi ni mfano wa operating system nikimaaninisha ukija afrika na kutoa south afrika na nchi za kiarabu kuanzia dakar uje abidjan, accra, lagos, kinshasha, nairobi, dar es salaam, kampala, lusaka n.k utagundua hii miji na mingine sijaitaja inakitu kinachofanana iko dis-organize...
  10. Candela

    Jinsi ulimwengu umehadaika na ufo

    Kwa miaka nenda rudi, nchi kama marekani imekuwa na matukio kadhaa ya UFO(Unknown Flying Object). Madai abayo yamekuwa yakihusisha vifaa hivyo na uwepo wa viumbe wengine wneye akili na teknolojia kubwa kuliko binaadam wa sayari ya 3. Ukiliangalia hili jambo katika mtazamo tofauti utagundua...
  11. R

    Kutoka kuwakoromea Mawaziri hadi mpokea Mwenge wa Uhuru; kutoka kutumia magari lukuki hadi kwenye gari moja

    Maisha ni mzunguko, unapokuwa mkubwa heshimu watu kwani bila watu uwezi kuwa mtu mkubwa. Unapoaminiwa rizika na kidogo unachopata na kumwachia aliyekuamini akupe kikubwa zaidi Tambua ipo siri kubwa ya kukutanisha na MWENYEKITI wa CCM Arusha Mzee Sabaya ambaye mikono yake inanuka ukatili...
  12. 2 of Amerikaz most wanted

    Naungana na Vladimir Putin kuthibitishia ulimwengu kwamba Yesu alikuwa mtu mweusi

    Mungu sio mbaguzi kiasi icho haiwezekani mitume na manabii wote Mungu alio watuma wawe rangi nyeupe hizo ni fix. Mungu alimtuma yesu kama kiwakilishi kwa watu weusi kwamba hatuja hachwa nyuma tukapewa mwakilishi wetu. Kwanini wapindishe ukweli huu mchungu lengo na madhumuni yao ni nini? Sipo...
  13. Mjanja M1

    Jenerali Ulimwengu: Hakuna alietajirika kwa kucheza Kamari

    “Tunaendelea na hicho kinachoitwa michezo ambacho kingetakiwa kiitwe kwa jina lake halisi, yaani kamari. Hakuna mtu aliyeweza kutajirika kwa kamari. Tuache kudanganywa na wajanja wachache wanaotajirika kupitia mgongo wetu. Acha kucheza kamari na iepuke kuliko ukoma na UKIMWI.” – Mwanahabari...
  14. Z

    Viongozi wa kuu wa ulimwengu huwa vichwa vyao vigumu. Wangewambia HAMAS kuwaachia mateka wa Israel ,kungekuwepo na ahuweni kwa watu wa GAZA

    Ukiondoa taifa la America na baadhi ya mataifa ya ulaya, wengi wa viongozi wakuu wa taifa mbali mbali wang'angania kuilaumu Israel kwa uisambaratisha Hamas. Sasa israel inajipanga kuivamia RAFAH na bado viongozi wa kiarabu ,UN ,Afrika waniona israel kama nchi mbaya sana. swali ni je israel...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    Kwenye ulimwengu wa Waislamu, Rais Samia Suluhu ni Mwanamke wa nne Duniani kushika nafasi ya Urais

    Kwema Wakuu! Kama mjuavyo dunia hii ya mfumo Dume sio kazi rahisi kwa Mwanamke kushika nafasi ya juu ya Urais. Sasa ni ngumu zaidi katika ulimwengu wa kiislamu kwa Mwanamke kushika nafasi ya juu hasa ya Urais. Lakini Tanzania inakuwa moja ya nchi za awali kuweka rekodi ya kihistoria hasa...
  16. M

    Yupo wapi mchezaji wa Singida FG Thomas Ulimwengu?

    Huyu ni mmojawapo wa wachezaji waliosajiliwa kwa mbwembwe kipindi cha dirisha kuu la usajili msimu huu. Cha kushangaza alicheza mechi zisizozidi mbili za mashindano. Tangu mwezi Septemba 2023 hajaonekana tena akichezea Singida Fountain Gate/Singida Big Stars. Je sababu ni ipi? majeruhi, mkataba...
  17. N

    Je, amani ya ulimwengu itadumu 2024?

    Heri ya mwaka mpya! Mwaka unaanza kwa wababe wa dunia kutunishiana misuli pale red sea huku russia akishambuliwa belgorod na huku mitambo ya Urusi ndani ya Syria ikitungua makombora ya Israel na wakati huo huo wairan wamepeleka destroyer red sea hapohapo wamarekani wameshambulia speed boat ya...
  18. R

    Pambanua ndoto, maono na ulimwengu wa roho

    Salaam, Shalom!! INTRODUCTION. (Matendo 2:17-18) na (Waefeso 1:3) MTU ni ROHO, anayo NAFSI na anaishi ndani ya MWILI. Roho inapoungana na mwili, kinaumbika kitu kinachoitwa NAFSI. Mwili una vitu vinavyoshikika na kuonekana kama Ubongo ,misuli nk nk NAFSI ni kiunganishi kati ya Roho na...
  19. Mama Edina

    Dar inasemwa kumjibu Generali ulimwengu. Inatia aibu

    Hivi jamani kwann mambo mengine msinyamaze mkijirekebisha. Vyuo vingi ni kama extended high school sio uongo. Zamani tulizoea ukisikia kitivo cha sheria, kitivo cha lugha unajua kabisa hapo kumesimama. Siku hizi hovyo hovyo Yapite
  20. IslamTZ

    Rais Samia anasifiwa sana, hawaju wateule wake kama Jeneali Ulimwengu anavyodai?

    Mimi ni mpenzi wa harakati za Jenerali Ulimwengu katika utetezi wake wa demokrasia, utawala bora na haki za binadamu. Ninachofurahia kuhusu yeye ni kuwa katika kipindi ambacho wengi walinywea na kurekebisha maoni yao yaendane na mazingira ya utawala uliokuwepo katika awamu ya tano, yeye...
Back
Top Bottom