tabia

Tabia is a small town and rural commune in Taroudannt Province of the Souss-Massa-Drâa region of Morocco. At the time of the 2004 census, the commune had a total population of 2329 people living in 487 households.

View More On Wikipedia.org
  1. Moto wa volcano

    Mahusiano mengi hayafiki mbali kwa sababu watu wana haraka ya kubadilishana tabia

    Sababu kubwa ya mahusiano mengi kutokufika mbali watu Wana force kubadilishana tabia kwa haraka Jambo kubwa na la muhimu watu wanalopaswa walitambue . Katika mahusiano unakutana na mtu ukubwani haujui Maisha aliyopitia au matukio aliyokutananayo mpaka kufikia umri huo . Hauwezi kwa haraka...
  2. GoldDhahabu

    Tabia ni ya kuzaliwa nayo au ya kujifunza?

    Kwa ngazi ya Kimataifa, Watanzania wanafahamika kuwa ni wapole, wakarimu, na wengine huwatuhumu kuwa ni waoga, na wavivu waliozubaa! Wakenya wanafahamika kwa ubunifu na kujua kuchangamkia fursa ndani na nje ya mipaka ya nchi yao! Wanigeria wanasifika kwa ujasiri na unanjaujanja mwingi...
  3. The Great P

    SoC04 Tanzania dhidi ya mabadiliko ya tabia ya nchi

    Mabadiliko ya Tabia ya Nchi ni mabadiliko katika hali ya hewa ya katika eneo fulani ambapo mabadiliko hayo yanajumuisha ongezeko la joto, ukame, ongezeko la mafuriko, na kubadilika kwa vipindi vya mvua. Mabadiliko ya tabia nchi imekuwa changamoto ulimwenguni, mabadiliko haya husababishwa na...
  4. H

    SoC04 Matumizi ya Bio gesi kama nishati safi ya kupikia yenye gharama nafuu na pia kama njia ya kupambana na mabadiliko ya tabia ya nchi

    Bio gesi ni nishati ambayo hutengezwa kwa kutumia kinyesi cha wanyama kama vile ngombe, mbuzi na kondoo, na wanyama wengine ambao ni wakufugwa,pia huzalishwa baada ya kuoza kwa mbolea ya wanyama au taka za kikaboni. Picha Baraza la usimamizi wa mazingira (NEMC)...
  5. Excel

    Tabia ya kusalimiana kwa kushikana mikono ina madhara makubwa sana katika ulimwengu wa roho

    SALAM ZA KUSHIKANA MIKONO. Usipende Sana kusalimiana kwa kushikana mikono kwa sababu kupitia kushikana mikono huko utaibiwa nyota Yako watu wanauchawi huo ikitokea tu umeshikana mikono na mtu mwenye huo uchawi basi nyota Yako atakuwa ameibeba mtu huyo. Kuanzia hapo mambo Yako utayaona yameanza...
  6. Tyrex

    Tabia halisi za Mtanzania

    Tuorodheshe tabia za waTanzania halisi 1 Anakukopa hela kiupole ila ukidai automatically unakua mtu mbaya kwake asiyefaa 2 Kabla hajajua cheo chako au wadhifa wako anakutreat kama takataka ila akisikia wew mtu flan ghafla treatment inabadilika 3 Mkiwa mnamiadi maybe kuonana au mnaonana saa...
  7. Kaka yake shetani

    Hivi kwa nini wenye tabia za sodoma na gomora wana 1,2,3,4......

    Nimebaki kujiuliza yani sehemu au maeneo kuliko shamiri sodoma na gomora ndio kuna pesa sana kuanzia upatikanaji wa kipato mpaka madili. Sehemu au maeneo hayo ndio yenye maisha ya kutisha sana yani kama ushirikina,masonic na wahalifu ndio wamejaa. Kuna siku nilipita bar fulani X aisee yani...
  8. Tlaatlaah

    Umewahi kukosa kitu gani kwa sababu ya kusema ukweli?

    Katika maisha kuna baadhi ya mambo unaweza kuyapata kirahisi kwa kusema uongo au kudanganya, lakini pia kuna mambo mengine unaweza kuyakosa au usifanikiwe kwakua tu umesema ukweli. Je, ni mambo gani katika maisha ulitumia ukweli ukayakosa na ulipotumia uongo ukayapata kirahisi? Ukweli mchungu.
  9. Robbyraitony

    Tabia za watu wenye mafanikio/watafanikiwa

    Chukua hii, itakusaidia maishani mwako. TABIA 15 ZA WATU WALIOFANIKIWA AU WENYE MAZINGIRA YA KUJA KUFANIKIWA 1. Ni watu wenye kushukuru kwa kila jambo, sio wenye kutoa lawama. 2. Ni watu wenye tabia ya kupongeza pale wanapoona mwingine anastahili pongezi. 3. Ni watu wenye tabia ya...
  10. GENTAMYCINE

    Wanaume wenye Tabia hii mbaya na inayoharibu Mahusiano yenu na inayowakera 99% ya Wanawake badilikeni tafadhali

