gari

  1. sonofobia

    Fatma Karume ataka uondolewe ukakasi kwenye mchango wa gari la Lissu ndio achangie

    Kupitia akaunti yake ya X mwanamama mwenye misimamo mikali Bi Fatma Karume amehoji juu ya sintofahamu ya michango ya Lissu. Amehoji kwa nini asilipwe gari na bima wakati gari ilikuwa na bima? Ametaka huu ukakasi uondolewe ndio achangie. Na mimi namuunga mkono kwenye hili. Tundu asije tufanyia...
  2. T

    Lengo la Uchangiaji wa gari ya Lissu ni shillingi ngapi,tujue

    Kuchangia fedha kimya kimya si motisha kwa mchangiaji,tunaombwa tujuzwe ni shillingi ngapi zinahitajika kununua gari ili watu wachangie kwa malengo vinginevyo uchangiaji huu hauna afya kwa mchangiaji. hiyo gari ni ya shillingi ngapi?
  3. Teremaro

    Gari kugonga gonga

    Habari ndugu WanajamiiForums, Nina gari aina ya nissan duals ya mwaka 2011 nikipita kwenya mashimo nackia kama ingonga gonga kwa mbalii naomben anayeweza kujua tatzo itakuwa ni nini kabla cjaenda kwa fundi
  4. covid 19

    Mdai wangu amesema amenisamehe deni analonidai ila niwe makini barabarani gari lake linakawaida ya kufail breki

    Ni baada ya kumwambia kwa sasa nitashindwa kulipa deni lake la laki tatu hali yangu bado sio nzuri ajabu hiyo kauli aliyonipa ni kuwa amenisamehe ila niwe makini barabarani hii kauli alikuwa na maana gani wadau?
  5. Tlaatlaah

    Gari la mchango la makamu Mwenyekiti CHADEMA

    kumekua na maswali mengi sana, kuhusu gari la mchango la makamu mwenyekuti wa chadema, kwamba gari hilo la mchango ni kwaajili ya matumizi na kazi za chama au kazi zake binafsi? ni vema chimbuko la jambo hili likawekwa bayana vizuri wengi hawaelewe vizuri. Na kwamba wachangiaji wa gari...
  6. Chakaza

    Tambiko la Wanyaturu kwa gari la Lissu, wahusika bora wajitokeze

    Baada ya serikali kupitia polisi kuamua kufumbia macho kesi ya shambulio la kukusudia kumuua Lissu na majuzi kufunga rasmi mjadala huo kwa kumrudishia kielelezo cha kesi (evidence) ghafla jambo hilo limechukua sura mpya. Gari hilo lililosheheni matundu ya risasi zilizokusudia kuondoa uhai wa...
  7. Tlaatlaah

    Tetesi: CHADEMA kuingiza nchini magari mapya zaidi ya 25 kwa kazi maalumu kuelekea uchaguzi

    Magari hayo ni ya kimkakati na kazi maalumu. Yatasambazwa kwenye kila kanda, katika kanda zote za kichama nchi nzima. Magari haya yatakua chini ya usimamizi wa viongozi waandamizi wa kanda watakaochaguliwa hivi karibuni katika uchaguzi wa ndani ya chama unaondelea. Mnyetishaji alisisitiza...
  8. Dr Matola PhD

    Siyo kwa ubaya, nauliza tu: Gari la Lissu halitengenezeki? Je, halikuwa na bima kubwa?

    Kama alivyo Tundu Lisu yeye ni bahari hakai na uchafu lazima autapike. Sasa na mimi namuenzi Lissu kwa kusimama katika ukweli na nina swali naomba majibu, je gari ya Lisu haitengenezeki? Maana ninachojuwa engine haikupata madhara yoyote, je Lissu kama mwanamsheria msomi gari yake haina bima...
  9. M

    Lissu alipaswa kuwajibika, ajabu anachangisha anunuliwe gari

    Chadema imepitisha watuhumiwa wa Rushwa kuwa wagombea wa Uwenyekiti wa kanda kwa mujibu wa tuhuma za Makamu Mwenyekiti wao Tundu Lissu REACTION ANAYETUHUMU WENGINE KWA RUSHWA ni kuomba anunuliwe gari.? Kama Tundu Lissu ni msafi why he still associated with the worst criminals waliopokea...
  10. samuelmwakasungula

    Natafuta gari aina ya Prado

    Kwa mtu ye yote ambaye atakuwa anauza gari aina ya prado liwe na hari nzuri, bajeti yangu M13 namba yangu 0673505972
  11. Full charge

    Uchafu wa wasafiri kwenye Magari ya Umma

    HIvi mtu anatokaje asubuhi hajapiga mswaki, kuoga, kuvaa nguo safi? Yaani unakuta mtu anaingia kwenye gari ananuka kikwapa mdomo makalio mpaka mtu unaogopa kukaa nae. Hii kitu huwa inanikwaza sana tena sana halafu chakushangaza ni mtu mzima kabisa na anataka aanze na kuwaongelesha watu na...
  12. Mwachiluwi