    Yaani kabisa Mwanamke wako ( Mtoto wa Watu ) umempenda Mwenyewe na kuamua kuwa nae lakini cha Kushangaza uko nae Kwako Dar es Salaam ila Maelekezo yote ya Kuishi na Mkeo au Mpenzi wako ( Mchumba ) yanatoka Kijijini ( Mkoani ) aliko Mama yako Mzazi au Mlezi wako. Huu ni Ujinga wa Kiwango cha...
  11. all about

    Zifuatazo ni Tabia 11 zitakazokupatia heshima kama utaishi nazo

    1. Siku zote simamia kwenye ukweli na uhalisia, usikubali kubali tu. 2. Ongea kwa ujasiri na uwazi, tena ongea kwa speed ndogo sio unaongea haraka haraka kama chiriku. 3. Unapo ongea na mtu rafiki au mpenzi Onyesha nia ya dhati usiongee tu kwa kumfurahisha, kuwa mkweli. 4. Unapokuwa sehemu...
  12. Mhafidhina07

    Kheri undugu wa damu kuliko udugu wa tabia?

    Wahenga walishasema damu ni nzito kuliko maji,udugu ni muunganiko wenye asili ya kitu au sababu moja mfano udugu wa kuzaliwa,familia au ukoo. lakini,udugu unaweza kuwa wa kitabia mfano wapenda michezo soka,wajambazi,walafi na wezi,au wachepukaji wao nao huwa na udugu wao,sometimes udugu ni...
  13. Financial

    Tabia nisizozipenda kwa mabinti wa kaskazini (hasa wachaga) wakiolewa

    1. Wanawake wa kichaga ukioa akiona tu una future anaanza kujiweka Loyal kwako kwa kukuaminisha yeye ni wakitofauti anataka mfanikiwe wote 2. Anakuweka karibu hadi hati zisome majina yake kupitia upendo wake fake. 3. Anakuzalia watoto na kukupiga kampani sana katika shughuli zako kiasi kwamba...
  14. ngara23

    Nakerwa na tabia ya jirani yangu kuanika chupi hadharani

    Kuna mdada nyumba jirani huwa anafua nguo za ndani nyingi na kuzianika kujaza kamba ikiwa ni njiani tunapopita. Hii tabia sipendezwi nayo, inatutia tu akshi asubuhii. Kwani hizo chupi huwa anazichafua mara moja au akioga hafui akabadilisha ndio azirundike afue machupi zaidi ya 40 siku moja...
  15. Marcy

    Tupeane mbinu za kuishi na viongozi wenye tabia za ovyo

    Ni namna gani ya kuishi na kiongozi mwenye lugha ya ukali na matusi katika eneo la kazi Asiyeshirikisha wengine katika jambo lolote zaid ya kuendekeza ubabe na paniki zisizo na msingi Kubwatwa muda wote hata kama jambo ni dogo Asiyependa ushauri kusikiliza watu na kukaa meza moja kupata...
  16. R

    Tukifuatilia tabia na mwenendo wa Adolf Hitler tutakoma kumshabikia Paul Makonda

    Nimesoma comment hiyo huko Instagram nikashtuka sana. Haiba ya Paul Makonda inalingana sana na ya Adolf Hitler, fuhrer wa dola la Ujerumani baada ya WWI Kwa mantiki hiyo si ajabu wataalamu wa kuchunguza mienendo na tabia za viongozi wenye traits za ukatili duniani, kutoka Serikali ya Marekani...
  17. Ncha Kali

    Hivi hii tabia ya wanaume kugeuka nyuma tukipishana na mwanamke inaisha tukifika umri gani?

    Hii ni hadi lini? Mwenzenu naona umri unasonga tu lakini beki hazikabi, yaani jitihada bado hazizai matunda kila nikijaribu kujizuia.
  18. Makirita Amani

    TABIA ZA KITAJIRI; Tabia za kuishi kila siku ili kupata utajiri, mafanikio na furaha

    Rafiki yangu mpendwa, Ninayo furaha kubwa kukukaribisha kusoma kitabu hiki cha TABIA ZA KITAJIRI. Ni furaha kubwa kwangu kwani kwa wewe kukisoma na kuchukua hatua, nakuwa nimetimiza na hata kuvuka wajibu wangu wa kushirikisha maarifa haya ambayo yana nguvu kubwa kwa yeyote anayeyaelewa na...
  19. Loading failed

    Tabia za mabinti wa kinyiramba wa kizazi hiki cha 2000

    Ndugu zangu nataka mtakasike. Amina Hakika nimeangukia kwa mtoto wa kinyiramba. Mwanamke ni mweupe soft kweli kweli, mrefu wa wastani ,nyusi, nywele na kope za kuvutia . Ana macho flani hivi ya nyege.. Ndugu kabla sijamfungia ndani naombeni mnijuze tabia za hawa wasichana wakinyiramba...
  20. msuyaeric

    Wanawake punguzeni kuomba sana hela, imekuwa kero

    Wakuu Habari zenu! Kiukweli wanawake wamezidi sana kuomba pesa yaani ukienda WhatsApp ni hatari, ukikaa kidogo kwenye SMS utasikia nikwambie kitu kumbe unaombwa hela. Jamani tabia hii kwa wanawake imekuwa kero kuliko hata wale wanaoomba msaada barabarani. Bora hela yangu nimpe yule mtoto mdogo...
Back
Top Bottom