    CHADEMA kuchangisha michango kununua gari jipya la Lissu ni wizi

    Kwa akili ya kawaida ili swala la kumchangia gari lissu ni wizi na ufisadi, kwa hali ya kawaida wanae mchangia ndiye anasema anataka kuondoa umasikini kwa watz ila bado anaomba msaada kwa masikini hao ambao wanamtegemea yeye kuja kuwatoa katika wimbi la umasikini hii imekaaje kaaje? Lissu acha...
  13. mr pipa

    Mchepuko Nimeunulia gari aina ya VX8 baada ya kulichoka kasema hakuna nilichomfanyia

    Bora ningemuongezea mama yangu ghorofa nyingine masaki kuliko huyu Mwanamke asie na utu na shukrani
  14. B

    Watanzania wapendekeza Gari la Tundu Lissu lipelekwe Makumbusho ya Taifa, Mwenyewe amshukuru Mungu kuwa hai hadi leo

    Akiongea na wananchi Mkoani Singida nyumbani hapo jana jioni Tundu Lissu ametoa wito kwa Watanzania wengi kuungana na wenzao waliopendekeza Gari lipelekwe Makumbusho ya Taifa. Akiwa anafafanua na kuonyesha namna gari lilivyoharibika kwa Risasi kwenye Mlango mkabara na kiti cha mbele alipokuwa...
  15. L

    Ni Aibu na Fedheha kubwa sana kwa CHADEMA Nzima kushindwa kumpatia Gari la Ofisi Makamu Mwenyekiti wake Mpaka anaamua kutumia la kukodi

    Ndugu zangu Watanzania, Inasikitisha sana,ni aibu kubwa ,inafedhehesha,inaleta maswali mengi sana juu ya umakini na akili za chama hiki cha CHADEMA. Hii ni baada ya kusikika kwa taarifa kuwa Lissu alikuwa hana gari la kutumia katika shughuli za chama, na kwamba gari alilokuwa akitumia lilikuwa...
  16. GENTAMYCINE

    Huyu Dereva wa Gari la Toyota Landcruiser Hardtop Nyeupe lenye Plate Number ya T216 DHH ya Tundu Lissu uthubutu wa Kuitumia kautoa wapi?

    Yaani mwenye Gari kapigwa risasi ambazo zilitaka Kumuua halafu bila hata huruma bado kuna Mtu sijui kwa Jeuri yake au Jeuri anayopewa kaona haitoshi akaamua kabisa kwenda na Kung'oa Plate Number ya Gari la Tundu Lissu ya T216 DHH na kuamua Kuitumia kama yake Dodoma hadi kuwa na Deni ya Kuegesha...
  17. chiembe

    Gari ya Lissu iliyopigwa risasi, isibadilishwe muonekano, ikae ilivyo, ipelekwe katika kila mikutano ya siasa kukumbusha madhila ya Hayati Magufuli

    Watanzania wengi ni matomaso, ukiwasimulia tu hivi hivi, hawaamini. Nashauri gari ya Tundu Lissu isibadilishwe muonekano wake baada ya kupigwa risasi, matundu ya risasi yabaki, gari itengenezwe injini tu na sehemu muhimu, ila sehemu zenye matundu ya risasi zibaki. Hii itafanya watu wakifika...
  18. M

    CHADEMA mnajivua nguo kwa kuanzisha michango ya kumnunulia Lissu gari la kifahari. Hampo kwa ajili ya wananchi

    Hii kampeni ya kuchanga ili kumnunulia gari jipya la kifahari Makamu Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani ni dhihaka iliyopitiliza kwa mwananchi wa kawaida. Tofauti kati ya wabunge wanaopitisha bajeti za kujinunulia magari ya kifahari na viongozi wa CHADEMA hakuna. Kama viongozi wa CHADEMA nao...
  19. Kiboko ya Jiwe

    Mtumishi wa umma kutokuwa na gari na nyumba nzuri ni ujinga wake binafsi

    Hii ni kwa tathmini yangu Mimi kama nitakuwa siko sawia mnisamehe. Unakosaje kumiliki gari na nyumba huku una miaka zaidi ya 5 kwenye utumishi wa umma? Jitahidi mtumishi mwakani uachane na Daladala kama wanafunzi. Daladala waachie wanafunzi na machinga
  20. miles45

    Hakuna Mwizi wa Gari anaendesha gari kistaarabu

    Ni hivi ndugu zangu nipo kuwakumbusha kuwa hakuna mwizi wa gari akaiba gari na kuliendesha kistaarabu kiasi kwamba hata ukija kulikuta utakuta kama ulivyo liacha. Ni hi atakanyaga mafuta hadi pedo iguse bodi la gari, atalikimbiza na kubadirisha gia bila fomula, atalikwangua pande zote na...
Back
Top Bottom